Leo nataka niwasaidie wadada kwenye mahusiano.
Na ukinielewa leo hauwezi ukaingia kwenye hizi kesi ambazo zimetesa wanawake wengi, wadada wengi sana. Unaingia kwenye mahusiano na mwanaume anakupa mimba anakuacha. Nataka niwaambie wanaume wanaofanya hivi wanakosea sana na ni uovu mbele za Mungu...