mkutano mkuu wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Mpina: Sijashiriki kumpitisha Rais Samia kwenye mkutano mkuu wa CCM

    Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amejibu kuhusu kumpitisha Rais Samia kwenye mkutano mkuu wa CCM
  2. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini mafanikio makubwa ya mkutano mkuu wa CCM taifa kidigitali leo, yamewaudhi sana wahuni, vibaka na matapeli wa kisiasa nchini?

    Maana muda mwingi tangu kutangazwa kwa mkutano mkuu wa leo, wapiga ramli na wahuni wa kisiasa wenye chuki binafsi dhidi ya CCM, walikua wakifanya mikesha na ibada za kishirikina, eti ili mkutano mkuu wa ccm taifa kidigitali, uvurugike na usifanyike vyema kama ilivyo pangwa, lakini badala yake...
  3. peno hasegawa

    Mwenye Link ya Mkutano Mkuu wa CCM unaofanyika online Leo tarehe 26.8.2025 Tafadhali!

    Ninaomba atupatie!
  4. Wimbo

    GE2025 Mkutano mkuu wa CCM kesho kuwashangaza wengi

    Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo. Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10...
  5. GENTAMYCINE

    Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  6. Tlaatlaah

    Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ndio chombo cha Juu zaidi Tanzania kinachoweza kubadili au kubatilisha matumizi ya katiba yake au hata katiba ya nchi

    Na ndio maana mkutano mkuu maalumu wa CCM pale makao makuu Dodoma mapema mwaka huu2025, uliamua, ukaridhia na kuidhinisha mabadiliko ya katiba ya CCM bila tatizo lolote na vile vile mkutano mkuu huo huo wa CCM taifa, ukajadili, ukaamua, ukaridhia mapendekezo ya wajumbe wa mkutano mkuu huo wa...
  7. DodomaTZ

    GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama. Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya...
  8. Kitimoto

    Kumbukizi: Kibajaji na Hoja ya Kihistoria Katika Mkutano Mkuu wa CCM – 2025

    Dodoma – Januari 2025 Mwaka 2025 utabaki kwenye historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama mwaka ulioshuhudia moja ya mijadala ya ndani ya chama yenye mvuto mkubwa wa kisiasa, ujasiri wa ndani, na tafakuri ya kidemokrasia. Tukio hilo lilitokea katika Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika jijini...
  9. U

    Kupinga hadharani maamuzi ya mkutano Mkuu wa CCM ukiwa mwanachama ni dharau na Uasi mkubwa kwa Mwenyekiti Polepole afukuzwe Chamani

    Hiyo ni kanuni muhimu ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya CCM Akabidhi KADI ya Uanachama na aende huko anakoona kinamfaa
  10. McLaren

    GE2025 Chama cha Kim Jong Un chashiriki mkutano wa CCM wa kuzindua ilani ya chama

    Wakuu, Yaani imefikia point where CCM inachukua mafunzo ya uongozi kutoka North Korea Kwanini CCM isingekaribisha vyama vyenye demokrasia kama Republicans na Democrats kutoka au Labor Party kutoka Uingereza? Ni hatari sana kwa chama tawala kujihusianisha na MADIKTETA. Nimesikitika na kuogopa...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Mtume Boniface Mwamposa ndani ya mkutano Mkuu wa CCM

    Kwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  12. McLaren

    Rais Samia kwa mwakilishi wa Urusi kwenye mkutano mkuu wa CCM: "You're grown up but still handsome"

    Wakuu, Huko Dodoma mambo yameendelea kuwa moto.
  13. McLaren

    PreGE2025 CCM yazindua rasmi Ilani yake ya 2025. Yaweka Katiba Mpya kama mojawapo ya agenda watakazozitekeleza!

    Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu akishiriki Mkutano Mkuu Chama cha Mapinduzi CCM siku ya pili Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma, leo tarehe 30 Mei, 2025. Soma hapa Ilani > Ilani ya CCM 2025-2030 https://www.youtube.com/watch?v=yXnzuEg-DLk...
  14. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Picha hii ni ya Gwajima kutoka mkutano mkuu wa CCM Dodoma Mei 29, 2025

  15. MamaSamia2025

    Relax.... ameenda tu kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM atarudi J'tatu

    Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko ungekuja. Kutokana na uhaba wa sehemu za malazi, manzi ako kapata hifadhi kwenye nyumba ya mjumbe wa...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Injinia Hersi atinga mkutano mkuu wa CCM, asema ameenda kama mwanachama aliyealikwa na katibu mkuu

    "Ni mwanachama wa CCM, lakini nimepata mualiko wa katibu mkuu. Wote ni mashuhuda wa kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi katika kusimamia ilani ya michezo na mafanikio yote tunayoyapata yanaanzia hapa na tumpongeze mwenyekiti wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri na...
  17. Mr Beast

    Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  18. S

    Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM wa tarehe 29- 30, 2025, kuna jambo linakwenda kutokea na lisipotokea, basi liko mbioni

    Kuna taarifa niliona mahali kuwa CCM watakuwa ns Mkutan Mkuu tarehe 29 na 30 mwezi huu wa May. Kama taarifa hii ni usahihi (niliipata kwa usahihi ) basi kuna jambo kubwa linaloweza kwenda kutokea ambalo linaweza kupindua maamuzi fulani makubwa ya awali. Niweke wazi kuww Pess ya Gwajima ya leo...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: CCM kuzindua Ilani mpya ya 2025–2030 na kufanya marekebisho ya Katiba katika Mkutano Mkuu Maalumu Mei 29–30

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha...
  20. M

    Kuelekea mkutano mkuu wa CCM

    Naomba kutoa maoni yangu kuhusu mkutano wa CCM unaokwenda kufanyika hivi karibuni. 1. Ikiwapendeza naomba wachague mgombea mwingine wa Urais anayekubalika zaidi na wananchi. Hii itasaidia kutotumia nguvu na gharama kubwa wakati wa kampeni. Lakini kuna shida gani akisimama mtu mwingine wa CCM...
Back
Top Bottom