Salaam wakuu,
Uongozi wa Halmashauri ya Mlimba umetangaza kuanza kuwaandikisha na kuwasajili wakulima wa zao la kokoa,
Hii inafikirisha sanaaa, je Nia yao Nini hasa?
Kwanini waje na huo Mpango kwa wakulima wa kokoa tu? Kwanini wasifanye kwa wakulima wote wa mpunga, mawese, mahindi, matikiti...