mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu ashiriki katika msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu, leo 17 Septemba, 2024 akiwa safarini kuelekea Jimbo la Rombo amepita Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga kwenye kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro ambaye alifariki tarehe 9 Septemba...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

    Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ___________________ 1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 2. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo! Maneno na hali ya...
  3. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji aliyemhukumu IGP Masengeli kifungo jela apokonywa walinzi; Jaji Mkuu Koome ataka warejeshwe mara moja

    Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau mahakama. Kufuatia kitendo hicho Tume ya Huduma za Mahakama(JSC) ikiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baraza la maulid Kitaifa limekaa kama mkutano mkuu wa NEC

    Kutoka Geita. Mgeni rasmi aliķuwa Kassim Majaliwa. Kila Sheikh, Maalimu, Mufti nk aliyepata nafasi ya kushika kipaza sauti amelaani maandamano ya Chadema huku wakitoa salamu za pongezi kwa CCM katika kudumisha amani, kuleta maaendeleo na kuzuia mauaji. Ilikuwa vigumu kutofautisha baraza la...
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ninaandika ushauri huu kwa lengo la kuboresha mchakato wa uchaguzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa, hadi Taifa. Ni wazi kwamba mfumo wa sasa una changamoto nyingi ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuhakikisha kuwa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyau kufanya ziarani ya siku tano Marekani, kuhutubia Baraza Kuu umoja wa mataifa septemba 27

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Netanyahu to make five-day jaunt to New York for UN speech By Lazar Berman Follow Today, 2:32 pm Prime Minister Benjamin Netanyahu will make a five-day trip to the US later this month to deliver an address to the United...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, jitokeze kujibu hoja hizi za Bonifa Jacob alizozitoa kupitia mtandao wa X

    CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango wa Magufuli alistahili kuwa waziri wa Fedha, Mpango wa Samia hafai kuwa hata mkuu wa Mkoa

    Dr. Philip Mpango alikuwa waziri wa Fedha wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ambapo alionesha uwezo wa kipekee katika kusimamia masuala ya kifedha ya nchi. Katika nafasi yake, alifanya kazi kubwa katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kuendesha mipango ya maendeleo, na hivyo kuwa...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

    Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto). Katika dini...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Serikali imesajili miradi ya Dola Bilioni 8.65 ndani ya mwaka mmoja

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 hali ambayo inaonesha matokeo chanya ya uwekezaji nchini. “Miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 ilisajiliwa mwaka 2023...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Profesa Ali Tabibu aeleza mabadiliko na mahusiano ya Kitaaluma na Tanzania katika mazungumzo na balozi Yakubu

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amefanya mazungumzo na Professa Ali Tabibu Ibouroi, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Comoro alipomtembelea katika makao makuu ya Chuo hicho. Prof. Ibouroi alimweleza Balozi Yakubu kuwa Chuo hicho kimeanzishwa miaka 20 iliyopita na ndio chuo kikuu pekee...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  13. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  14. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mfariji Mkuu

    Katika kipindi hiki ambapo vitendo vya utekaji, watu kupotea na kuuawa vimekuwa vikishamiri nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka kama kiongozi mwenye jukumu kubwa la kufariji wananchi wake. Wakati ambapo jamii inakabiliwa na woga na hofu ya usalama wao, kuna haja ya kuwa na sauti...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Paul Kimiti aliukosa Uwaziri Mkuu kwa kutokua na kifua

    1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon kwa mashosti zake. Mashosti wakaanza kuyasambaza kitaa. Mteuzi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa - Tekelezeni kwa vitendo falsafa ya 4r za Rais Samia

    06 September 2024 SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakizungumzia wimbi la utekaji

    Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na jamaa za waliotekwa? Kabla ya wimbi hili kuibuka, Bashite alitoweka kipindi kirefu bila kujulikana...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Ngara Watembelea Bungeni, Wakutana na Jafo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    ZIARA YA MAFUNZO BUNGENI YA WAFANYABIASHARA WA NGARA YAWA NEEMA KWA BIASHARA ZA KANDA YA ZIWA. 04/09/2024, BUNGENI DODOMA Baadhi ya wafanyabiashara wapatao 60 kutoka Jimbo la Ngara wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kujifunza uendeshaji wa shughuri za Bunge, kuongea na...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Job description ya Posta Masta inafananaje?

    Hiki cheo kimevuma hivi karibuni. Mwenye kujua huwa anajishughulisha na nini huyu POSTAMASTA MKUU atujuze.
  20. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Mtukufu Malkia,Vikaragosi wameanza kutoa Siri huku, wanaropoka huku wanajirekodi Kikaragosi mkuu alisikika akimuambia mchawi Karaba

    Sijamtaja mtu nimekumbuka katuni ya Kirikuu. Chama cha kijani kinaandwa na laana ya kuropoka ropoka Alianza Waziri Pena, Akaja, Mama yangu Kumwita Mnyama jina la Binadamu. Mara Mbwa. Chura Simba Muwe na usiku mwema. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika...
Back
Top Bottom