moshi vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Wasiojulikana wavamia nyumbani kwa mgombea ubunge moshi vijijini na kupasua kioo cha gari la mke wake

    Huko mkoani Kilimanjaro hali ya hewa imeanza kuchafuka mapemaa baada ya watu wasiojulikana kudaiwa kuvamia nyumbani kwa mgombea wa kiti cha ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya chama cha CHAUMA,Michael Kilawila na kuharibu gari la mke wake kwa kupasua kioo cha nyuma. Tukio hilo...
  2. SSH2025_2030

    GE2025 Prof. Ndakidemi aahidi Airport jimbo la Moshi Vijijini akipewa nafasi tena kuwa Mbunge

    Mbunge Mteule Prof Ndakidemi ameahidi makubwa endapo atachaguliwa tena 2025-2030. Moja ya Ahadi Yake NI kujenga airport kubwa jimboni Moshi vijijini.
  3. JanguKamaJangu

    GE2025 Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau: Kuna Majina hewa yanapewa hela za TASAF

    Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Felista Njau kupitia tiketi ya CCM amesaidia kuwasaidia wananchi ambao hawapati pesa za Tasaf na badala yake wanapewa wasiostahili. Chanzo: Kikeke Digital Pia soma ~ Ruvuma: Mpango wa TASAF Halmashauri ya wilaya ya Songea una shida, kuna mazingira...
  4. Ashampoo burning

    Salim kikeke Mkombozi wa nguruwe Moshi vijijini

    Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu — na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa. Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Moshi Vijijini wamkataa mbunge anayemaliza muda wake kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake

    Wananchi katika mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Moshi, jimbo la Moshi Vijijini wamekataa mbunge anayemaliza muda wake kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake kikamilifu. Akizungumza na wananchi amesema kuwa barabara hiyo haikuwepo kwenye mpango wa lami wa serikali, na baada ya diwani kuleta andiko na...
  6. D

    Victor Tesha – Kiongozi Mpya Kwa Moshi Vijijini | Maono, Uaminifu na Uwezo

    UJUMBE: Wana-Moshi Vijijini, Mwaka huu tunakutana tena kwenye fursa ya kipekee ya kuchagua kiongozi atakayeliongoza jimbo letu kuelekea maendeleo ya kweli, ushirikishwaji wa wananchi, na uongozi wa kisasa usioegemea siasa za maneno matupu. Moja ya majina makubwa yanayosisimua mioyo ya vijana...
  7. peno hasegawa

    GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini anauliza Jina la Mwenyekiti wa Tawi lake Jumuia ya wazazi CCM!

    Huyu mtu, ni mgombea hewa,kwani hajui kiongozi hata mmoja ndani ya Jimbo aliloomba kutia nia,ila ameteuliwa. Kuanzia shina,tawi, Kata na hata Jimbo,hafahamu mtu hata mmoja na hatujui kura atazipsta kutoka wapi.
  8. Sky Eclat

    GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

    Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi. Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia rizki , kuwezesha kulipa kodi na...
  9. M

    DOKEZO GE2025 Rushwa na ubabe watawala uchujaji wa wagombea CCM Moshi Vijijini

    Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho. Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...
  10. R

    GE2025 Martin Massawe amechukua fomu ya kuwania Ubunge Moshi vijijini kupitia CCM

    Mwenyekiti wa umoja wa wafanyabiashara na watoa huduma Tanzania, Martin Massawe, amechukua fomu kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi, kugombea ubunge Jimbo la Moshi vijijini Massawe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, amechukua fomu hiyo Julai 2, 2025 ambapo...
  11. R

    GE2025 Mwandishi wa habari Salim Kikeke achukua fomu kugombea Ubunge Moshi vijijini

    Mwandishi wa habari mkongwe na mtangazaji Salim Kikeke amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa...
  12. Waufukweni

    Mbunge Ndakidemi ataka kutungwe sheria ya kuwalazimisha watoto kuwatunza wazazi wao wakiwa wazee

    Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi ametaka kujua lini Serikali itatunga Sheria itakayomshurutisha mtoto kuwatunza Wazazi wake wakizeeka ambapo amejibu Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis.
  13. M

    PreGE2025 Mwenezi CCM Moshi Vijijini anavyobeba watia nia majimbo ya Moshi Vijijini na Vunjo

    Wakati CCM kupitia viongozi wake wakuu wanakemea kampeni za mapema na viongozi kubeba wagombea/watia nia hali huko wilaya ya Moshi Vijijini ni tofauti. Mwenezi wa CCM wilaya hiyo aitwaye Huseni Abduli eikei mwenyekiti anayeishi mji wa Himo amekuwa kinara wa kubeba wasaka ubunge wakiwemo Nicolas...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge wa Moshi Vijijini Prof.Ndakidemi Apinga mpango wa kuligawa Jimbo hilo kwa kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi

    Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameupinga vikali mpango wa kuligawa jimbo hilo, akidai kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi na badala yake unalenga kuwatenga baadhi ya wakazi kwa misingi ya kikanda. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  15. mwanamwana

    PreGE2025 Maoni ya wananchi Moshi Vijijini kuhusu mbunge wao na miundombinu ya barabara

    Wananchi hao wa Kiboriloni wamesikika wakilalamika miundombinu ya barabara kuwa ni mibovu sana na mbunge wao hawajamuona tokea atoe ahadi ya kushughulikia barabara hiyo. Wameongeza kuwa hawatasumbuka tena kupiga kura kwani hakuna inachowasaidia
  16. Pfizer

    Kilimanjaro: Maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini

    Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900, Hii ni Leo Jumapili Nov 10, 2024 na huu ni mtambo wa kuchimba kisima kirefu kwenye Kata ya Mabogini...
  17. A

    KERO Tatizo la maji kitongoji cha Uuwo Kati, Kijiji cha Uuwo, kata ya mwika kaskazini, Moshi Vijijini Kilimanjaro

    Naandika Tatizo hili nikilia maana ni mwaka na zaidi sasa wazazi wangu wanateseka na maji. Ukiangalia tupo karibu ya vyanzo vya maji alafu watu wachache wanafaidi sisi wa hali ya chini tunateseka. Mwaka jana walifanya kuweka mfumo mpya wa bomba za plastiki mitaani wakasema wakikamilisha wote...
  18. A

    KERO Moshi Vijijini: Serikali isaidie Barabara ya Kata ya Mabogoni, haifai hata kidogo

    Nina wiki moja nimekuja Moshi, nimetembela baadhi ya sehemu za Wilaya ya Moshi Vijijini, Shabaha, Kata ya Mabogoni. Wananchi wa Shabaha wanateseka sana na barabara iwe kipindi cha mvua au kiangazi kipande cha barabara mwisho wa Kituo cha Bajaji Shabaha. Kuna barabara inaitwa Manguzoni kuelekea...
Back
Top Bottom