mocu

The Moshi Co-operative University (MoCU) is a public university in Moshi, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vitisho vya C na Supp Vyatawala Kwa baadhi ya lecturers MoCU

    Ninaandika kama mwanafunzi wa Moshi Co-operative University. Kuna tatizo kubwa ambalo halizungumzwi wazi: baadhi ya lecturers wanatumia vitisho badala ya kufundisha. Tunatishiwa kupewa C au supplementary hata kabla ya mtihani kufanyika. Lugha ni kali, hakuna usikivu, na mazingira ya kujifunza...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Fursa za BBT zimerejeshwa, wizara yaanza na wahitimu wa MoCU

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta ya Kilimo na uchumi wa nchi kupitia programu ya vijana ya Building a Better Tomorrow (BBT). Dkt...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Artisan at MoCU

    POST ARTISAN II -(CARPENTER) - 1 POST EMPLOYER Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) APPLICATION TIMELINE: 2024-10-04 2024-10-14 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To prepare a list of operational repairs; ii. To take care of tools and equipment; iii. To perform...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Ushirka Moshi (MoCU) level ya Diploma kushindwa kufanya udahili kutokana na kucheleweshwa kwa matokeo ya supplementary

    Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
Back
Top Bottom