Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude, amewatoa hofu wananchi wa Arusha kuhusu hali ya usalama katika jiji hilo kuelekea zoezi la upigaji kura linalotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo Oktoba 27, 2025, ofisini kwake, Mkude amesema Jeshi la Polisi limejipanga vyema kuhakikisha...