mkoa wa arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Arusha: Afisa Maendeleo Kata ya Sombetini anaomba rushwa kwa wanavikundi walipata Mkopo

    Hili suala linaumiza sana; nje ya kuwa ni sehemu ya majukumu yake. Wana vikundi wanaopata mkopo anawadai hela katika kila milioni moja anataka 50,000. Hii si sawa kabisa. Hawa wana vikundi wanaokopa ni wajasiriamali wadogo na hiyo hela wanarudisha.
  2. A

    KERO Makato ya Mkopo na kutorejeshewa fedha

    Mahali pa Kazi: Wilaya ya Meru, Mkoa wa Arusha Ninatoa malalamiko yangu hadharani dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusiana na makato ya mkopo yaliyofanyika kimakosa na kutorejeshewa fedha hadi sasa. Historia ya Masuala ya Elimu na Ajira: Mwaka 2010, nilichaguliwa kujiunga na...
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 RC Makalla: Hali ya mkoa wa Arusha ni shwari, shughuli za kijamii na kiuchumi zimerejea

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Gabriel Makalla amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Arusha, wageni na Watalii wanaofika Mkoani Arusha kuwa hali ya ulinzi na usalama Mkoani Arusha ni shwari na shughuli za kijamii na kiuchumi zimerejea katika hali yake ya kawaida. Mhe. Makalla amebainisha hayo...
  4. PAYE

    GE2025 Wazee mkoa wa Arusha wafanya matembezi ya amani, RC Makala atoa neno

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amewahakikishia wazee na wananchi wa mkoa huo usalama na amani wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025. Akizungumza katika matembezi ya amani ya wazee wa Arusha, yaliyofanyika kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu...
  5. Waufukweni

    GE2025 Makonda: Nililishwa Sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka 2024

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amekiri kuwahi kulishwa sumu hali iliyomsababishia kulazwa hospitalini na kutoonekana hadharani. Makonda amefichua siri hiyo leo Jumapili, Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo...
  6. U

    TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  7. Pdidy

    Nani karuhusu hizi kelele za club nyuma ya Golden Rose hotel Arusha.. Hatumwogopi Mungu?

    KWAKO MKUU WA MKOA WA ARUSHA MKURG WA HALMASHAURI NA WENGINEOOO NILIKUJA KWENYE SEMINA MOJA ARUSHA NIMRONDOKA LEOOPOO ILA NILIYOYAONA ARUSHA YA ASIKITISHA SANAA SANAAAA KUNA CLUB IKO NYUMA YA GOLDEN ROSE HOTEL.... HII SEHEMU JTATU ASBH MPAKA SAA MBILI N MAKELELE YA MZIKI FUJO ZA WANAWAKE...
  8. M

    Hawa watu 4,5OO waliopata ajira kipindi cha Rais Samia baada ya kuufanyia Mkoa wa Arusha mabadiliko makubwa ya kiuchumi wasiache kumshukuru sana

    Rais Samia amejenga Viwanda vipya zaidi ya 1,000 Vikitarajiwa Kuchangia TZS40bn hadi TZS60bn ya Pato lote la Mkoa wa Arusha na kuajiri walalahoi 4,500. Mkoa wa Arusha umeendelea kuwa miongoni mwa vinara wa maendeleo ya sekta ya viwanda nchini, kufuatia utekelezaji wa sera thabiti za viwanda na...
  9. Mributz

    Msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba mkoa wa arusha

    Habarini Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti Tokea nijenge nina mwaka sasa Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae Thanks
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rais Samia atoa mitungi 1,000 kwa mamalishe na babalishe wa mkoa wa Arusha

    Kwaniaba ya Rais Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amekabidhi mitungi ya Gesi 1000, kwa Umoja wa Wajasiriamali wanaopika chakula Mkoani Arusha (Mamalishe na Babalishe), akiwasihi kuendelea kumuombea kheri kutokana na mapenzi yake makubwa...
  11. GENTAMYCINE

    RC Makonda Sifa nyingi kumbe Mkoa wa Arusha hauna Stendi ya Uhakika wa Mabasi na Wakazi wanalalamika Kutwa

    Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo...
  12. Waufukweni

    RC Makonda na Viongozi wa Dini Kwenye Matembezi ya Amani Arusha

    Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Viongozi wa dini wameitumia siku hii kufanya maombezi ya kuliombea taifa pamoja na mkoa wa Arusha, wananchi wamejitokeza kwa wingi. Soma, Pia: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Disemba jijini...
  13. D

    DOKEZO TANROADS mkoa wa Arusha wekeni matuta pale shule ya msingi Kimandafu na njia ya ng'ombe au mnasubiri maafa makubwa yatokee

    Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni. Pale eneo la...
  14. Pfizer

    Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha, Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia

    Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na kusherehekea uandishi wa habari uliotukuka kwenye masuala muhimu yanayohusiana na kilimo endelevu...
  15. N

    KERO Changamoto shule ya msingi Kimandafu Halmashauri ya Meru mkoa wa Arusha

    Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km unga, chereko, mchele, mafuta ya kupikia. Jambo la kwanza huyu Birgita serikali inamfahamu? Pili...
  16. Erythrocyte

    Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

    Taarifa kamili hii hapa
  17. chiembe

    Kwanini Katibu Tawala Mkoa wa Arusha akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara leo? Mkuu wa Mkoa wa Arusha yuko wapi?

    Mwenge ni protocal ya Rais, nilitarajia Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulikoni Arusha!? Hata mgomo wa wafanyabiashara Namanga, kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Arusha hajaenda kuushughulikia? ======= Mbio za Mwenge wa Uhuru leo July 26th, 2024 zimeingia katika...
  18. GoldDhahabu

    Mkoa wa Arusha haina msemaji?

    Kuna minong'ono imekuwa ikiendelea kwa siku kadhaa sasa kumuhusu RC wa Arusha, Paul Makonda, kwamba anaumwa sana na amekimbizwa South Afrika kwa matibabu. Hisia za baadhi ya watu ni kuwa kalishwa sumu kutokana na kuhatarisha maslahi ya "mafisadi" fulani. Kwa kipindi chote tokea hizo tetesi...
  19. G

    PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  20. Nyendo

    Makonda ameagiza kuhamishwa kwa Wakuu wa Idara mbalimbali za Mkoa wa Arusha ambao wamehudumu kwenye Mkoa huo kwa zaidi ya miaka mitano

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ameagiza kuhamishwa kwa Wakuu wa Idara mbalimbali za Mkoa wa Arusha ambao wamehudumu kwenye Mkoa huo kwa zaidi ya miaka mitano. Waliohamisha kwa maelekezo ya Mkuu wa Mkoa ni pamoja na James Labikoki ambaye ni Afisa usafirishaji na taka ngumu...
Back
Top Bottom