mlipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania WHO: Mlipuko wa Ebola Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaelekea kuwa mlipuko mbaya zaidi kuwahi kutokea

    Mlipuko wa hivi karibuni wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uko kwenye mkondo wa kupitisha mlipuko hatari zaidi wa ugonjwa huo kuwahi kutokea, alisema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Mlipuko wa mwaka huu, uliotangazwa tarehe 15 Mei, umeonyesha angalau kisa 4,300...
  2. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah walihusika na Mlipuko wa Beirut Lebanon mwaka 2020!!!

    🖤🇱🇧 Miaka sita iliyopita leo, Beirut ilibomolewa na mlipuko mmoja wenye nguvu zaidi usio wa nyuklia katika historia. Zaidi ya watu 220 waliuawa, zaidi ya 7,000 walijeruhiwa, karibu 300,000 walipoteza makazi yao, na jiji zima liliachwa na kovu katika sekunde chache. Maumivu ya siku hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Nafurahishwa sana na mlipuko wa ujenzi wa maghorofa Kariakoo, wenye nyumba za chini mliobaki pisheni, acheni ubishi

    Najua kwamba kuna uwezekano mkubwa pesa zinazotumika kununua viwanja na kujenga maghorofa Kariakoo ni pesa za upigaji (pesa zenye kona kona) , lakini nimetafakari na kuona kwamba ni bora anaeiba Tz na kujenga Tz , kuliko wanasiasa na wahindi wanaopiga pesa nchi na kwenda kuzificha uingereza na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Soko halina huruma. Kwa huu mlipuko wa biashara ya Wi-Fi, tunakoelekea internet itaanza kuuzwa sh 200, huku Serikali ikianzisha vibali na kodi mpya

    Kila wiki inayopita kuna nyumba, jengo au fremu mpya inayopandisha antenna ya kusambaza internet. Wengi wameona fursa, wamenunua vifaa, wamevuta fibre na kuanza kuuza vifurushi vya Wi-Fi. Lakini kinachonishtua si ongezeko la watoa huduma, bali kasi ambayo biashara hii inaanza kujiharibia...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mlipuko wa baruti waua na kujeruhi watu saba

    Mtu mmoja amefariki dunia na saba wamejeruhiwa kufuatia mlipuko wa baruti uliotokea leo tarehe 01 Julai 2026 majira ya saa 12:46 asubuhi kwenye kibanda cha kahawa katika Mtaa wa Sahwa ya Juu, Kata ya Lwanhima, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi mkoa wa...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran imesababisha mlipuko mkubwa umetokea kwenye jengo la mahakama georgia Marekani

  7. JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Watu wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu, mmoja ajeruhiwa

    Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amethibitisha kuwa tukio hilo la...
  8. JamiiForums Tanzania Gambia yaripoti mlipuko wa ugonjwa wa Mpox

    Gambia imeripoti mlipuko wa ugonjwa wa mpox baada ya kugunduliwa kisa kimoja kupitia mfumo wa uchunguzi wa kawaida. Ugonjwa huo, ambao ni dharura ya afya ya kimataifa, unazidi kuenea katika nchi za Afrika Magharibi. Wizara ya Afya ya Gambia imesema kuwa kugundulika kwa kisa hiki katika nchi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mlipuko huko Tehran

    Inaripotiwa mlipuko katika nyumba moja huko Tehran inayokaliwa na maafisa wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (IRGC).
  10. JamiiForums Tanzania Mlipuko wasikika ndani ya Pakistan

    Huku Pakistan wakiendeleq kuuguza kipigo cha India ambapo walipoteza miundo mbinu na magaidi 33 wa dini tayari wameanza kupokea milipuko humo ndani... Mnalo nyie watu, mnataka mpigane na kila mtu duniani, Sasa kwa Wahindi mumefuata nini.... A blast was heard in Pakistan's eastern city of...
  11. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea na huu mlipuko wa homa unaopewa jina la infection?

    Kuna nini kinaendelea na huu mlipuko wa homa kali inayo ambatana na muwasho kama wa tete kuwanga? Hebu tusemezane.
  12. JamiiForums Tanzania Mlipuko mwingine umetokea huko Iran

    Vyanzo vya Iran: Mlipuko ulitokea leo asubuhi saa 10:30 asubuhi kwa saa za Iran katika ghala la kampuni ya Avanar Parsian katika Mkoa wa Isfahan. Kampuni hii inatengeneza UAV na vilipuzi na inachukuliwa kuwa kampuni inayohusiana na ulinzi inayohusishwa na serikali ya Irani. Mtu mmoja aliuawa...
  13. JamiiForums Tanzania Mlipuko mwingine watokea Iran

    Mpaka tutaongea lugha moja A warehouse in Meymeh City, Isfahan, has exploded, reportedly resulting in the death of one person and leaving two more injured, Iranian media reported Tuesday. The company, Avanar Persian, is reported to be a fireworks and explosives manufacturer based in Meymeh...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Iran aishutumu Israel kwa mlipuko wa Bandar Abbad

    Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana: Mohammad Saraj, Mbunge wa Irani, kwenye mlipuko kwenye bandari ya Bandar Abbas: "Mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas haukuwa wa bahati mbaya. Kuna dalili za...
  15. JamiiForums Tanzania IRAN bado inahangaika kuzima moto uliotokana na mlipuko kwenye Bandari!!

    Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!! Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa kuu zima moto huo...
  16. JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa kwenye bandari ya Shahid Rajaee huko Iran!!!

    BREAKING: Mlipuko mkubwa wa ajabu ulitikisa bandari ya Shahid Rajaee ya Iran - ardhi ilitikisika na Kusik Ikea maili nyingi kutoka hapo. Utawala wa Ayatollah haujatoa taarifa yoyote kuhusu mlipuko huo. Kuna uwezekano mkubwa hujuma zimefanyika kwenye bandari hiyo au kuna wengi wanahisi huenda...
  17. JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea Irani

    Mlipuko mkubwa watokea huko Iran kwenye eneo la Bandari Abbas. Vyombo vya habari vya Iran vinakadiria zaidi ya watu 406 wamejeruhiwa na mlipuko huo. Inahisiwa mlipuko huo uliotokea kwenye bandari hiyo maarufu ya Iran inawezekana umetokana ama na madawa yenye kulipuka au na vimiminika lipushi!
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watu 11 wauawa katika mlipuko kwenye mkutano wa M23

    Watu 11 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa Alhamisi wakati wa mlipuko katika mji wa mashariki mwa Congo wa Bukavu uliotokea kwenye mkutano wa hadhara ulioongozwa na viongozi wa kundi la M23, ambalo lilichukua udhibiti wa mji huo mapema mwezi huu. Viongozi wa waasi wameituhumu Serikali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mlipuko wa Marburg Tanzania: Serikali yatoa Mwongozo wa Wasafiri wanaoenda na kutoka Mkoani Kagera

    Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa nchi Kilomita 1450 na 1068 kutoka Dar es Salaam na Arusha kwa mtawalia. Kufuatia mlipuko huu...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya asema Hospitali Maalum ya Magonjwa ya Mlipuko kujengwa Kagera

    Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya kushambuliwa mara kwa mara na magonjwa hayo. Akizungumza Mkoani Kagera wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…