mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika: Hatutabaki tukimlilia Lissu tunasonga na 'No reforms No election'

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema pamoja na kwamba Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu yupo gerezani hawatabaki kumlilia bali wataendelea na mapambano ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Akizungumza na wananchi mkoani Kagera jana, Mnyika...
  2. JamiiForums Tanzania Bw, Mnyika kama kiongozi uliyesaidia transitional, how do you survive?, maswali ni mengi sana!

    Wenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia, #Pole sana bw. FAM.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika atoa ratiba mpya ya kampeni ya No reform No election, sasa ni zamu ya kanda ya Victoria na Serengeti

    Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ametoa ratiba mpya ya ziara ya kampeni ya No reforms No election ambapo amesema licha ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu bado wataendelea na mikutano ya hadhara na kubainisha kuwa tarehe 08 hadi tarehe 12 mwezi mei...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: 'Pattern' ya matukio ya jana, inaonesha kuna ushiriki wa idara ya usalama wa taifa, na serikali moja kwa moja

    "Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Nilituhumiwa kwa makosa ya kuhamasisha na kula njama ya kufanya maandamano, niliwekwa kizuizini ndani ya gari mpaka saa 1 na nusu usiku

    "kuanzia saa tatu asubuhi niliwekwa kizuizini ndani ya gari mpaka saa moja na nusu usiku, ni tukio ambalo nalitafsiri kwamba polisi waliniteka na kuniweka kizuizini ndani ya gari mpaka saa moja nanusu usiku, hawakunieleza nimefanya kosa gani saa moja nanusu nikawaambia kama ni kunishikila kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, msikate tamaa, siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na UJasiri wa kupinga UONEVU

    Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please Erythrocyte
  7. JamiiForums Tanzania Mnyika nenda kasaini,kutakuwa hakuna tena suala la kuitafakari CHADEMA

    Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwitta: G-55 iliundwa na Katibu Mkuu wa Chadema, John John Mnyika

    Naam. Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha. === Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55 ilizaliwa kutokana na kikao kilichoitishwa na Katibu wa Chama. Wakati huo mimi bado nilikuwa Katibu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

    Amani iwe nanyi Wanabodi, Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao. Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
  10. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Mnyika ndiye anawasilisha NEC majina ya wagombea wa CHADEMA,uteuzi wake unapingwa, Msajili wa vyama akimtengua, its over!

    Kuna jambo linaenda kimya kimya, chama changu cha Chadema hakijajipanga nalo. Katibu Mkuu wa Chadema ndiye anasaini nyaraka za wagombea wa ubunge na Urais ili ziende Tume ya Uchaguzi. Hata hivyo, kuna mwanachama anasema kwamba Mnyika anashikilia nafasi ya Katibu Mkuu kinyume cha sheria, na...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Msajili aeleze kitendo cha CCM kukiuka Katiba ya CCM wakati wa kumteua Mgombea Urais

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika. Amesema hayo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa, kama unaweza kum summon Mnyika kuhusu No reoforms No election, basi Amos utamsummon kwa m-pox na ebola saga

    Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka. Soma Pre GE2025 - CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika alivyoongoza jopo la viongozi wa chama hicho kufika kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo, Jumanne Machi 18.2025 Soma Pia: CHADEMA yafikisha No Reform No Election kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Francis...
  14. JamiiForums Tanzania Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  16. JamiiForums Tanzania Godbless Lema asema kazi ya Ukatibu Mkuu haiwezi, anafurahi kuwa mwanachama huru

    Hii kazi siiwezi hata kidogo ,it’s not my job either my area. Ninafurahi kuwa mwanachama huru. Leadership is not a title.
  17. JamiiForums Tanzania Mnyika anafanya upotevu wa muda usiku uingie ili Dola imsaidie Mbowe. Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vitabu

    LISSU STUKA! Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu, wajumbe wajisomee wenyewe. Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
  18. JamiiForums Tanzania DAR: Kibamba ya Mnyika nao Watangaza kumuunga mkono Lissu

    https://www.youtube.com/live/98PbB_z9DZo?si=ErMXG6DXe_NNGU6_ Hawa watu wanaomwambia Mbowe hadharani kuwa amechoka sio wajinga wasikilizwe wamekuwa wengi huenda Wana hoja. Huenda Mbowe akishinda CHADEMA itageuka kuwa kama CUF,TLP au NCCR, #WAJUMBE KULENI YAMINI MKINUSURU CHAMA NA KIFO CHAKE
  19. R

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ni moja wa Makatibu wakuu bora wa vyama vya siasa Afrika

    Chadema moja ya kiongozi waliyofanikiwa kupata ni pamoja na katibu Mkuu. Alipoondoka Dr. Slaa watu walihoji kama Mrithi wake anaweza akavaa viatu vyake. Nimeona namna alivyosimama neutral kwenye uchaguzi na jinsi anavyoratibu uchaguzi bila kusahau anavyoweza kujibu hoja zinazoelezwa ofisini...
  20. JamiiForums Tanzania Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA. Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…