mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nawauliza watumishi wa Yesu Kristo: Mungu Mkuu kupita miungu yote, aliye hai peke yake, kwa nini wanaoneana Wivu katika kazi walizopewa!?

    habari ya wakati huu jamii forum leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

    Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji...
  3. U

    JamiiForums Tanzania News alert Pamoja na kutakiwa kupumzika na madaktari baada ya upasuaji tezi dume Netanyau atahudhuria uapisho wa trump 20/1/2025 Washington DC

    Wadau hamjamboni nyote? Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 1, 2025 Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery By...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Kassim na wananchi wa Ruangwa walivyofatilia Hotuba ya Rais Samia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
  5. JamiiForums Tanzania Tumchangie Lissu 30 Million za Mkutano Mkuu wa CHADEMA

    Heshima sana wanajamvi. CHADEMA wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa. Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini. Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh...
  6. JamiiForums Tanzania Eti kila akifungua beer anasikia sauti ya mwalimu mkuu

    Milevi bana.. Inaanza kuona shule za kulipia ni overrated. https://www.jamiiforums.com/threads/haki-itendeke-kesi-ya-mwalimu-wa-shule-ya-kingdom-heritage-banana-dar-kutuhumiwa-kumbaka-mwanafunzi-wa-darasa-la-saba.2277312/...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wenje: Bajeti ya Uchaguzi mkuu wa CHADEMA ni zaidi ya milioni 700

    "Chama chetu kina ruzuku ya milioni 107, huwezi kukiendesha Chama kikubwa kama Chadema kwa kiasi hicho cha fedha. Tunaenda kwenye Uchaguzi Mkuu huu ambao yeye anagombea, bajeti yake ni zaidi ya milioni 700.
  8. JamiiForums Tanzania Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

    Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe, Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe. Naomba unijubu maswali haya, 1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
  9. JamiiForums Tanzania Nawatakia wana JamiiForums wote heri ya mwaka mpya 2025

    Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa 2024. Natambua fika tumepitia mengi ndani ya mwaka wote huu. Wako ndugu na jamaa zetu wengi kwa namna...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  11. JamiiForums Tanzania KANDA YA PWANI: Mwenyekiti mstaafu wa Kanda hiyo Baraka Mwago amewataka wajumbe wote wa mkutano mkuu wamchague Tundu Lissu ili chama kisife

    Allahmdulillah! Nilipata heshima ya kuhudumu kwenye nafasi mbalimbali za chama chetu kuanzia nyumbani Mkuranga, kisha Uenyekiti wa Mkoa wa Pwani. Niliiongoza Kanda ya Pwani kwa miaka mitano wakati wa mawimbi makali ya mwendazake, na nikahudumu katika Kamati Kuu ya Chama kwa miaka 5. Kwa uzoefu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate surgery, Prime Minister Benjamin Netanyahu addresses the Knesset, December 23, 2024. (Chaim...
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa WHO 'alinusurika kifo' katika shambulio la uwanja wa ndege wa Yemen

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisimulia kuhisi "amefichuliwa kabisa" wakati wa shambulio hilo, ambalo liliua takriban watu...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwenu wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kwa uchaguzi ndani ya chama , ole wenu

    Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo. Husika na mada tajwa hapo juu. Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza kwenu na vijisenti vyake ila kumbuka mmetumwa na wanachama ambao wamewapa dhamana kubwa ya kiuongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Israel yaichakaza miundombinu ya magaidi wa Houthi na kumjeruhi mkuu wa WHO

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom akiwa na wafanyakazi wengine wamenusurika kuuawa katika shambulio la anga, linalodaiwa kufanywa na ndege za kivita za Israel kwenye uwanja wa ndege wa Yemen, ambalo limesababisha vifo vya watu watatu na wengine kujeruhiwa. Mhariri |...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu mgombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa kila kiongozi mwenzake mwandamizi, pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa anawona kama madui au wabaya wake

    Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku zinavyokwenda. Nadhani sasa amefikia ukomo wa kufunguka yaliyokua yakimzonga moyoni mwake baada ya kuyahifadhi...
  17. JamiiForums Tanzania FAM aitisha Hafla ya Siri Nyumbani kwake Akialika Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Na Kuwaahidi Vinono

    EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu… Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM… Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa… Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi! FAM atasifiwa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tuache kuwabeza wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA

    Ninatoa raia ya kwamba tusiwabeze wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Kwa kuonesha kwamba wanashinikizwa kufanya maamuzi kwa njia ya Rushwa. Wajumbe wa mkutano mkuu hawawezi kuhongwa maana wanajua nani anafaaa kuwa mwenyekiti wa chama na si vingine. Kuna watu kama akina Ntobi wameshajihakikishia...
  19. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Hongera Sana Yericko Nyerere. Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo . Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme . Huu...
  20. JamiiForums Tanzania Benjamini Netanyahu awatakia wakristo wote Krismasi njema

    Marafiki zangu wapendwa Wakristo, mnapokusanyika pamoja na familia na marafiki zako Krismasi hii, ninawatakia jumuiya ya Wakristo katika Israeli na ulimwenguni kote baraka za Krismasi Njema kutoka Nchi Takatifu. - BENJAMINI NETANYAHU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…