mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Athari ya vita duniani na hali ngumu ya uchumi sasa na baadaye. Nini kifanyike?

    Kutokana na sababu mbalimbali Hali ya uchumi wetu yamkini si nzuri sana hivyo hata Kama haisemwi lakini kuna mambo yanaakisi hili.Kama taifa yatupasa kushikamana sana na kuhamasisha uzalishaji wa ndani Kwa Kiwango kikubwa ili kuondoa utegemezi wa bidhaa toka nje na matumizi makubwa ya fedha Za...
  2. Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini, EFF na Julias Malema, wanaenda kupata aibu ya karne

    Upigaji kura ulimalizika jana tarehe 29.05.2024. Zoezi linaloendelea sasa ni uhesabuji wa kura. Wapiga kura waliojiandikisha ni zaidi ya 27m. Watu walijitokeza kwa wingi kupiga kura. kulikuwa na utitiri wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi huu. ANC, EFF, DA na MK hivi vikiwa ndio vyama...
  3. L

    PreGE2025 Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi amehitimisha ziara ya siku mbili mkoani Singida kwa kusambaratisha hoja zote za Lissu za kibaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena Amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani hapo kwa kishindo kikubwa sana kilichotikisa Mikoa ya kanda ya...
  4. H

    Mkuu wa Wilaya Maswa aamlisha Uhamiaji wamkamate Mwananchi aliyepewa eneo lake la Mkuu wa Mkoa

    Habari, Muda mfupi uliopita DC MASWA amewaagiza askari wa uhamiaji kumkamata Baraka Kabezi na familia yake yote mkazi wa Marampaka Maswa kuwa siyo raia wa Tanzania na hivi sasa anashikiliwa na ofisi za uhamiaji Maswa. Chanzo ni mgogoro wa ardhi baina ya Baraka na Diwani wa eneo hilo na DC wa...
  5. T

    Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

    Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa. Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
  6. DOKEZO Jaji Mkuu ana taarifa kwamba majaji wa Mahakama Kuu siku hizi "Wanaandikiwa" hukumu na watu tunaopishana nao magengeni na kwenye baa?

    Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu! Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu Jaji, hata kama una kesi ya namna gani, utapata upenyo tu! Wakati Rais anateua Majaji, kwa kweli ni...
  7. Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

    Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT. Je huyu Jaji "Y" ni...
  8. M

    Paul Makonda ndiye Mkuu wa Mkoa anayependwa zaidi kuliko Wakuu wote wa Mikoa kwa sasa

    Nawashauri sana viongozi wa serikali, mimi ninaishi Songea, ninasoma mitandao ya kijamii lakini nasikiliza maoni ya watu mitaani, vijiweni na hata kwenye viwanja vya mpira. Paul Makonda anapendwa sana kwa namna anavyotumia kipawa chake kutatua kero za wananchi, kwa namna anavyosikiliza na...
  9. MUFTI MKUU WA OMAN: Tunaipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua nzuri iliyochukua ya kupiga marufuku USHOGA

    Allah atuongoze, hakika ushoga ni udhalili wa kupindukia.
  10. C

    RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

    Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
  11. PreGE2025 Ni wakati wa Mabeyo (aliyekuwa Mkuu wa Majeshi) kutuomba radhi

    Je Mabeho. Ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi hadhani huu ni wakati wake wa kutuomba msamaha? Je bado anaamini yupo sahihi? Ni kwa nini sisi Tanzania ni Nadra sana kupata wakuu wa Jeshi Wazalendo? Je haoni huu ni wakati wake wa kutubu na kutuomba msamaha?
  12. Mkuu wa Wilaya: Wananchi wa Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa SGR wafike ofisini

    Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR. Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
  13. L

    PreGE2025 Ni aibu kubwa sana CHADEMA kupigana ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni chama kisicho heshimu hata uwepo wa viongozi wake wa ngazi za juu,ni chama ambacho kinawakatisha na...
  14. U

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau kulihutubia Bunge la Marekani muda wowote

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa rasmi kutoka Congress Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni. Mungu ibariki Israel
  15. F

    SoC04 Tunatamani Uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa kufanyika kwa njia ya mtanado (Smart Vote Card)

    Tanzania Tuitakayo-Dira: Tunatamani uchaguzi mkuu na serikali za mitaa kufanyika kwa njia mtandao (smart votecard) Nini kifanyike kufikia njia ya usajili wa wapiga kura kwa njia ya mtandao, nirahisi sana Kanuni za uchaguzi chini ya tume ya taifa ya uchaguzi tanzania zinamtaka mwananchi/mpiga...
  16. Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  17. U

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha aanza ziara ya siku tatu wilayani Longido

    Wadau hamjamboni nyote Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda anaelekea Wilaya ya Longido katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi. Ziara hiyo ya siku sita imeanza leo Mei 23 na itamalizika Mei 30, 2024. Viva Paul Makonda
  18. Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

    Wanaukumbi. Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake. Marekani na nchi...
  19. G

    Tuunde ofisi ya kiongozi mkuu wa taifa (ayatollah wa taifa) ambaye atakuwa ndiye "brake" ya rais

    Sifa zake:- 1. Awe ni rais mstaafu wa JMT mkongwe kuliko wote. 2. Awe amehudumu kiti cha urais kwa mihula 2 (miaka 10). Majukumu yake. 1. Kuridhia maamuzi ya serikali juu ya uuzwaji ama ubinafsishai wa rasilimali za nchi. 2. Kumpa ushauri rais juu ya masuala yote yahusuyo nchi. 3. Kumuwajibisha...
  20. Huu ni wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Je, hili Jimbo nani aliibuka mshindi?

    Angalia hii video ukifika mwisho tushauriane on-line.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…