mkewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

    pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analala na track na jeans na ww mwanaume unamuangalia huna cha kufanya ni.ubwge
  2. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu kanipa number ya mkewe nimtest kumtongoza kama atakubali

    Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani. Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake. Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila...
  3. JamiiForums Tanzania Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

    Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Sehemu totauti tofauti ili kukosekana ushahidi. Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Baba wa familia ndie injini ya nyumba, Hakuna shida akila vizuri akiwa mihangaikoni, wala sio ubinafsi kama wengi wanavyodhani

    N:B: Baba wa familia anaehudumia sio aliekimbia au kukwepa majukumu Kwa tamaduni za waafrika wengi baba ndie injini ya familia, ndio maana familia nyingi sana baba akiondoka mambo yanayumba hata kula inakuwa ya shida. Injini inahitaji service, kuwekewa oili mara kwa mara kulainisha vyuma na...
  5. JamiiForums Tanzania Shinyanga:mme amtoboa macho yote mkewe

    Watanzania tumekuwa makatili sana hapa naona dada mmoja anaitwa esta anaohojiwa UTV akiwa haoni baada ya mumewe kumtoboa macho yote mawili bado haoni . Mume baada ya tukio hilo amepotea kusikojulikana na jeshi la police linamsaka Kama mtu humtaki si bora muachane kwa amani , Kama huna akili...
  6. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mume kumfumua mkewe nywele?

    Nyinyi wajomba na mashangazi mliopo humu ndani naombeni mitizamo yenu kwenye hii ishu, mke akiwa anataka kufumua rasta zake zinazomuwasha utamfumua kama akikuomba?
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge viti Maalumu Zanzibar Wanu Hafidhi Amir avishwa vazi la Bibititi Rufiji

    UWT wilaya ya Rufiji wamemvesha rasmi Mbunge viti Maalumu Zanzibar na Mke wa Mbunge wa Jimbo Rufiji na Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Wanu Hafidhi Amir vazi la asili ya Rufiji maarufu kama vazi la Bibi Titi wakati alipofika akiwa ni Mgeni rasmi kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji...
  8. JamiiForums Tanzania Case File 1: Mwanaume aliyekodi watu ili kumuua mkewe wakiwa Honeymoon (True Story) Part 1

    Miaka ya mwanzoni mwa 2000 maisha yalikuwa yakienda vizuri kwa dada aliyejulikana kama Ani Hindocha, mwenye asili ya India ambaye alizaliwa na kulelewa nchini Sweden. Akiwa amemaliza shahada ya Engineering na alikuwa amepata kazi katika kampuni ya Erricson kama Mwandisi wa umeme katika kampuni...
  9. JamiiForums Tanzania Tulimzika rafiki yetu pembeni kabisa ya nyumba yake ili mkewe asiiuze

    Pamoja na kuwa kuna wazee wa ovyo wengi ila bado kuna wazee wenye busara wengi pia. Tuliwahi kupata msiba wa rafiki yetu ambaye alioa mke mrembo sana toka kaskazini,huyu mke alikuwa cha pombe na utulivu zero kabisa,hata kifo cha jamaa kilikuwa cha utata sana kuna watu walidai mke alihusika...
  10. JamiiForums Tanzania Tajiri aliyemuua mwanaye ili abaki na mkewe

    Daniel alifanikiwa kuuona mwaka mpya lakini hakumaliza hata robo ya siku katika mwaka huo. Ikiwa ni alfajiri ya saa kumi na moja, siku ya Ijumaa ya tarehe 1 January 2021, Dan alikuwa njiani kuelekea nyumbani kwake akitokea Club Tent ambapo alikuwa anasheherekea 'kuuona mwaka mpya'. Ndani ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ibrahim Baba wa Imani Alimwambia Íshmael mwanaye amfukuze Mkewe kwa sababu hana heshima na Adabu. Ishmael akamtii Babaake akamfukuza Mkewe

    IBRAHIM BABA WA IMANI ALIMWAMBIA ISHMAEL MWANAYE AMFUKUZE MKEWE KWA SABABU HANA HESHIMA NA ADABU. ISHMAEL AKAMTII BABAAKE AKAMFUKUZA MKEWE. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Ukitaka ndoa na familia yako íwe Stable hata nyakati ñgumu na watoto wako wawe na nidhamu na wafaníkiwe basi Nakushauri...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya kutalikiana Mr and Mrs Raqey Muhammed, mume ataka kumrudia mkewe baada ya kugundulika ana cancer

    Wengi wetu wahenga tunaijua hii couple Raqey ni mtu mwenye historia ya kusisimua katika kujitafuta kwake mpaka kujipata (zero to hero) Sarah pia ni mwanamke mrembo na mpambanaji sana, kajipata kwenye biashara ya chakula Kwa pamoja historia yao ya mapenzi mpaka ndoa ilikua ni nzuri sana...
  13. JamiiForums Tanzania Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

    Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind. This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...... Mwangalie ndani ya macho mmh, aah, mpeleke kando, na umwambie (na umwambie)....... Commit a crime...
  14. JamiiForums Tanzania Daktari jela kwa kumpa sumu mkewe kusudi ili mimba itoke

    Ilitokea Ohio, marekani, 2000 KWA KIFUPI Ni kwamba, Binti mmoja baada ya kula sana ujana, miaka 33 anaamua kuseto kwa kutafuta mume wa ndoto zake afanye maisha. Vigezo vyake Ni awe mrefu, handsome na professional na anabahatika kupata mchumba daktari na penz lao Moto Moto penzi linaingia...
  15. JamiiForums Tanzania DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

    Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume walio na wake wafanyakazi wana mapungufu. Mwanaume kamili mkewe ni mama wa nyumbani.

    Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake. Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu kuu mbili zinazoweza kumfanya mwanaume asimsaliti mkewe

    Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80% Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao. Ila ukimuona mwanaume ambaye hacheat kwa mke/ mpenzi wake jua zipo sababu mbili kuu ambazo zinamfanya asiwe na mchepuko. 1...
  19. JamiiForums Tanzania India yatengua Sheria ya Ubakaji katika ndoa, mume ruksa kumbaka mkewe

    Mahakama Kuu nchini India imetengua Sheria ya ubakaji ndani ya ndoa (marital rape act) ambayo mke katika ndoa aliweza kumshitaki mumewe mahakamani kwa kosa la ubakaji (kumuingilia bila na ridhaa yake) na kudai kulipwa fidia au mume kwenda jela miaka 15 au vyote kwa pamoja. Mahakama Kuu imesema...
  20. JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    INTRODUCTION: Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!! BODY Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa alilonalo ni kashfa ya kubaka binti (minor) ambae alikuwa "House girl" wake. SCENARIO Ila Mimi kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…