mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: TRA yataifisha gari Na kumkabidhi ofisi ya mkuu wa mkoa

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma imekabidhi rasmi gari aina ya ISUZU kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya matumizi ya serikali, baada ya kutaifishwa kutokana na kuingizwa nchini kinyume cha sheria. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanasheria Mkuu anauza sheria ambazo Bunge limetunga?

    Jana tukijiandaa kuingia mahakamani, tulibishana hoja kadhaa na mawakili wenzangu, kuna Revised Edition 2023 ambayo Rais Samia alizindua hapa juzi na tukaambiwa inauzwa milioni 4, sheria hizo zilizohuishwa tunaambiwa zitaanza kutumika July 2025. AG Feleshi aliyepita alipohuisha R.E 2022...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ungependekeza nani awe Katibu Mkuu wa CCM baada ya Dkt Nchimbi kuanza majukumu ya Ugombea Mwenza na hatimaye Umakamu wa Rais?

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa kila mmoja wetu anafahamu ya Kuwa Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ndiye Mgombea Mwenza Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini pia Ni ukweli ulio wazi kuwa Balozi Dkt...
  4. JamiiForums Tanzania Je mkuu amepungukiwa na akili?

    Mithali 28:16 Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana; Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake.
  5. JamiiForums Tanzania Shekhe mkuu na Bakwata mnaamini FAZA kitima alikuwa analewa? Aibu iwe juu yenu

    Nina imani shekhe mkuu wa mkoa wa Dsm angekuwa yule aliyen'golewa hasingekaa Kaa kimnya mpaka Leo hasijitokeze kukemea kitendo alicho fanyiwa FAZA Kitima. Swali je Shekhe mkuu Wa Tanzania na Bakwata mpoooo?
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aibwatukia Qatar

    Baada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu: "Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia fukuza kazi mkuu wa polisi...

    Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi... Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
  10. JamiiForums Tanzania Lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudishwa kwa mateka- Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika makaburi ya kijeshi ya Mlima Herzl huko Jerusalem, Aprili 30, 2025. (Marc Israel Sellem/POOL) Waziri Mkuu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi ina waziri mkuu kweli? Au tulimuoverate tu kipindi kile cha kufoka foka.

    Nchi kwa sasa inajiendesha yrnyewe na imefila kwenye ile formulae ya survival of the fittest. Kama huauko fit kujilinda basi unatekwa na wasiojulikana au hakuna anayekujali kabisa as if serikali haipo but waziri mkuu yupo na akishtukiwa huwa anaenda kufoka mikoani with no utekelezajia. He is a...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naibu katibu mkuu bara chadema ninawasiwasi nae

    Harakati zote hizo yeye hata hajaguswa na vyombo vya dola. Mpinzani kweli huyu? Haendi KISUTU huyu? Waliobaki wote naona wanampigania lissu badala yeye
  13. S

    JamiiForums Tanzania Napenda Chadema ishinde Uchaguzi Mkuu.

    Vipi iwapo Chama chetu cha Chadema kitashinda uchaguzi wataruhusu au tuseme kukubaliana na nchi wanazozitegemea kuwapa sapoti, yaani Chadema itaruhusu uvutaji wa bangi na mambo mengine. Kila kitu huria mladi usivuke mipaka.
  14. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu TEC, Rev Dkt. Charles Kitima: Wasitupangie cha Kusema

    Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema; Kupata...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kujiuzulu wadhifa wake

    Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kwamba atajiuzulu kutoka wadhifa wake mnamo Juni 15, akitaja jukumu la kibinafsi kwa shirika hilo kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7 la Hamas. Ikizungumza katika hafla ya ukumbusho wa wafanyikazi waliokufa wa Shin Bet, Bar inasema kwamba baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA Yaomba Tume ya Uchaguzi Kuwaruhusu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, endapo Tume ya Uchaguzi itawapa nafasi hiyo.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya uchunguzi kuhusu uchangishaji fedha kinyume na taratibu kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya mkuu wa wilaya ya Maswa

    Kwa Waziri,Mh Mohamed Mchengerwa,Waziri wa TAMISEMI. Sisi wafanyabiashara wa mji wa Maswa kunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utaratibu unaoendelea wa kuchangishwa fedha na Katibu Tawala wa wilaya ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya. Taarifa...
  18. JamiiForums Tanzania Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

    https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM...
  19. JamiiForums Tanzania Unashauri ndoto za vijana wa chadema zilizozimwa kwa makusudi na ghafla kwa ubinafsi wa uongozi wao mpya wakazitimizie kwenye chama gani cha siasa?

    Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema. Leo hii ghafla, na kwa makusudi, chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Awaahidi Wananchi Uchaguzi Mkuu Utakuwa Wa Amani, Huru, na Wa Haki, Kama Ulivyokuwa wa Serikali za Mitaa 2024

    Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…