Mna (Georgian: მნა) is a village in the Truso Gorge, part of the historical region of Khevi, north-eastern Georgia. It is located on the left bank of the Tergi tributary river – Mnaisistskali. Administratively, it is part of the Kazbegi Municipality in the Mtskheta-Mtianeti region, known as mkhare in Georgia. Distance to the municipality center Stepantsminda is 29 km (18 mi).
Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC.
Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima.
Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi ya kutaka kuwaua. Sasa akishirikiana na wapumbavu wake wa tiss na bakwata anaandaa vikundi vya...
Shoppers sikuizi wahudumu wenu wana wajali sana wazungu kuna ka ubaguzi pia wahudumu wana lugha chafu una uliza ili upate kujua ila unajibiwa kama una fukuzwa kwamba usirudi tena hapa
Ipo hivi mimi nilikuwa nimeingia nimenunua vitu vyote sasa nikawa natafuta zile manda za sambusa sizioni ila...
Nimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu.
How comes?
Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM?
Kwa nini jeshi linachezewa hivi?
Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena.
GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea
Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo
Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado