Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
Wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya, inakabiliwa na tatizo kubwa la umeme wa kiwango cha chini (low voltage) wakati wa mchana.
Tatizo hili limekuwa sugu kwa zaidi ya miezi sita, na Tanesco wanaonekana kama wamefungia macho kwa hali hii.
Matokeo yake ni kwamba vifaa vya umeme, kama vile pampu za...
Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi nafasi ya pili kwa kura 1,150 na matokeo mengine kwa ujumla.
Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai...
Wilaya ya Mbarali inasikitisha kuona barabara ina zaidi ya miezi nane hadi kumi, ikiwa imewekwa vifusi na havijasambazwa kwa kipindi cha muda mrefu.
Ni kama imetelekezwa pasipo kuendelezwa ujenzi wake hivyo kupelekea usumbufu kwa watumiaji wa njia hiyo, ikiwa ndio njia kuu kutoka Igawa kuelekea...
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali na kumshikilia popote Mkoani humo
Kamanda huyo amewaomba wote wenye Taarifa zitakazowezesha...
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo.
Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari...
Hapa Halmshauri kwetu (Rungwe ) Mkoa wa Mbeya kuna baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wamekuwa wakitoa huduma ya Zabuni ya kulisha Shule za Sekondari za Serikali, Magereza na Chuo cha ufundi kwa muda mrefu, lakini kwa bahati mbaya PESA ZAO hawalipwi kwa wakati ama hawalipwi kabisa
Wamekuwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo vitendo vingine vinasababisha kukatisha maisha na kuharibu mustakabali wao kisa uroho wa madaraka...
Kamati Kuu ya Chama cha Wandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya, imewataka wandishi wa habari wote wa Mkoa huo kutoshiriki shughuli yoyote ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mpaka pale Kamati Kuu ya Chama hicho kitakapomaliza tofauti za pande zote mbili.
Taarifa ya leo Machi 15, 2025 iliyotolewa na Kamati...
Niko mkoa wa mbeya hasa shughuli zangu zilizonileta nazifanyia mbeya mjini na Tukuyu.
Hizi bei ndogo za vyakula wanazouza zimenifanya nijiulize hawa watu faida wnazipataje.
Mfano
Kande la mahindi mabichi na maharage wanauza sh 500,wakati dar mara ya mwisho kula kande niliuziwa 2,000/=
Wali...
Habari,
Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
Habari ndugu zangu wa Jammi Forum, mimi ni kijana wa miaka 29, mwenye uzoefu wa kusimamia watu na tasisii kwa miaka 7, saizi sina kazi, naomba kazi yoyote ndani ya mkoa wa Mbeya, kazi yoyote nipo tayari. Asante.
Bado niko mbeya
Juzi jumapili nikawa mgahawa mmoja maarufu hapo mtaa wa Soweto.
Nikasema ngoja nifanye simple research kuhusu ulaji wa watu wa huku.
Imagine mtu anakunywa supu na Chips, kweli hivi vitu vinaendana?
Unakuta mwanamke anakupigia supu ya kongoro na ndizi afu anashushia na tochi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.