mmea

The Malaysian Maritime Enforcement Agency (Abbr.; MMEA; Malay: Agensi Penguatkuasaan Maritim Malaysia – APMM); formally known as Malaysia Coast Guard for international identification, is the coast guard organisation of Malaysia, and principal government agency tasked with maintaining law and order, and coordinating search and rescue operations in the Malaysian Maritime Zone and on the high seas.
The Agency and its members are part of the Malaysian Federal Civil Agency and report directly to the Ministry of Home Affairs. The MMEA however, can be integrated under Malaysian Armed Forces command during an emergency, special crisis, or wartime.The agency maintains close ties with the United States Coast Guard (USCG) and Japan Coast Guard (JCG).

View More On Wikipedia.org
  1. Masalu Jacob

    Je, mmea wa Bangi unapuuzwa na kuwaziwa tofauti?

    Habari Tanzania ! Naomba kuwauliza wataalamu wa mambo ya afya hasa mwili; Je, ni kweli mmea aina ya Bangi unatibu kabisa mambo yafuatayo; 1. Kansa aina yoyote? 2. Punguza maumivu aidha makali au sugu? 3. Kuchechea hamu ya kula? Karibu.
  2. Acehood

    Ushauri kuhusu kupandikiza mmea wa chainizi (Chinese cabbage)

    Habari wakuu. Naomba kujua kama ni sahihi kupandikiza mimea miwili ya chainizi kwa shimo Moja, endapo nitaweka mbolea nyingi zaidi ya sehemu niliyopandikiza mmea mmoja.
  3. Dogoli kinyamkela

    Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote

    Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote hata kama unaishi nyumba ya kupanga, panda kwenye ndoo na uweke chumbani kwako. Mdharau asili hufa kikatili
  4. The redemeer

    Huu ni mmea mdogo lakini wenye mambo makubwa

    Mmea Mdogo Wenye Mambo Makubwa: Utumie kama chakula dawa ili uepuke kutumia dawa kama chakula!* KIVUMBASI 1. Huu mmea umesambaa Afrika nzima kwa majina tofauti: Kanda ya Ziwa unaitwa Lumbalumba, Nyanda za Juu Kusini wanauita Mnunganunga, Kilimanjaro wanauita Mnyenye, Tanga ni Luvumbampuku...
  5. Lycaon pictus

    Mmea huu ndiyo hufanya bia ziwe chungu

    Watu wengi hufikiri uchungu wa bia unatokana na pombe. Uchungu wa bia hutokana na mmea unaoitwa hop. Watengenezaji wa pombe hutumia mimea mbalimbali kuzipa pombe ladha mbalimbali. Mmoja wa mmea huo ni hop ambao huzipa bia uchungu. Mmea huu upo jamii moja na mmea wa bangi lakini hauna kemikali...
  6. Dr Luu

    Fahamu faida ya mmea huu wa Nopal

    Napal cactus ni mmea wenye asili ya jangwani hasa unapatikana maeneo ya Afrika, Amerika na Asia. Kutokana faida zake na muingiliano wa watu imefanya kusamba maeneo mbalimbali duniani kote. Nopal imekuwa chakula pendwa zaidi Mexico, Asia na baadhi ya maeneo ya Afrika magharibi. hutumika zaidi...
  7. Nyafwili

    SI KWELI Endapo Punda Atang'ata Mmea ( Mfano Mahindi) , Hauwezi Kuota Tena

    Hapa kijijini mjadala umekuwa ukiendelea kuhusu wanyama jamii ya Punda namna ya ulaji wa mimea, mfano "mhindi" ambao umeng'atwa na punda huwa hauoti tena, tofauti na unapong'atwa na wanyama wengine kama ng'ombe, kondoo au mbuzi, na wanakijiji wamefika mbali zaidi na kusema labda wanyama aina ya...
  8. N

    Jina la huu mmea kwa watu wa kanda ya ziwa

  9. C

    Fahamu maajabu ya mmea wa Rosemary katika urembo wa nywele

    MAFUTA ASILIA KABISA YANAYOTENGENEZWA NA ROSEMARY ILI KUHAKIKISHA NYWELE INAKUA NA KUJAA KWA MUDA WA WEEK 2. ROSEMARY NI MMEA UNAOSIFIKA KWA KUKUZA NA KUZUIA NYWELE KUKATIKA. Tupo Makumbusho stand Bei ni 15,000/= 0689 209 209 Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
  10. chama mpangala

    Fahamu Mmea huitwao MCHUNGA ( DANDELION) inavyotibu maradhi sugu.

