mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeangalia marudio ya mahojiano cha Bwege EATV na kipindi cha mjandala mkuu Star tv cha Paschal Mayalla, asee nimeona tofauti

    Jana wakati naangalia marudio ya mahojiano ya mzee Mbwege na mtangazaji Mtei nikalinganisha kipindi cha mjadala mkuu jumatano Star TV cha Paschal Mayalla ni aibu kubwa sn kwa msomi kama Paschal Mayalla kuwa chawa badala ya kuwa mzalendo kwa taifa lake, Bwege pamoja na kwamba ni mgonjwa wa figo...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa majeshi ya Iran na wanasayansi wa nyuklia wauawa kwenye shambulizi la Israel

    Kumekuchaa....jamaa wamewahishwa kwa mabikira. The likelihood is increasing that the Iranian General Staff, including the Iranian Chief of Staff Mohammad Bagheri, and senior nuclear scientists were killed in the opening strike of Israel's Operation Rising Lion, early Friday morning. Dozens...
  3. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025

  4. I

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga kwa kuchangia tone tone!

    Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga ameomba samahani kwa vurugu zilizotokea katika mkutano wa Chadema mjini Igunga. https://twitter.com/Rydx_017/status/1932698774637318410?t=NO05ylCjFuDIiqyK310g0g&s=19
  5. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mheshimiwa Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
  6. JamiiForums Tanzania Leo mkuu wa idara kaniwakia sana kwa kosa dogo, yote sababu haniwezi kwenye ligi ya mademu

    Anashangaa yeye ana cheo na ukwasi zaidi yangu ila tukii gia ligi sehemu namtoa, yeye anakataliwa mimi nakubaliwa. Sasa kuna pisi kali ilikuja hapa, yeye katumia nguvu nyingi hadi pesa ila amemkosa, mshua sijamtongoza ila dada anajigonga gonga sana kwangu. So naona tumeshaongia uhasama kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025 #GE2025

  8. S

    JamiiForums Tanzania Watu waelewe kuwa propaganda za chama tawala ni namna ya kutafuta kisingizio kwamba wameshinda uchaguzi mkuu, hata wasiposhinda watatangazwa washindi

    Nadhani Watanzania wote waelewe modus operandi ya CCM. Moja, sio kwamba hawajui umuhimu na haja ya kufanya reforms katika taratibu za uchaguzi. Wanajua sana, na zaidi wanaelewa kwamba reforms, hata kama zikifanyika na upinzani ukashindwa kutwaa kiti cha raisi, zitatoa fursa ya kuwa na wabunge...
  9. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI

    Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI. Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Kura tunazopiga uchaguzi Mkuu zinahesabiwa kweli?

    Wadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa! Thamani ya Kura ipo wapi? Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
  11. JamiiForums Tanzania Body language ya mkuu wa kaya inaonyesha kuwa kisu kiligusa mfupa

    Nimefuatilia kwa umakini hotuba yake alipokuwa anachangia harambee ya shule ya watoto wenye mahitaji maalumu. Body language na facial expression inaonyesha kuwa kisu hajikata nyama peke yake. Mfupa pia umeguswa . Maana alidiriki kutamka kuwa kuwa waliopo pale ni viongozi wa dini wa kweli kisa...
  12. JamiiForums Tanzania Kiherehere cha Mbweha na uchaguzi mkuu.

    "Mbweha aliposema, 'Pasipo mabadiliko hakuna uchaguzi,' aliulizwa: 'Na pasipo ukweli, mabadiliko yanatoka wapi?' Akakimbia kwenda kugombea tena." - Alloyce, P.R.
  13. JamiiForums Tanzania Changamoto ya uwasilishaji wa mawazo kwa viongozi wa Afrika hasa mkuu wa nchi ya Comoro

    WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari awasilisha muswada wa marekebisho ya Sheria Tisa (9) Bungeni, agusa Bandari na Uhujumu Uchumi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu Poor brain, mateso ya Mama wa Kambo hauko peke yako, tumeyapitia wengi

    Pole sana mkuu hauko peke Yako tumeyapitia wengi, mim nilikuwa nanyimwa maji ya kunawa uso Ile asubuhi kwenda shule kisa maji sikuyachota, Kuna siku shule walituma vipande vya Kuni asubuhi yake nikadokoa kimoja kisiri huwezi amini alinifata mpaka shule na kanga Moja kunipokonya ukuni...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kuhusu amani

    Mimi ni mwalimu, juzi kati nikiwa nafundisha kuhusu topic ya Promoting Peace” wanafunzi walikuwa na maswali mengi sana. Maswali yao yalikuwa ya kutaka kujua 1. kwa nini kuna nchi zipo vitani 2. kwa nini vita hutokea 3. Na ni namna gani vita uanza Mfumo wa ufundishaji wangu ni wa kuwafanya...
  17. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Katika kikao...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yasisitiza Uwazi na Uhuru Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki, kwa mujibu wa sheria mpya za uchaguzi za mwaka 2024. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mimi kama Rais wa kijani nitasimamia reforms kwa miaka miwili ndipo tuingie kwenye uchaguzi mkuu 2027

    Hatuwezi Fanya uchaguzi Kwa kelele hizi zilizopo, Uminywaji wa haki ya kuchagua na kuchaguliwa utasababisha machafuko huko mbeleni na wananchi kukosa Imani na serikali!! Ni aibu kuona jeshi la polisi likizunguka kanisa na silaha za moto kana kwamba Kuna tishio la kigaidi!! Nitasimamia reforms...
  20. JamiiForums Tanzania Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

    Wanabodi leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Paskali https://www.youtube.com/watch?v=rxqoSMPy4Ug
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…