mlipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    SI KWELI Iran imesababisha mlipuko mkubwa umetokea kwenye jengo la mahakama georgia Marekani

  2. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  3. Kurunzi

    Bagamoyo: Watu wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu, mmoja ajeruhiwa

    Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amethibitisha kuwa tukio hilo la...
  4. mwanamwana

    Gambia yaripoti mlipuko wa ugonjwa wa Mpox

    Gambia imeripoti mlipuko wa ugonjwa wa mpox baada ya kugunduliwa kisa kimoja kupitia mfumo wa uchunguzi wa kawaida. Ugonjwa huo, ambao ni dharura ya afya ya kimataifa, unazidi kuenea katika nchi za Afrika Magharibi. Wizara ya Afya ya Gambia imesema kuwa kugundulika kwa kisa hiki katika nchi...
  5. A

    Kuna mlipuko huko Tehran

    Inaripotiwa mlipuko katika nyumba moja huko Tehran inayokaliwa na maafisa wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (IRGC).
  6. MK254

    Mlipuko wasikika ndani ya Pakistan

    Huku Pakistan wakiendeleq kuuguza kipigo cha India ambapo walipoteza miundo mbinu na magaidi 33 wa dini tayari wameanza kupokea milipuko humo ndani... Mnalo nyie watu, mnataka mpigane na kila mtu duniani, Sasa kwa Wahindi mumefuata nini.... A blast was heard in Pakistan's eastern city of...
  7. Zemanda

    Nini kinaendelea na huu mlipuko wa homa unaopewa jina la infection?

    Kuna nini kinaendelea na huu mlipuko wa homa kali inayo ambatana na muwasho kama wa tete kuwanga? Hebu tusemezane.
  8. Echolima1

    Mlipuko mwingine umetokea huko Iran

    Vyanzo vya Iran: Mlipuko ulitokea leo asubuhi saa 10:30 asubuhi kwa saa za Iran katika ghala la kampuni ya Avanar Parsian katika Mkoa wa Isfahan. Kampuni hii inatengeneza UAV na vilipuzi na inachukuliwa kuwa kampuni inayohusiana na ulinzi inayohusishwa na serikali ya Irani. Mtu mmoja aliuawa...
  9. MK254

    Mlipuko mwingine watokea Iran

    Mpaka tutaongea lugha moja A warehouse in Meymeh City, Isfahan, has exploded, reportedly resulting in the death of one person and leaving two more injured, Iranian media reported Tuesday. The company, Avanar Persian, is reported to be a fireworks and explosives manufacturer based in Meymeh...
  10. Echolima1

    Mbunge wa Iran aishutumu Israel kwa mlipuko wa Bandar Abbad

    Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana: Mohammad Saraj, Mbunge wa Irani, kwenye mlipuko kwenye bandari ya Bandar Abbas: "Mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas haukuwa wa bahati mbaya. Kuna dalili za...
  11. Echolima1

    IRAN bado inahangaika kuzima moto uliotokana na mlipuko kwenye Bandari!!

    Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!! Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa kuu zima moto huo...
  12. Echolima1

    Mlipuko mkubwa kwenye bandari ya Shahid Rajaee huko Iran!!!

    BREAKING: Mlipuko mkubwa wa ajabu ulitikisa bandari ya Shahid Rajaee ya Iran - ardhi ilitikisika na Kusik Ikea maili nyingi kutoka hapo. Utawala wa Ayatollah haujatoa taarifa yoyote kuhusu mlipuko huo. Kuna uwezekano mkubwa hujuma zimefanyika kwenye bandari hiyo au kuna wengi wanahisi huenda...
  13. Allen Kilewella

    Mlipuko mkubwa watokea Irani

    Mlipuko mkubwa watokea huko Iran kwenye eneo la Bandari Abbas. Vyombo vya habari vya Iran vinakadiria zaidi ya watu 406 wamejeruhiwa na mlipuko huo. Inahisiwa mlipuko huo uliotokea kwenye bandari hiyo maarufu ya Iran inawezekana umetokana ama na madawa yenye kulipuka au na vimiminika lipushi!
  14. W

    Watu 11 wauawa katika mlipuko kwenye mkutano wa M23

    Watu 11 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa Alhamisi wakati wa mlipuko katika mji wa mashariki mwa Congo wa Bukavu uliotokea kwenye mkutano wa hadhara ulioongozwa na viongozi wa kundi la M23, ambalo lilichukua udhibiti wa mji huo mapema mwezi huu. Viongozi wa waasi wameituhumu Serikali ya...
  15. Influenza

    Mlipuko wa Marburg Tanzania: Serikali yatoa Mwongozo wa Wasafiri wanaoenda na kutoka Mkoani Kagera

    Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa nchi Kilomita 1450 na 1068 kutoka Dar es Salaam na Arusha kwa mtawalia. Kufuatia mlipuko huu...
  16. JanguKamaJangu

    Waziri wa Afya asema Hospitali Maalum ya Magonjwa ya Mlipuko kujengwa Kagera

    Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya kushambuliwa mara kwa mara na magonjwa hayo. Akizungumza Mkoani Kagera wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
  17. Stephano Mgendanyi

    RC Mrindoko wa Katavi aitaka jamii kuchukua tahadhari ya mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa mwezi mmoja kwa Katibu Tawala wa mkoa pamoja na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Katavi kufanya ukaguzi wa kina kwenye maeneo ya biashara nakuchukua hatua za haraka Kuzuia magonjwa ya mlipuko ambayo tayari yameathiri maeneo mbalimbali ya mkoa wa...
  18. Bhaghosha

    Serikali inaukaribisha Mlipuko au Vurugu kipindi hiki cha uchaguzi

    Chama cha upinzani Chadema kwa muda sasa wameshindwa kuunganisha nguvu ya umma dhidi ya serkali. Sasa ni serikali yenyewe imeleta kiwashio cha bomu. Chadema sasa inatakiwa ku detonate na nchi nzima ilipuke. Ni simple sana. Kwa kuwa kuenguliwa kwa wagombea wao ni mkakati, na hata baada ya...
  19. JanguKamaJangu

    WHO yatahadharisha Virusi vya Mlipuko Marburg kuendelea kusambaa

    On 27 September 2024, the Rwanda Ministry of Health announced the confirmation of Marburg virus disease (MVD). Blood samples taken from people showing symptoms were tested by real-time reverse transcription polymerase chain reaction (RT-PCR) at the National Reference Laboratory of the Rwanda...
  20. gallow bird

    Iran yakumbwa na mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe

    Mlipuko umetokea kwenye mgodi wa makaa ya mawe mjini Tabas,500km toka tehran,watu 30 wameuawa na 17 kujeruhiwa, wengine wakiaminika kunasa ndani ya mgodi
Back
Top Bottom