mitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Vijana watatu wabeba Sh100 milioni Vijana Uchumi Challenge, Serikali Yasisitiza Ushiriki wao katika Uchumi

    Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali. Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania Shabiby: Nitagombea Urais 2030, nitaleta Sheria ya kunyonga Watu kupambana na Rushwa

    "Tukija kwenye mitaji... hii mitaji, twende kwenye uwekezaji. Nyinyi biashara ndio mnaotakiwa mtoe ushauri. Mgeni anakuja, anatoa dola laki tano, eti huyo ni mwekezaji. Hivi Watanzania wangapi wana dola laki tano? Si wengi hapa! Alafu anakuja na briefcase, anaenda kuchukua ukandarasi wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunazalisha Wataalamu wa Famasi Halafu Tunawanyima Mitaji Wakati Tunatumia Mabilioni Kuagiza Dawa

    Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania. Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji na bila nafasi ya kujenga viwanda vya dawa nchini. Wakati huo huo, kila siku serikali inaendelea...
  5. JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA (CMSA, DSE, WIZARA YA FEDHA)

    BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji

    Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji, kazi za kutoa huduma mfano usafi majumbani, usafi kwa vyombo vya usafiri, delivery etc Uhalifu sio njia sahihi ya kuendesha maisha kwasababu hasara...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Athari za mgogoro wa kisiasa unaoendelea TZ: Wafanyabiashara wa Marekani waanza kujitoa na kuondoa mitaji yao taratibu

    🚨 TANZANIA: U.S. BUSINESS LEADER WITHDRAWS FROM AMERICAN CHAMBER IN TANZANIA AMID ESCALATING HUMAN RIGHTS CRISIS AND NEW TRAVEL RESTRICTIONS In a dramatic escalation of tensions between the United States and Tanzania, prominent American entrepreneur @MichaelCoudrey, Chairman & CEO of Pharos...
  8. JamiiForums Tanzania Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza kwenye masoko ya fedha na mtaji

    MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA. 🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770 Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi...
  11. JamiiForums Tanzania Tushauri vijana tunaotaka kukuza mitaji, tufanye nini ili kukwepa matumizi ya pesa yatokanayo na msukumo wa kihisia/ngono?

    Nakumbuka nilikuwa nauza mtumba, mtaji wangu ulikuwa 50k nikiyumba unapungua kidogo nikiwa vizuri unaongezeka kidogo. Kimsingi faida yangu ilikuwa kati ya 6,000 hadi 12,000. Basi bwana nikampata bonge la mdada chibonge mrefu na mweusi. Kufupisha stori Baada ya wiki tu mtaji ulikata. Kuna...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kupata mitaji pindi biashara zinapopitia changamoto

    Wakuu mambo vipi. Kwa wale wafanyabiashara wote wakubwa na wadogo, naomba tupeane mbinu ambazo huwa mnazitumia kupata mitaji pindi biashara zetu zinapopitia changamoto. Changamoto ya kupata mtaji, au kuweza kupata back-up ya mtaji kwa haraka kwa upande wangu imekuwa inanisumbua kwa muda mrefu...
  13. JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu uwekezaji kwenye masoko ya fedha na mitaji Tanzania

    MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI. Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya: 📌 Uwekezaji kwenye soko la hisa 📌 Hatifungani (bonds) 📌 Uwekezaji kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, FAIDA...
  14. JamiiForums Tanzania Palamagamba Kabudi: Wasanii wamepatiwa mikopo zaidi ya TSh. 5 Bilioni na Rais Samia

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka mazingira wezeshi kwa Wasanii nchini kwa kuwapa mitaji ya kuboresha kazi zao ambapo katika uongozi wake amefufua mfuko wa Utamaduni na Sanaa uliokuwa umekufa kwa zaidi ya miaka 10 na kipindi...
  15. JamiiForums Tanzania Mawazo 112 ya Biashara na Mitaji yake: Hatua kwa hatua Jinsi ya kuanzisha Biashara 112

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Asilimia 75 Ya Wafanyabiashara Wanatumia Njia Hizi Kupata Mitaji Ya Kampuni Zao

    Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa. Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao? Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo; 1. Hisa Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wenye mitaji tunaingia msimu wa kahawa

    Nipo mbeya vijijini kwa sasa ni msimu wa kuvuna maharage. Kuanzia mwezi wa nne, tunaanza kuvuna zao la kahawa. Nimeona kuna watu wengi wanaojihusisha na ununuaji wa kahawa mbichi (cherry) na kavu. Nimekuja kwenu baada ya kufanya utafiti wa biashara hii. Hii biahsara ina faida kwa wenye...
  19. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), yalidhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga, ambapo imeeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa ya asilimia 75 ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wale wanaume mnaohudumia michepuko na kuwapa mitaji piteni hapa mjifunze

    Mara kadhaa huwa nikiboeka napita YouTube nakucheka sana visa Mikasa na kujifunza sana kuhusu hawa wanawake namna gani wasivyokuqa na shukrani na vile wanatamaa zaidi ya fisi. Hapa chini ni kisa cha Mbaba mmoja aliyejitutumua na kumjari sana mchepuko wake. Basi baada ya valentine kupita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…