mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askofu mkuu Thadeus Ruwaichi anaunguruma muda huu!

    Wakuu, Askofu mkuu wa jimbo la Dar es Salaam anatoa tamko muda huu kama Kiongozi wa Tume ya haki na amani TEC. Kupitia TV Tumaini anasema wakati wa kuzungumza ni sasa na hatujachelewa. Amesisitiza sauti ya umma isipuuzwe! Ni katika adhimisho la misa Takatifu UWAKA day.
  2. JamiiForums Tanzania Samia amesema "Mimi ni amirijeshi mkuu" mara nyingi kwa kipindi cha miaka minne

    Rais Samia Suluhu Hassan ndiye Rais pekee aliyejitambulisha kwa cheo cha UAMIRIJESHI MKUU mara 3129 ndani ya kipindi cha miaka minne huku watangulizi wake walikuwa wakitambulishwa na wengine . Wataalam wa phycology kitaalam jambo husika linatoa tafasiri gani kiroho na kimwili? Na mnatoa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Bunge lilipovunjwa Spika, Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge

    Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu mpaka Oktoba 2025 imekaaje. Serikali mpya itaundwa baada ya uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025. Ambapo Rais...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Uhuru wa Habari upo shakani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Malalamiko kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania yameongezeka tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 28, 2025. Vyombo vya habari vimekuwa vikikabiliwa na vikwazo vingi, ikiwamo kupewa maonyo, kuamriwa kushusha maudhui yasiyoifurahisha Serikali, na hata kufungiwa. Mfano...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wanufaisha maisha katika mji mkuu wa Angola

    Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri. Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Amiri Jeshi Mkuu anapokiuka Katiba, na inapokosekana Mifumo thabiti ya kumwajibisha, Jeshi linapaswa kuchukua hatua

    Katiba inatambua haki ya msingi ya uhai na kuishi kwa kila mwananchi. Amiri Jeshi Mkuu anapokiuka Katiba kwa kuruhusu operesheni za Wananchi wanaompinga kutekwa, kupotezwa na kuuwawa huku Taasisi zinazopaswa kumwajibisha zikiwa zimekufa mfano Bunge, Mahakama, Tume ya Haki za Binadamu na Ofisi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa sasa nimeamini utekaji unaoendelea una baraka za wakubwa. Kiranja mkuu hajawahi kufikria hata kumwambia IGP ajitazame kwa yanayotokea na kuendelea

    Kilanja mkuu anajuwa utekaji huu maana wengi wamepotea hakemei wala IGP hamwajibishi , kilanja mkuu anaona haya yako sawa kabisa! Aisee hatar sana
  8. JamiiForums Tanzania Angalizo kwa mkuu wa majeshi CDF

    Ukichelewa kuwawahi wanamtandao (wahuni) akina kikwete na wenzake, watakuwahi wewe. Kwasasa wanaweza kutokuwa na imani na ww baada ya taarifa isiyoeleweka kutoka JWTZ kuhusu captain Tesha, mgawanyiko wa Jeshini unaotokea ambao unakufanya ufikirie kuwaleta pamoja kwa kuwapa haki wananchi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania BOT, Wadau Kimataifa waipongeza Benki ya CRDB Mageuzi ya Mfumo Mkuu

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma, kuimarisha usalama...
  10. JamiiForums Tanzania "Ooh mimi nawajua watanzania.." kibao. Unamjua nani???Hakuna unayemjua mkuu, na mikoani tutadai haki zetu zaidi

    Wewe ni nani ujifanye unamjua mTanzania na uvumilivu wake? Yani mimi nivumilie watu wanauwawa nchini kwangu? Watu wanatekwa kila siku, alafu nitulie tu kisa sio familia yangu? Ripoti za CAG ufisadi wa kutisha,, nitulie tu??? We pokea hiyo hela kale, hizo propaganda hazifanyi kazi tena
  11. JamiiForums Tanzania Coastal Union Yasitisha Mkataba na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir

    Uongozi wa Klabu ya Mpira wa Miguu - Coastal Union umefikia makubaliano ya pande zote ya kusitisha kandarasi na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir. Klabu inamshukuru Mwalimu Ali Mohammed Ameir kwa mchango wake uliotukuka kwa kipindi chote alichoiongoza timu yetu. Uongozi wa Coastal Union...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

    Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi: Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana: Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mwanza na timu ya wataalamu Wizara ya Maji kupita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa Maji

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza- Said Mtanda, Katibu Mkuu Wizara ya Maji- Mhandisi Mwajuma Waziri pamoja na timu ya wataalamu wa Wizara ya Maji wakipita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa huduma ya majisafi baada ya kukamilika marekebisho ya mtambo wa kusukuma maji uliopata hitilafu, Mradi wa Maji...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi Mkuu 2025 Tumeukwepa, Asante Lissu kwa kutufungua macho, Asanteni pia mliomchagua mwenyekiti

    Haikuwa rahisi kuyakwepa haya maigizo. Asanteni sana.
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa kulitambua rasmi taifa la Palestina

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa Uingereza kulitambua rasmi taifa la Palestina zaidi ya miaka 100 baada ya Azimio la Balfour kuunga mkono "kuanzishwa kwa makazi ya kitaifa ya Wayahudi nchini Palestina", na miaka 77 baada ya kuundwa kwa taifa la Israel chini ya Mamlaka...
  16. JamiiForums Tanzania Dr Dotto Biteko - Waziri Mkuu Mteule makini

    Asanteni Bukombe , asanteni CCM. Jembe tunatamba nalo.
  17. JamiiForums Tanzania FFU wakabidhiwa Magari 8 na Mkuu wa Mkoa Mwanza kuimarisha Utendaji wa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3. Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Jasusi Mkuu na ukwasi wake wa ‘Dolari’ - ana biashara gani!?

    Kipindi fulani tuliskia dola zimeadimika, lakini watoto wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya. Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kama mkuu wa usalama anahusishwa na na kashfa za ufisadi wa kupindukia, tunaweza sema bado tuna nchi?

    Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi? Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…