mnyukano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa huu mnyukano ndani ya CCM kama CHADEMA Ingeshiriki uchaguzi ingeshinda kwa kishindo kama uchaguzi wa 2010

    Uchaguzi wa 2010 CHADEMA ilipata matokeo mazuri sababu CCM ya wakati huo ilikuwa imepoteza imani kwa wananchi. Na kulikuwa na mpasuko na makundi makubwa. Mwaka huu kwa CHADEMA hii ambayo inakubalika na huu mparaganyiko ndani ya CCM CHADEMA wangeshinda kwa kishindo na kupata viti vingi zaidi ya CCM
  2. Tetesi: Kigamboni ni mnyukano wa hatari Ubunge

    Amechezesha ligi kwa vijana mtaa kwa mtaa na jezi,kawatembezea wenyeviti na wajumbe umande kwenye ukame, vijana wazee ni Boka Bokaa, hii michezo ya wajumbe kaiweza au tusubirie kauka patupa tia mchuzi gari la udongo. Wana kigamboni tupo tiyari kwa nani
  3. Mnyukano mkali kati ya Zitto, Mwigulu na Profesa Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings)

    Wakuu Hapa nimewasogezea Mnyukano mkali niliokutana nao mtandao wa X kati ya Zitto Kabwe, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Profesa Anna Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings) Zitto Kabwe (12 Juni 2025): Alikosoa pendekezo la ushuru wa...
  4. R

    Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  5. PreGE2025 CHADEMA ifanye mabadiliko ya katiba kumaliza mnyukano wa kugombea madaraka katika chama

    Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na performance baada ya uchaguzi. CHADEMA kuwa inafanya mabadiliko ya uongozi mwaka mmoja kabla ya...
  6. B

    Wanasiasa, wanaharakati: mnyukano unapotulia

    Ile mirindimo ya makombora mazito mazito kama ya Tora Bora sasa imetulia. DRC wanasema angalau sasa kunaonekana "ukimya." "Ukimya" si amani. Bali kila mmoja atakuwa kwenye kuhesabu wafu wake na kutibu majeruhi. Matokeo ya vita: 1. Kule kuna kongamano kujadili agenda zenye maslahi makubwa mno...
  7. Mnyukano wa Sudan wahamia Darfur, imeshindikana wa kuwapatanisha

    Jamaa wanapigana kwa mizuka ya balaa............ Fighting between forces loyal to Sudan's rival generals on Friday rocked the western region of Darfur, witnesses said, on the fourth day of a fragile US-Saudi-brokered ceasefire. The one-week truce, the latest in a series of agreements that have...
  8. Mambo 16 niliyojifunza kwenye hotuba ya Rais Samia - Januari 4, 2022

    Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana. 1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo. 2. Rais amemshambulia speaker Ndugai at individual capacity na sio Kama speaker kwenye maoni kuhusu mikopo. 3. Rais amehaidi kukopa zaidi na mpaka Sasa wamepata...
  9. J

    Jf Mnyukano: Soma Shairi langu uelimike

    #Hakika Jf ni mnyukano, Nami ni nani nisiunge mkono. Kilicho bora milioni tano, kuwa balozi si kibano. Nitashinda huu mtifuano, ukinipa hiyo yako tano. Kwa maandishi Ambatano, na hoja changamano. #Tulilisubili hili shindano, Kuleta hoja chanya. Jf sio mvutano, nawe waweza jichanganya. Kwa...
  10. R

    Mnyukano kwenye kupanda vyeo kwa watumishi wa umma, Waziri elimisha wafanyakazi kupitia maafisa utumishi

    Katika hali inayoonekana kuwa na taharuki ni Rais, kutopandisha mishahara kwa watumishi wa umma, imesababisha wafanyakazi kutoelewa ni nani anastahili kupata cheo kipya, ili aweze kujikwamua na hali ngumu ya kimaisha. Kunahitaji elimu ya kutosha, kinachoonekana watu hawaelewi ni muda gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…