mizigo

  1. JamiiForums Tanzania TRC: Treni moja ya mizigo itakuwa sawa na malori 500

  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji kampuni la usafirishaji mizigo

    Wanajamvi habarini za mchana, kama ambavyo kichwa cha mada hii kinasomeka hapo naomba kufahamu au mtu ambaye analijuwa kampuni lolote linaloweza kunisafirishia mzigo kutoka kwenye mataifa haya China na Marekani kuja Tanzania. Naombeni na ushauri pia kwa wale wanaonunua bidhaa mtandaoni hasa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali kukodi ndege ya mizigo kupeleka maua, samaki nje

    Serikali imesema itakodi ndege kupeleka matunda na mbogamboga nje ya nchi kutoka katika viwanja vya ndege vya Songwe na Mwanza, wakati huu ikijiandaa kununua ndege ya mizigo kwa kazi hiyo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mazungumzo kwa ajili ya kununua ndege nyingine ya mizigo

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili ya kubeba mazao ya mbogamboja kuyepaleka nje ili kuwasaidia wakula. Ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Novemba 13, alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
  5. JamiiForums Tanzania Shehena za mizigo zinavyozidi kumiminika bandari Mtwara

  6. JamiiForums Tanzania TAZARA kusafirisha mizigo na vifaa vya ujenzi mradi wa umeme rufiji

    Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limekamilisha ujenzi na ukarabati wa Stesheni ya Treni Fuga uliohusisha Stendi kubwa ya kupokea mizigo na vifaa vya ujenzi wa bwawa la kufua Umeme Mto Rufuji. Akizungumza katika ziara ya kutembelea ujenzi wa huo, Meneja wa Shirika hilo nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wanaosafirisha mizigo toka Ujerumani

    Ndugu yangu anauliza kama kuna watanzania au wana East Africa ambao wanasafirisha mizigo toka Germany hadi Arusha, Tanzania. Anataka kusafirisha rims ambazo kwa usafiri wa kampuni kama DHL au Fedex au EMS utagharimu sana. Msaada tutani.
  8. JamiiForums Tanzania Kukatwa kodi kwa mizigo

    Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu kama kuna suala la kukatwa kodi na TRA pale unapoagiza mzigo toka Ebay au Amazon, mizigo kama simu, nguo, perfumes N.K, nitashukuru sana kwa msaada wenu wenye experience na hiki kitu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…