mkoa wa tabora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml afumaniwa na Mkuu wa Mkoa Mh Paulo Chacha

    Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml akumbwa na kadhia kubwa ya aibu na adhabu kali baada ya kushtukizwa na mamlaka za ukaguzi wa miradi nakupelekea kupewa adhabu kali na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh Paulo Chacha kwa makosa ya ubadhilifu wa fedha za mradi wa soko...
  2. J

    RC Paul Matiko: Uzalishaji wa Maziwa Mkoa wa Tabora umeongezeka kwa 200%

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa kuhudumia ng’ombe 889,183. Ananendelea kwa kusema Serikali pia imetoa pikipiki 44 kwa maafisa mifugo...
  3. Lycaon pictus

    Nikiwa mkuu wa mkoa wa Tabora nitahakikisha mkoa unakuwa tajiri kwa kuzalisha pombe ya asali(Mead)

    Wakuu mi sitaki vyeo vikubwa kama ndugu Dennis Robert Shughuru , ukuu wa mkoa tu unanitosha. Pombe/wine ya asali ni pombe moja ghali sababu ya ughali wa asali. Tanzania ni ya pili Afrika baada ya Ethiopia kwa uzalishaji wa asali. Mkoa wa Tabora ni mkoa unaoongoza kwa kuzalisha zao hilo nchini...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Watu wa 5 mbaroni kwa tuhuma za kumteka na kumuua Mtumishi wa TASAAF mkoa wa Tabora

    Jeshi la Polisi nchini linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kumuua Castory Casian Madembwe, Mtumishi wa TASAAF Mkazi wa Ipuli Mkoani Tabora, kisha kuufukia mwili wake nyuma ya nyumba aliyopanga mmoja wa watuhumiwa hao na juu yake kupanda nyanya. Watuhumiwa hao ni Nelson Samwel, Mkazi...
  5. DuaZaMama

    GE2025 RC- Chacha Agomea Millioni 5 za mtia nia amchana Makavu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameibua mjadala mkali wa kisiasa baada ya kudai kuwa baadhi ya wagombea wa kisiasa wamekuwa wakijaribu kumshawishi kwa fedha ili waweze kufanikisha ushindi katika kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza mbele ya viongozi wa serikali...
  6. Just Pray

    GE2025 Shilole achukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na CCM kugombea ubunge wa Viti maalumu mkoa wa Tabora

    Namshukuru Mwenyezi Mungu mapema leo nimefanikiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama changu cha CCM kugombea nafasi ya UBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Tabora kupitia UWT. Nashukuru nimepokelewa na mama yangu Katibu wa UWT Mkoa wa Tabora, Bi. Rhoda John Madaha. Ndugu zangu fomu...
  7. Waufukweni

    GE2025 Mkuwe Isale (Mamy Baby) achukua fomu ya kugombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora

    Mtangazaji na mwanaharakati wa kijamii, Mkuwe Abdul Isale maarufu kama Mamy Baby, ameonyesha nia ya kulitumikia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum. Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Tabora, Mamy Baby...
  8. Waufukweni

    Kiboko ya Ali Kamwe, RC Paulo Chacha alitikisa bunge, Wabunge wapagawa na kumpigia makofi mazito

    Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Tabora akana kuhusishwa na G-55 'sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote...
  10. ngara23

    Rais Samia tunaomba umtumbue Mkuu wa mkoa wa Tabora hatoshi pale

    Bwana Paul Chacha ni mkuu wa mkoa ambaye anamchafua mheshimiwa Rais Samia makusudi Analeta ubabe wake wa Kikurya kwenye mambo ya football Alitukana Yanga wana kiherehere na wanahonga wachezaji, ambazo hizo ni Tuhuma chafu sana alitaka ajibiwe vipi? Yaani aje kishabiki halafu kumjibu Yanga...
  11. ngara23

    Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

    Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
  12. M

    Paul Chacha: Wachezaji wa Tabora wanatumiwa SMS na watu wa Yanga ili walegeze mechi

    Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya rushwa kumtia hatia mtu ni vigumu sana wakati mwingine kwa sababu anayetoa rushwa anafanya vile kwa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wazee mashuhuri mkoa wa Tabora Wafanya Matembezi Kumpongeza Viongozi wa CCM kwa Kuteuliwa Kugombea Urais 2025

    Viongozi wa dini, wazee mashuhuri pamoja na wakazi wa mkoa wa Tabora, wamefanya matembezi katika kila kona ya manispaa ya Tabora kwa lengo la kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dkt...
  14. Rula ya Mafisadi

    TABORA: Mkoa wa Tabora nao Watangaza kumuunga mkono Lissu unakuwa mkoa wa 19 kutangaza azimio hilo

    === Wakati zikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wajumbe na viongozi wa chama hicho mkoa wa Tabora wameazimia kumuunga mkono mgombea wa nafasi hiyo Tundu Lissu, na kubainisha kuwa wanataka kiongozi mchapakazi kwa maendeleo...
  15. S

    Nimesoma IT, natafuta kazi

    Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
  16. milele amina

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,msikilize Mkuu wa Mkoa wa Tabora! Chukua hatua Jimbo la Moshi Mjini Kuna shida mahali!

    Sitaongea mengi! Huu ni mwaka mpya! Sikiliza
  17. Dkt. Gwajima D

    Pongezi kwa Raia Mwema (Mtoa Taarifa) na Mkuu wa Mkoa wa Tabora

    Pongezi ziwafikie raia mwema (jina kapuni) na Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Timu yake ya Usalama kwa ushirikiano wao jana 5 Oktoba, 2024 ambapo, Saa 9.56 jioni nilipokea ujumbe wa simu kutoka kwa raia mwema mzalendo (jina kapuni) kuwa kwenye gari la abiria (bus) linalojulikana kama Kisbo lenye namba...
  18. Jeep wrangler

    DOKEZO Waziri Ummy Mwalimu, tunaomba uingilie kati, Zahanati ya Hosiana Mission Tabora tunanyanyaswa na uongozi wa mkoa

    Utangulizi: Kituo cha Hosiana mission dispensary kinapatikana katika Manispaa ya Tabora. Kituo hiki cha afya kimekuwa ni kimbilio kwa watu wenye matatizo mbalimbali ndani na nje ya manispaa ya Tabora. Kituo hiki kina madaktari, wauguzi na watumiahi wengine wasiopungua 10. Baada ya maelezo...
Back
Top Bottom