Habari za usiku wanajamvi, poleni na pilika za kutafuta ugali.Basi bwana baada ya kutishwa na bi mkubwa kuhusu mumewe,mie nikarudi daslam baada ya mishe zangu mkoa kukamilika.
Siku nafika jamaa (mume wetu)alikuwa nyumbani kwa bi mkubwa,Ila alijua Niko njiani na hata nilipofika nilimtaarifu...