mixx by yas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitimoto

    Mwamba Mwamba - Mixx by Yas

  2. Wakili wa shetani

    Haiwezekani kuzuia makampuni kubadili majina. Kama Tigo ilivyoenda kuwa Yas?

    Mambo mengine ni usumbufu mkubwa kwa walaji. Haiwezekani kuzuia makampuni yenye walaji wengi kubadili-badili majina?
  3. Jamii Opportunities

    Customer Relationship & Operations Officer at Mixx by Yas November 2025

    Customer Relationship & Operations Officer at Mixx by Yas – Dar es Salaam Job Overview Mixx is hiring a Customer Relationship & Operations Officer based in Dar es Salaam. Requirements University degree in business administration, social science, or related areas 3+ years of experience in...
  4. OleWako

    Hivi Vodacom mnatuonaje kwa huu utapeli mnaojaribu kufanyia?

    Leo nilinunua kifurushi cha intaneti kwa njia ya mpesa. Muamala ukatoka freshi, intaneti ikashika. Ghafla nikaletewa ujumbe ukisema salio langu halitoshi nichukue mkopo wa Tsh. elfu 4!🤔🤔 Bahati nzuri nilicheki salio langu kabla sijaendelea, na lilikuwepo la kutosha! Utaratibu huu ni halali...
  5. Magufuli 05

    Tetesi: Taratibu baada ya kunoga TTCL inakufa, Mixx by YAS yachukua nafasi ofisi za umma

    Taarifa zisizo rasmi ni kwamba baadhi ya ofisi za umma wameelekezwa kuanza kutumia Yas. Kwahiyo shirika letu la umma ambalo awamu ya 5 ilijitahidi kurirudisha kwenye ushindani sasa mambo ni tofauti. Je, mmiliki wa Yas ni nani? Ukute ndo Hawa madalali
  6. Mr Beach Boy

    Hii ni JamiiForums au mixx by Yas app?

    Wewe max Mello Kwanini unatujazia matangazo ya mix by Yas? Yani kila Kona mixx by Yas ni Nini hii Mimi kama active member nasema toa mara moja Rudisha Yale ya kubeti
  7. N

    MIXX BY YAS, DSE waja na mini app ya hisa kiganjani

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas Bi. Angelica Pesha akizungumza wakati wa hafla ya ushirikiano wa kimkakati kati ya Mixx by Yas na DSE ambapo pia walizindua mini App ya DSE 'Hisa Kiganjani' inayopatikana kwenye super App ya Mixx by Yas. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE Bw. Peter...
  8. Intricate

    Mixx by Yas kuna tatizo gani? Mbona miamala aitoki

    Mixx by Yas kuna tatizo gani? Mbona miamala aitoki
  9. A

    KWA UAMUZI HUU, KWA NINI NISIAMINI HAKIMU ZENAS TARIMO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AMEPEWA RUSHWA NA TIGOPESA (HONORA TZ MOBILE SOLUTI KUPINDISHA HAKI

    Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
  10. N

    Aliye Rebrand TigoPesa kuitwa Mixx by Yas afukuzwe kazi

    Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious. Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro. Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa”...
  11. Tabutupu

    Tanzanians Express Discontent Over Mixx by Yas Rebranding

    Dar es Salaam, Tanzania – Tigo Tanzania's recent rebranding of its mobile financial services from Tigo Pesa to Mixx by Yas has sparked mixed reactions among Tanzanians. While the company aims to modernize its brand and offer enhanced digital services, many users have expressed dissatisfaction...
  12. Stroke

    Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

    Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini. Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili. Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote. Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani? Halafuu, hayo...
Back
Top Bottom