mkewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania JET LI amkabidhi mkewe umiliki wa mali zake zote

    Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote. Mwigizaji huyo mwenye utajiri unaokadiliwa kuwa zaidi ya dola milioni 260, kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameweka wazi kuwa uamuzi huo...
  2. JamiiForums Tanzania Tumemuona Rais Trump akicheza na Mkewe baada ya Kuapishwa rasmi, hivyo tunaomba na wengine wakiapisha hivi karibuni nao wacheze na Wake / Waume zao

    Na GENTAMYCINE naomba yoyote yule atakayeapishwa huku Afrika (kama kuna Uchaguzi wowote mwaka huu 2025 japo najua hakuna Uchaguzi wowote katika Kumbukumbu zangu) nae akiwa anacheza Muziki na ama Mkewe au Mumewe mara baada Kuapishwa basi atuonyeshe Manjonjo yake ya kujua Kucheza Muziki (hasa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

    Nyieee.... mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa. Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni flani hivi hana hili wala lile, kawakuta laivuuu bila chenga. Kasimulia kwa uchungu sana hadi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke. kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii...
  5. JamiiForums Tanzania Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

    Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%. Nyie vijana acheni dharau...
  6. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Afungwa miaka 20 Kwa kumbaka mkewe na kualika wanaume wengine 50 wambake mkewe

    Mwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10. Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Dominique Pelicot alikuwa anambaka mkewe Giselle Pelicot (Mrs) baada ya kumpa dawa za usingizi kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

    Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...
  8. JamiiForums Tanzania Malyawere wa morogoro amefariki kwa ajali yeye na mkewe.

    Mzee maarufu morogoro kwa kutengeneza saa na mganga wa tiba asili malyawere almaarufu mtundula amefariki kwa ajali msamvu tanesco morogoro yeye na mkewe leo. Mungu amlaze pema mwamba yule.
  9. JamiiForums Tanzania Mahakamani: Aliyemchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa anatajwa kuwa mlemavu wa akili

    RIPOTI kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili, Mirembe imeeleza kuwa mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa wakati anafanya tukio hilo la mauji alikuwa ana shida ya akili. Taarifa hiyo, imetolewa leo...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura

    Mwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura wakati amepotea miaka mitatu iliyopita Pia soma: LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wa madhehebu ya shia duniani hawamkubali sana Bi Aisha mkewe Mtume Mohamed

    Kwanini Waislamu wa madhehebu ya shia duniani hawamkubali sana bi Aisha mkewe Mtume Mohamed Wadau hamjamboni nyote? Tafadhali pitia maelezo zaidi hapo chini kutoka Wikipedia The Shi'a view of Aisha is generally unfavourable. This is primarily due to what they see as her contempt for the Ahl...
  12. JamiiForums Tanzania Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

    1. Wakuu kuna Mother flan Mwalimu wa sekondari ya kata mitaa ya Kibamba huwa nakamua toka Oktoba 2022 sasa ijumaa nilienda kupiga kuanzia saa 8 mpaka sasa 12 nikamrudisha hadi mitaa ya kwao. Kumbe jamaa alikua sehemu kaona mkewe anashushwa kwenye Subaru mke kadanganya ilikua Uber lakin wapi. 2...
  13. JamiiForums Tanzania Sifa Mbili pekee ndizo hufanya Wanaume wawaite Wanawake Malaya, sio ajabu Mume kumuita Mkewe Malaya hata kama Mkewe hafanyi ufuska.

    SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Usije ukajidanganya mchepuko ni bora kuliko mkewe. Thamani ya mke ni kubwa kuliko wewe

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi huoa Mwanamke anayempenda kwelikweli. Yàani ukiona Mwanaume amekuoa ujue huyo Mwanamke anampenda Sana. Kwa Mwanaume unaweza kugusa kîla kitu kwèñye Maisha yake, ukamuibia Pesa, sijui ukamtapeli mashamba au Ardhi akaumia na Wakati mwingine anaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

    Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda, Ni sawa tu na mwanaume kupigwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

    pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analala na track na jeans na ww mwanaume unamuangalia huna cha kufanya ni.ubwge
  17. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu kanipa number ya mkewe nimtest kumtongoza kama atakubali

    Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani. Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake. Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila...
  18. JamiiForums Tanzania Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

    Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Sehemu totauti tofauti ili kukosekana ushahidi. Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Baba wa familia ndie injini ya nyumba, Hakuna shida akila vizuri akiwa mihangaikoni, wala sio ubinafsi kama wengi wanavyodhani

    N:B: Baba wa familia anaehudumia sio aliekimbia au kukwepa majukumu Kwa tamaduni za waafrika wengi baba ndie injini ya familia, ndio maana familia nyingi sana baba akiondoka mambo yanayumba hata kula inakuwa ya shida. Injini inahitaji service, kuwekewa oili mara kwa mara kulainisha vyuma na...
  20. JamiiForums Tanzania Shinyanga:mme amtoboa macho yote mkewe

    Watanzania tumekuwa makatili sana hapa naona dada mmoja anaitwa esta anaohojiwa UTV akiwa haoni baada ya mumewe kumtoboa macho yote mawili bado haoni . Mume baada ya tukio hilo amepotea kusikojulikana na jeshi la police linamsaka Kama mtu humtaki si bora muachane kwa amani , Kama huna akili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…