Inawezekana vipi katika hali kama hii ya sasa, mkuu wa nchi upo kimya na unaendelea na majukumu yako kama kawaida kana kwamba hakuna kinachoendelea,
Ilhali nchi ipo kwenye tension kubwa, malalamiko ni mengi kila kona, makundi tofauti tofauti yanakupinga kwa namna unavyoongoza nchi, ila umekaa...