Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.
Kesi...
Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa.
Mbali na hilo amesema amewasilisha...
Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao.
Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili, secretariat yote ya chama chake ikafukuzwa.
Kadhalika, Monalisa Ndala ameshitaki ACT kwa msajili...
Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga...
Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, na chama hicho.
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Mchinjita, Isihaka Machinjita...
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anasema kwa dhati ya moyo wake kuwa Dorothy Semu ni kiongozi mzuri kuliko Luhaga Mpina.
Akizungumza na kituo cha East Afrika Redio leo Agosti 20, 2025 Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anaweka wazi kuwa hakubaliani na hii dhana kwamba kila ikifika wakati wa uchaguzi basi wao wanachukua wagombea kutoka chama cha mapinduzi (CCM)...
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao Luhaga Mpina kwa kusema yeye kama mgombea hakupaswa kuvaa nguo yenye picha ya aliyekuwa kiongozi kwenye chama kingine. Kwa urefu zaidi...
Leo amekuja na mpya tena alivyokuwa East Africa radio kuhusu kuvaa fulana yenye picha ya Hyati JPM, mpina atachomoka kweli wakuu?
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao...
Kinyang’anyiro cha Ubunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kinaendelea kukolea moto baada ya Monalisa Daniel, Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM.
Monalisa ambaye amejijenga na kukubalika na...
Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake.
Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi...
MWIGIZAJI Mtanzania Yvonne Cherrie, maarufu kama ‘Monalisa’ ameshinda tuzo ya kimataifa Emmy Kids 2022 katika series ya ‘My Better World Show’ kwa kuingiza sauti kwa lugha ya Kiingereza.
Baada ya ushindi huo, Monalisa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika “Miaka...
Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa. Kizazi kijacho kiko...
Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine.
Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza oparesheni ya kijeshi katika baadhi ya maeneo ya Ukraine baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya...
Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au?
Wajuzi naombeni msaada
Pia Soma> Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.