Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja.
Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu kwa daladala na magari madogo mjini. Hivyo, hata kama mmiliki wa mabasi anayo terminal kubwa ya kupaki...
Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania
Na: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
SOMO: WITO WA KUDHIBITI TABIA YA KUTUKANANA NA KUDHALILISHANA MITANDAONI KWA BAADHI YA MASHEIKH.
Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh,
Nawasilisha barua hii nikiwa kama mmoja wa Waislamu anayejali kwa dhati heshima ya...
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za uzazi wa mpango.
Haya ndiyo mambo makuu aliyoyazungumza Juni 18, 2026 Jijini Dodoma:
1. Mafunzo na...
TAARIFA KWA UMMA
Kumejitokeza shutma zilizotolewa na wazazi na walezi kuhusu malipo ya wanafunzi walioshiriki katika halaiki ya uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026. Shutma hizo zinadai kuwa kila mwanafunzi anastahiki kulipwa Shilingi laki tatu (300,000) kwa kila mmoja.
Baada ya...
Kuongoza mkoa Hasa UKIWA umetoka vyama vya upinzania usipotuliza komwe utapigwa sana za uso mwishowe utadodonkea pia pwaa!
Kwini wa Manyara inawezekana akawa the valueless mkuu wa mikoa katika ya wakuu WA mikoa nchini Tanzania.
Ni mkuu wa mkoa ambae alikuwa kila siku yupo mitandaoni na maneno...
https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs
Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi.
Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa).
Meja...
Unatuletea siasa uchwara Kanda ya Kasikazini utachinjwa mchana kweupe we endelea na magonjwa yako badala ufanye kazi unaanza siasa mfu heti Maendeleo yalichelewa kisa upinzani, kwani Hela ni Mali ya CCM?
Mnaturudisha kwenye siasa za kishamba kwa manufaa ya nani?
Umepewa bilioni mbili...
Nimeshangaa kuona kwenye Tv Mbunge wa Tabora mjini akikagua Zahanati jimboni kwake.
Amefoka kama mbwa kukuta uchafu na dawa zilizokwisha muda wake.
Swali ni kuwa anakagua kama nani? Nini maana kuwa na mihimili mitatu? Kazi ya mkuu wa mkoa na wasaidizi wake ni nini?
Nimekuwa nikimfatilia huyu bwana Chalamila mwenye kichwa kinachofanana na senene wa Bukoba akijinadi hadharani na kutuaminisha kuwa ni mwema na hahusiki juu ya mauaji ya maelfu ya watanganyika ,la hasha. Chalamila Leo unajiona mwema ila tambua kizazi chako na familia yako lazima italipa damu za...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, amefanya ukaguzi maalum katika eneo la Mbagala ili kujionea uharibifu uliotokea kufuatia tukio la maandamano lililotokea tarehe 29 Oktoba. Ukaguzi huo umefanywa kwa lengo la kutathmini athari zilizopata miundombinu ya mradi wa mabasi ya...
Mkuu wa mkoa wa njombe Anthony Mtaka ameshirikiana na wakazi wa njombe katika maombi ya pamoja kuwaombea waliofariki katika maandamano, huku akisisitiza wazazi kuwausia vijana sambamba na kuendelea kuliombea taifa libaki na Amani.
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Makambako, Mtaka...
Wakuu...
Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani?
kuna hawa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza- Said Mtanda, Katibu Mkuu Wizara ya Maji- Mhandisi Mwajuma Waziri pamoja na timu ya wataalamu wa Wizara ya Maji wakipita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa huduma ya majisafi baada ya kukamilika marekebisho ya mtambo wa kusukuma maji uliopata hitilafu, Mradi wa Maji...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3.
Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika...
Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General.
Swali...
Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo.
Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa mvuto kwa vijana na kipawa chake cha kuburudisha na kwenda sambamba na aina ya hadhira katika majukwaa...
Meneja Wa TRA Mkoa wa Simiyu Ndugu Joseph Mtandika Siku ya Ijumaa tarehe 01.08.2025 alimtembelea mkuu mpya wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anamringi Macha Kwa lengo la kujitambulisha na kumkaribisha. Pia Meneja alimkabidhi tuzo ambayo Mkoa umepewa na Kamishna Mkuu Ndg Yusuph Juma Mwenda kwa kuvuka...