Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono.
Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu,
Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono??
Yericko: Hawezi...