mkuu wa mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr. Raphaeli Chegeni. Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson...
  2. JamiiForums Tanzania Furaha ya Albert Chalamila baada ya kuteuliwa Mkuu wa Mkoa Tabora

    Uteuzi wa Chalamila umetoa Funzo kubwa sana kwa vijana, Baada ya kutenguliwa Chalamila aliendelea kuwa na heshima ndani ya chama chetu cha CCM. Chalamila aliendelea kuheshimu mamlaka ya uteuzi na aliendelea kuishi maisha ya kawaida ya kujichanganya na watu. Vijana lazima mjifunze kuheshimu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni nafasi za Wazee, hawa Vijana wanazivamia tu

    Hata ukiangalia nature yake na hasa ile nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama utagundua hizi siyo nafasi za Vijana. Vijana sehemu zao ni RAS, DAS, DED, WEO, VEO na vyeo vingine vya Ushindani mbali ya Hivi vya Mseleleko. Waangalie Makonda, Gambo, Happi Mnyeti, Ole Sabaya, Kasesela...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
  5. JamiiForums Tanzania Shehe mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndani ya tamasha la ‘Muziki Mnene’

    Naona shehe mkuu wa mkoa wa Mtwara ameenda kwenye tamasha la Muziki Mnene lililo waleta wasanii wa muziki wa kizazi kipya mkoani Mtwara. Hongera ndugu zangu waislamu kwa kukubali kushiriki kwenye tamasha hili la Muziki wa Bongo fleva na Singeli. Pia niwapongeze waumini wenu kama Naseeb Abdul...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mwanza atangaza Shilingi bilioni 1.45 zilizodaiwa ‘kupigwa’ zimerejeshwa

    Miezi minne tangu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel aagize wanawake, vijana na wenye ulemavu waliotokomea na Shilingi bilioni 4.9 za mikopo ya halmashauri kuzirejesha tayari shiingi bilioni 1.45 zimerejeshwa na vikundi hivyo. Gabriel alitoa agizo hilo Aprili 25 mwaka huu huku akisema Sh4.9...
  7. JamiiForums Tanzania RC Makalla, inaonekana hujui tatizo la wavamizi ardhi unaopambana nao

    Salama wandugu, Nimemsikiliza leo Makala sijamuelewa kabisa,yeye anadai anapambana na wavamizi ardhi, hivi ardhi inakaa tu idle ina vichaka haziendelezwi halafu wananchi wasivamie lazima wavamie na wapo sahihi kwa sababu watu wa nchi hii ni selfish sana wao. Wanaona kumiliki ardhi kubwa ndio...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa aagiza shule zote za Sekondari za Dodoma kufunga CCTV Camera

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ametoa wito kwa Shule zote za Sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kuhakikisha zinafunga CCTV Camera ili kusaidia kubaini watu wanaojihusisha na vitendo vya kiuhalifu katika maeneo ya Shule. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Morogoro apiga marufuku Walimu kuwekwa ndani

    RC apiga marufuku walimu kuwekwa ndani Martine Shigela alitoa agizo hilo wakati wa akifungua kikao cha wadau wa elimu wa mkoa wa Morogoro katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) kilicholenga kutathmini masuala ya sekta hiyo. Kikao kazi hicho cha wadau wa sekta ya elimu mkoa...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda na RC Kagera, kwanini watoto wanarudishwa majumbani kwa mzazi kushindwa kulipa mchango? Je, elimu bure ni kuhadaa wananchi?

    Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni. Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya: Akamatwa kwa kujifanya Mkuu wa Mkoa

    Polisi Mbeya wanamshikilia Warren Mwinuka (20) wa Makondeko Mbeya kwa tuhuma za kujifanya Mkuu wa Mkoa Mbeya (Juma Homera ) na kutumia Instagram yenye jina la Mkuu huyo kutaka Watu wampe kero zao na kuwatapeli pesa, upelelezi ukikamilika atafikishwa Mahakamani.
  12. JamiiForums Tanzania Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema wakazi wa Ngorongoro wanabomoa makazi yao kwa hiyari, Wakazi 296 wajiandikisha kuhamia Tanga

    Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mkuu wa Mkoa asitisha mfumo wa stakabadhi ghalani ili kuwabeba walanguzi

    Hii ni habari ya kusikitisha kwa Wakulima na hujuma kubwa toka kwa Mkuu wa Mkoa, mtu aliyetegemewa kuwasaidia wananchi sasa amekuwa mkandamizaji kwa wananchi. Kwa takribani mwezi sasa kumekuwa na juhudi toka kwa wafanyabiashara wahindi na madalali wao wa kuzuia mfumo wa stakabadhi ghalani...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hizi Kauli ya Spika na Mkuu wa Mkoa ukiunganisha na tukio zima,Kipi tuamini Mgogoro toka zamani upo au umeibuka saivi?

    Spika anatoa kauli yake Juu ya swala la Ngorongoro na mkuu wa Mkoa anatoa Taarifa yake ambayo ina kinzana na Taarifa ya Spika na ukitazama Mtu alie kwenye control ya Lile eneo ni Mkuu wa Mkoa so ana details za kutosha na inaonyesha huu Mgogoro sio wa Leo lakini spika alikanusha hapa, Nani...
  15. JamiiForums Tanzania Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
  16. JamiiForums Tanzania Zoezi la 'Beacons' Loliondo lamuibua Mkuu wa Mkoa John Mongella

  17. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma azindua tamasha la majimaji selebuka 2022

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mh Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, ameagiza ushiriki wa wilaya na halmashauri zote za Mkoa Wa Ruvuma kwenye tamasha la Majimaji Selebuka litakalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 30 July 2022 mjini Songea. Tamasha hili limekua jukwaa kuu la biashara, kutangaza...
  18. JamiiForums Tanzania Antony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na ya Nebukadneza Mfalme wa Babel

    Jana nilifatilia kongamano la usalama la mkuu wa mkoa wa Dodoma maeneo ya s/m kisasa, mkutano huu ulikuwa mbashara TBC TAIFA, kilichoniskitisha ni kupigwa marufuku kwa mapambio ya kumsifu Mungu wakati wa mikesha usiku, nimeskitika Sana , niseme huo ni ushetani, Mungu wetu hana mipaka katika...
  19. JamiiForums Tanzania Zoezi la ugawaji wa pembejeo kwa wakulima, RC Mtwara wabane sana viongozi wa vyama vikuu vya ushirika kuna mchezo wanaucheza

    Zoezi la ugawaji wa pembejeo Kwa kiasi kikubwa linatiwa dosari na viongozi wa vyama vikuu vya ushirika. Wengi wao wanahujumu pembejeo za wakulima Kwa kujilimbikizia viwatilifu na kuviiza. Lakini pia waangalie Kwa umakini maafisa ushirika Kuna mchezo wanaucheza Kwa kushirikiana na makatibu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Iringa: Mkuu wa Mkoa azungumzia Wanaume Wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha ili kukata pombe

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga ametangaza kuwasaka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya ukatili ndani ya mkoa huo. Pamoja na msako huo amedai ukatili wa baadhi ya wanaume hasa wanaolewa kupindukia kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha kwa imani ya kukata pombe unaendelea kupungua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…