mnyama

Asperoris is an extinct genus of archosauriform reptile known from the Middle Triassic Manda Beds of southwestern Tanzania. It is the first archosauriform known from the Manda Beds that is not an archosaur. However, its relationships with other non-archosaurian archosauriforms are uncertain. It was first named by Sterling J. Nesbitt, Richard J. Butler and David J. Gower in 2013 and the type species is Asperoris mnyama. Asperoris means "rough face" in Latin, referring to the distinctive rough texture of its skull bones.

View More On Wikipedia.org
  1. Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

    Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na kikosi Cha Simba kuendelea na ratiba za mazoezi kusubiri mpaka dirisha litakapo funguliwa ili...
  2. Ndugu zangu huyu anaweza kuwa mnyama gani?

    Mwenye kujua huyu mnyana anijuze tafadhali.
  3. Ateba ni Mnyama, Asaini miwili msimbazi

    Simba SC wamethibitisha kumsajili Mshambuliaji Leonel Ateba kutoka USM Alger kwa mkataba wa miaka miwili
  4. Vibaka wa Kahama wanaiba Mchana na Usiku huku wakiwa Uchi ( Watupu ) wa Mnyama kabisa

    Wananchi wa Kata ya Kakola, Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, wamelalamikia ongezeko la wimbi la vibaka wanaovamia ndani ya nyumba wakiwa uchi na wakiwa wamejipaka mafuta mwili mzima kwa lengo la kutekleza wasikamatwe. Chanzo: itvtz Waambieni wasije Kuthubutu kufanya hivi wakija Kuiba...
  5. SI KWELI Mnyama anayefanana na ng'ombe aonekana ufukweni

    Dolphin had baby with a Cow Wakuu nimekutana nayo hii mtandaoni ni ya kweli? Je huyu ni mnyama gani
  6. U

    Wasabato mnadai wanaoabudu jumapili wamepotea, siku hiyo ni Alama ya Mnyama, Je wanaoabudu ijumaa badala ya jumamosi nao wamepotea?

    Wadau hamjamboni nyote? Niende kwenye hoja Huwezi ona msabato akimsema muislamu kuwa ati anafanya dhambi kuabudu siku ya ijumaa ila ni kawaida kumsikia akimuhesabia dhambi Mkatoliki kwa kuabudu jumapili badala ya jumamosi Kwa msabato siku ya jumapili ambayo ndiyo aliyofufuka Bwana yetu Yesu...
  7. Wangapi tuko yanga ila kale Ka wimbo ka mnyama hana mpinzan huwa tunakaimba

    Yanga ni team ya ukoo wangu team namba moja naipenda yanga sana kama navyoipenda JamiiForums au pombe ila kuna kawimbo fulani cha simba huwa nakaonea wivu sana kakipigwa najikuta naimba. Sio leo toka zamani Mnyama hana mpinzan Hatushikiki Kiki Hatukamatiki kiki Watoto wa Dar Watoto wa...
  8. Kutana na kobe Jonathan mnyama mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani alitotolewa mwaka 1832

    Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba...
  9. Jellyfish kiumbe pekee asiyeweza kufa.

    Sio jellyfish wote hawafi ila kuna huyo kitaaluma anaitwa Turritopsis dohrnii yeye pia huanza maisha kama lava, inayoitwa planula, ambayo hukua kutoka kwa yai lililorutubishwa. Planula huogelea mara ya kwanza, kisha hukaa kwenye sakafu ya bahari na kukua katika koloni kisha hutokeza medusa hii...
  10. R

    Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

    Salaam, shalom!! Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma, Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo, Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama...
  11. MDAU: Simba sio mnyama wa kutisha, mnyama wa kutisha ni yule aliyemuua Samson

    Mdau mmoja wa anasema watu wengi wanamwogopa Simba, na kusema ni mnyama hatari na wakuogofya, lakini la hasha Simba sio mnyama wa kutisha katika macho ya binadamu kwa sababu binadamu huyo huyo ameshawai kuua Simba mara kadhaa. Wengi mnakumbuka kisa cha Mwamba mwenye nguvu iliyepiga na kuua...
  12. Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

    Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri, Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd Chuji n.k ni mkubwa. Tufahamu kuwa mikataba huvunjwa na kuna gharama hulipwa kama faini ya kukiuka...
  13. R

    Nyikani, Mwanamke atainua mnyama kutoka majini atakayetupeleka Nchi ya ahadi

    Salaam,Shalom!! Leo twende Kona za kinabii, watakaodaka wadake, wasioelewa ndo basi tena, wale wasioamini kuwa Mungu husema na manabii, ndo kabisa, hawatodaka chochote. MWANZO WA NDOTO. Roho wa akanichukua Hadi Mahali palipokuwa na maji mengi, ufukweni mwa ziwa na tazama, mnyama mkubwa...
  14. Kiimani Ijumaa Kuu Tunakatazwa Kula Nyama..Hii ina maana kubwa sana Kwa Mnyama SIMBA

    Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
  15. Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

    Hawa wazungu wamekuwa wakikamata paka mitaani na majumbani kisha kuwang'oa uzazi. Baada ya miaka michache tu nchi ya Zanzibar itakuwa haina paka hata mmoja. Paka wana faida nyingi sana kwa jamii na kimazingira pia. Hizi kampeni zinazoendelea, serikali izitupie macho. Wanyama wana haki ya...
  16. Sipendagi muziki wa Reggae ila Lucky Dube alikuwa mnyama

    Yaani nyimbo inaitwa back to my roots Humu kuna mpiga ngoma alijipanga sana yaani ana dunda unasikilizia moyoni Yaani zile ngoma na gitaa balaa, Hebuu vaa earphone afu sikiliza twatwaaaa twaa gitaa linajibu ndi ndi ndiiiiii ...... tarumbeta mbeeee mbeeeeee mbeee .. ngoma twatwatwa twaaaaa...
  17. Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?

    Mimi kuna siku niko na Pikipiki nimetoka site huko Nyengedi napanda Milima ya Rondo mida ya saa 2 usiku aisee Mara simba huyu hapa nilianguka na Pikipiki nikainyanyua sikugeuka nyuma nilipofika kijijini palepale nilizimia. Kuna siku tena natoka Makangaka naelekea Kiranjeranje kupanda basi saa...
  18. Unaijua Simba? Mnyama…

    Ifike muda tukubali kuwa Simba SC ni timu kongwe na bora ila wale wengine ni timu kongwe. Sasa cha kushangaza leo kwenye pita pita zangu nimeona kuna kampuni ya kubet imeipa odds 20 kama Simba SC watashinda mechi ya leo! Naombeni mnisaidie kuitaja nimesahau jina!
  19. Simba bado ni mnyama?

    Kwa waliofuatilia mpira wa jana kati ya Simba vs Al ahly nani mnyama?. Wewe ubashiri wako ulimpa nani?. Mimi nilimpa simba pale sokabet bwana nikiwa na uhakika atamuua mwarabu. Lakini tuipe Simba maua yake bado wamefanya vizuri sana. Najua watani walisubiri simba wapigwe. Haya sasa Mwezi...
  20. Vyuma vya dunia kumshuhudia Mnyama akitumbuiza

    Gianni Infantino • Fatma Samoura • Arsène Wenger • Salman bin Ibrahim Al Khalifa • Alejandro Dominguez • Patrice Motsepe • Veron Omba • Augustin Senghor • Ahmed Yahaya • Seidoi Mbombo • FA Presidents in Africa Hii yooote ni kazi ya Simba SC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…