    Mchunga ( Dandelion) ni mmea wenye faida nyingi sana Binadam. Hapa Tanzania unapatikana porini na majumbani kama maua. MCHUNGA ni mmea unafaha na kutibu maradhi mbalimbali kama vile; Matatizo ya mifupa kukosa damu -matatizo ya mkojo -kisukali - Figo -Ini -Kansa ya damu kansa ya utumbo mpana...
  11. Cheology

    Kwa wataalam wa mimea, dawa nk huu ni mmea gani

    Huu mmea nimekuta sehem umejitenga na mimea mingine, Sijapata kuliona pahala popote. Kwa anayejua
  12. GoldDhahabu

    Huu ni mmea gani?

    Nimeukuta mkoani Kigoma. Wenyeji wanasema matunda yake ni matamu na yanaliwa. Huenda ni dragon fruits ya Kiafrika? Inasemekana, dragon fruits ni kati ya matunda ghali sana Afrika Mashariki! Ninataka nikaipande shambani kwangu. Kuna mtu anayefahamu kama yana soko? Kama yana soko, nitaipanda...
  13. S

    Faida Mbalimbali za Mmea wa Moringa katika mwili

    Moringa oleifera is a drought-resistant tree native to South Asia and Africa. It has been cultivated for centuries around the world for its potential health benefits. While the plant's leaves can be eaten, it is also found as a supplement in pill or powder form. The leaves have a spicy...
  14. Gily Gru

    Hili jani lina kazi gani?

    Habari za mchana wandugu, Nyumbani kwangu kumeota mmea flani hivi. Kuna mshikaji alikuja home kunisabahai akaniambia linaitwa Kongwa huko Zanzibar. Akasema huko kwao Tanga linaitwa msharifu. Anadai kuwa huu mmea unatumika kuua nguvu za uchawi na waganga wengi sana. Sikutaka kumuliza maswali...
  15. Norshad

    Leseni ya Utumiaji wa bidhaa zitokanazo na mmea wa Bangi

    Salaam wakuu. Natumai wote mpo salama na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Nina swali ambalo pengine naweza pata majibu hapa, Mmea wa Bangi unatumika kama dawa kwa baadhi ya watu na wengine wanautumia kwa dhumuni la kujistarehesha kihisia si ndivyo? Sasa maswali yangu ni haya na...
  16. MAJIYAPWANI

    Faida za mmea wa Ashwagandha

    habari zenu wadau yeyote anayefahamu faida za hizi mambo manake nimeanza kutumia ashagwandha(Mmea unaokua huko india) nilikua natatizo la Depression na anxiety kuna daktari akanishauri nitumie Ashagwandha itanisaidia kuna ukweli wowote juu hizi capsules manake nimejarbu kupita pita huko Youtube...
  17. Kunguru wa Unguja

    Msaada,ni nini suluhisho au ni dawa gani au mmea gani wa asili unaweza ikawa suluhisho la Urinary tract infection kujirudia rudia?

    Habari ya muda huu ,natumai mmeamka salama yote anayewezesha kuwepo mpaka muda huu ni Mungu pekee. Bila ya kwenda mbali, nimeamua kuandika huu uzi kwa lengo la kupata ushauri juu ya ugonjwa huu ambao umekua unajirudia sanaa kwangu pamoja na kutumia madawa kama Ceftriaxone, Ciprofloxacin...
  18. chama mpangala

    Zijue faida muhimu za mmea wa Bamia (Okra)

    🥕1. Awali ya yote, ukichukua majani ya bamia ukayachoma kwenye moto na ukachukua yale majivu ukayapaka kwenye ngozi au kidonda ni tiba ya vipele na allergy kwenye ngozi. 🥕2. Halikadhalika ukichukua bamia mbichi ukawa unatafuna pamoja na mdimu kila siku asubuhi kama ulikuwa na kinyama kwenye...
  19. S

    Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?

    Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?
  20. M

    Nauliza mwenye ufahamu wa mmea unaoitwa "Mnanaa" kiingereza unaitwa Mint

    Tafadhali wadau naomba mwenye kuufahamu mmea unaoitwa Mnanaa au kwa kiingereza unaitwa 'Mint" nina uhitaji nao sana hususani majani yake, kwani yanasafisa figo nami nina tatizo hilo. Tafadhali kwa uungwana wa kipekee naomba mwenye kuufahamu unapopatikana aniline kwa njia yoyote hasahasa "...
Back
Top Bottom