mkutano mkuu ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mkutano mkuu wa CCM - Yanga Africa kutolewa CAF- Mkutano mkuu wa Chadema. Nyota ya Tundu Lisu inang'aa Sana

    Kwa Hesabu za Kimamajusi wa nyota ya Mashariki Tundu Lisu ameshashinda uchaguzi wa Chadema labda tu Polizia wamsaidie Mwamba Kwa kutumia maguvu CCM - Yanga Africa - Chadema Ahsanteni Sana 😃
  2. M

    Kitendo cha CCM kumleta Wassira mzee wa miaka 80 inaonyesha upungufu wa human resource katika chama hicho

    Of all the people ndani ya chama cha mapinduzi eti CCM wanamleta Stephen Wassira. Mzee wa miaka 80 eti awe ndiyo makamu mwenyekiti wa chama hicho. Hili ni jambo la kustaajabisha sana kwa viwango vyovyote vile. Na hii ni kwa sababu zifuatazo. 1. Tulitegemea CCM ijifunze kwa Kujiuzulu Kinana...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Mhamasishaji Michael Msechu aendelea kufanya uhamasishaji Dodoma. Ashirikiana na bodaboda kufunga mitaa

    Wakuu, Nawaonea huruma sana wakazi wa Dodoma katika kipindi hiki. Inawezekanaje bodaboda wachache waruhusiwe kufunga barabara? Yaani kila sehemu ni vurugu na mabendera ya CCM sehemu zote. Na hawa bodaboda wanadanganywa sana ============================ Maafisa usafirishaji Mkoa wa Dodoma...
  4. Manyanza

    Huyu Tajiri huko CCM ana nafasi gani?

    Ni Gharib Said Muhammad (GSM) Naomba wana jamvi nisaidie huyu Tajiri ana cheo/nafasi gani kwenye Chama? Saa nane mchana alikuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM saa 10 yupo Dar uwanjani hii inawezekanaje ? Cc Tlaatlaah chiembe ChoiceVariable milele amina Lucas Mwashambwa johnthebaptist
  5. Cute Wife

    PreGE2025 CHADEMA na wengine chukueni somo kwa CCM. Japokuwa mkutano umedoda lakini kwa kujipaga wamewapiga gape vibaya sana

    Wakuu, Tumeona CCM walivuohangaika na mkutano wao kuhakikisha unafana na kuwa talk of the town lakini bado kumedorora utafikiri hawajabeba wasanii wote Tanzania mpaka Kongo :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKLaugh: Lakini pamoja na yote hayo, kwenye kujipanga na kuhakikisha jambo lao linakuwa super...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Timu za mpira zinafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM? Ndio malipo ya 'Goli la Mama'?

    Wakuu, Kama soka hairuhusiwi kujichanganya na mambo ya siasa na serikali, sasa wawakilishi wa Simba na Yanga wanafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM? Wakikilishi wa Yanga Eng. Hersi na mwenzake wameenda kwenye mkutano huu kwaajili ya nini? Kuwashawishi wapenzi wa soka kuipigia kura CCM...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

    Habari Wakuu, Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025. Nani kumrithi Kinana? https://www.youtube.com/live/kGNDo4TvGpI?si=ud91is-_-iElNfhO Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini...
  8. Hamduni

    MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM 2025

    #TunazimaZoteTunawashaKijani #TunayeTunatambaNae #HilindioChamaKubwa
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    Kama haupo Dodoma kwenye vikao vya ccm weekend hii, na unajufanya ni mwanachama kindakikindaki, basi jua wewe ni mpiga kelele tu

    Wenye chama chao wapo Dodoma, wewe upo hapa unatupigia kelele tu, amka toka usingizini! Punguza uchawa…
  10. L

    Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa...
  11. Mindyou

    PreGE2025 Baba Levo: Nikipewa kadi ya CCM kwenye mkutano mkuu, nitamrudishia Zitto Kabwe kadi yake ya ACT

    Wakuu, Baba Levo ndo ameshamwaga manyanga hivyo. Akiwa anazungumza jana kwenye kipindi chake cha Jana Na Leo, Baba Levo amesema kuwa iwapo kwenye mkutano huu unaoendelea Dodoma ataepwa kadi ya CCM basi atamrudishia Zitto Kabwe kadi yake ya ACT Wazalendo. Ni rasmi sasa wasanii wote isipokuwa...
  12. chiembe

    PreGE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

    Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma! Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye...
  13. Waufukweni

    Wasanii mbalimbali watua Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM: Hivi, Wanaenda kwa lengo la Maendeleo au Wanatumika kwa Agenda za Kisiasa?

    Wakuu Kama mnavyoona picha hapo chini, Ingawa ni haki yao kushiriki, ni muhimu kujiuliza: Je, wasanii hawa wanapochangia katika majukwaa ya kisiasa wanachangia kwa lengo la kuleta mabadiliko ya Kimaendeleo au Wanatumika kama vifaa vya kuendeleza agenda za kisiasa za CCM? === Wasanii...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    Watanzania Wanapenda Ubuyu wa Kisiasa. Wanasiasa wanatumia udhaifu huo kuwanyonya

    Tumeingia kwenye mfumo wa 4-4-2. Vyama vyote ni mali ya serikali, serikali ni mali ya CCM.
  15. LICHADI

    Kuna uhaba wa mabasi ya mwendokasi halafu tunaona CCM mnashusha mabasi mapya ya chama, kuweni na aibu

    CCm ndio Serikali yenyewe Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua...
  16. figganigga

    Angalia fujo za CCM barabarani. CHADEMA mtakoma Mwaka huu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali. Walianza na Baiskeli, wakaja Pikipiki sasa ni Magari. Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA. Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee? Tunasubiri Makali ya UKAWA. SAMIA 3 -0 UKAWA
  17. Mindyou

    PreGE2025 Baada ya Zanzibar, Michael Msechu atua Dodoma kufanya "uhamasishaji" kwenye mkutano mkuu wa CCM

    Wakuu, Balozi wa Mazingira na muhamasishaji wa maendeleo Michael Msechu pamoja na mkali wa mashahili Nchini Tanzania Fumau Mashahiri wameongoza hamasa Wilaya kwa Wilaya wakati wakielekea Mkoa wa Dodoma Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Rais Samia na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Taifa...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 CCM wanatoa wapi fedha za kununulia msululu huu wote wa Mabasi, kama sio Kodi za Wananchi ni nini?

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Jokate Mwegelo ame-share video hii ya Mabasi (Yutong Bus) ya CCM katika msafara ukielekea Dodoma kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa unaotarajiwa kufanyika Tarehe 18-19 Januari, 2025. Soma: CCM kufanya mkutano mkuu Januari...
  19. Erythrocyte

    PreGE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

    Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema...
  20. J

    PreGE2025 Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya mkutano mkuu CCM

    ✳️JOKATE AWAPA TANO VIJANA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MKUTANO MKUU CCM. Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo amesema jumuiya hiyo imeridhishwa na kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na vijana wa chama hicho ya kuandaa ukumbi kwa...
Back
Top Bottom