misri

Rock candy or sugar candy (in British English), also called rock sugar, is a type of confection composed of relatively large sugar crystals. This candy is formed by allowing a supersaturated solution of sugar and water to crystallize onto a surface suitable for crystal nucleation, such as a string, stick, or plain granulated sugar. Heating the water before adding the sugar allows more sugar to dissolve thus producing larger crystals. Crystals form after 6 to 7 days. Food coloring may be added to the mixture to produce colored candy.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba SC ya Kimataifa kushuka dimbani kuikabili Al Masry Aprili 2, Misri

    Kikosi cha Simba Sc kitamenyana na Al Masry katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kesho saa 1 Jioni nchini Misri katika dimba la New Suez. Mechi hiyo ikiwa ni mechi ya kwanza ugenini nchini Misri, Mechi ya marudiano itakuwa Aprili 9, 2025 hatua ya robo fainali katika dimba la Benjamin Mkapa...
  2. JamiiForums Tanzania Simba hata ikitoa draw kule Misri nipigwe Ban ya siku 7. Haiwezekani hata kwa Dawa

    Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana. Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo. Team ya kufika mbali ilikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Misri yakubali kuchukua Wapalestina 500,000 sasa bado Somalia na kwingine

    Hii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake..... Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa ======================= Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji

    Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mheshimiwa Dr. Badr Abdelatty, wameshiriki...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano

    Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) wamekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mheshimiwa Dkt. Badr Abdelatty...
  6. JamiiForums Tanzania Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani haki za binadamu za Israel

    Wanaukumbi. Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza. Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel huko Gaza na kuishinikiza Israel kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika katika eneo hilo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Jordan kaenda white house kamuunga mkono Trump kuwahamisha wapalestina, Misri na nchi nyingine kukutana Saudi Arabia kusuka mpango kazi

    Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Misri na Jordan watawapokea Wapalestina?

    Watawapokea Wapalestina wa Gaza Wa kwanza ni Abdel Fattah El-Sisi, rais wa Misri, na wa pili ni Abdullah II, mfalme wa Jordan Hawa jamaa ni pro west na pro Israeli. Walipokea misaada ya kutosha toka Marekani sasa na wao ni wakati wa kulipa. Wametakiwa kuwapokea wana Gaza milioni 1.5 ili...
  9. JamiiForums Tanzania Trump akazia, Jordan na Misri watawachukua wapalestina wa Gaza, mana US imewafanyia mengi

    Alipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo. Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani. Haiwezekani mtu...
  10. JamiiForums Tanzania Misri wamjibu Trump; hawawezi kushiriki kuwaomdoa Wapalestina wana dhamana isiyoweza kuvunjika na ardhi ya mababu zao

    Wanaukumbi. ⚡️🇪🇬BREAKING: Egypt’s Embassy in USA republishes the following as a response to Donald Trump: Egypt’s stance is clear: it cannot be part of any solution that involves the transfer of Palestinians into Sinai. Such a move would trigger a second Nakba, an unimaginable tragedy for a...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Trump awaonea huruma mateso wanayopata wapalestina, aagiza misri na jordan kubadili sera zao na kuanza kuwahamishia wengi zaidi nchini mwao!

    Wadau hamjamboni nyote? Rais trump atoka maagizo mazito ya kiutendaji kwa nchi za Jordan na misri Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: January 26, 2025 By Agencies Today, 4:32 am US President Donald Trump says that Jordan and Egypt should take more Palestinians from Gaza, where...
  12. JamiiForums Tanzania Misri na Afrika Kusini zinakoromewa na Wazungu kama wafanyavyo kwa nchi masikini?

    Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi. Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri & South Africa zinazo. Wazungu alau wanaziheshimu au wanaichukulia kama nchi zingine za Afrika...
  13. JamiiForums Tanzania Al Ahly SC yawatakia Merry Christmas Waumini wa Kanisa la Coptic huko Misri

    Leo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅ Wanasherehekea kuzaliwa kwa Masihi Yesu Kristo kwa mujibu wa Kalenda yao ya Orthodox! Ethiopia...
  14. JamiiForums Tanzania Inakiwaje Nchi ya Misri imekosa nabii hata mmoja?

    Kwanza naomba kujua ni sababu zipi wazungu waliziona kwa misri na nchi nyengine za mashariki ya kati kuziunganisha na bara la Afrika? Je ni usalama au Kuwagawa waarabu? Jambo la pili inakuwaje nchi kama Misri ambayo inahistoria kubwa mno,imeshindwa kutoa hata nabii mmoja,Kiongozi(sayansi...
  15. JamiiForums Tanzania Huu ni ukuta kati ya Palestina na Misri, halafu wee mbongo....?

    Jirani wa Palestina anawajua vizuri wapalestina jinsi walivyo!
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ntawezaje kupata Visa ya Misri

    Wakuu, Naweza kupata tourist visa ya Misri upon arrival au ni lazima ni apply hapa bongo kwenye ubalozi wao kabla ya safari? Thanks
  17. JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani huu ni uzio Trump alijenga border na Mexico ila upo katika Border ya Misri na Gaza. Wamisri hawataki ukorofi wa watu wa Palestine

    Wanajua show wakimbizi wa gaza waliofanya lebanon na Jordan. Wanajua jinsi wakimbizi wa gaza waishio marekani wanavyoondana na kuvunja amani huko. Wanajua #freepalestine ni utapeli
  18. JamiiForums Tanzania Misri yatangazwa kutokomeza Malaria kwa asilimia 100 baada ya mapambano ya zaidi ya miaka 100

    Rasmi nchi ya Misri imepatiwa cheti cha kutokuwepo kwa malaria katika nchi hiyo na Shirika la Afya Duniani (WHO) ambapo shirika hilo liliita mafanikio haya ya kihistoria. Soma pia: Djibout imeachilia mbu waliobadilishwa vinasaba kupambana na malaria "Malaria ni ugonjwa wa zamani sana kama...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko na Waziri wa Nyumba wa Misri kusimamia ukamilishaji Mradi wa JNHPP

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 17, 2024 jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nyumba, Huduma na Jumuiya za Mijini kutoka nchini Misri, Mhe. Sherif EI Sherbiny. Katika mazungumzo yao viongozi hao wamekubaliana kusimamia...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Adonai uwalinde wanajeshi wanaofanya kazi kutoka mpaka wa Lebanon mpaka jangwa la Misri ili kuwapiga adui zao

    Wadau hamjamboni nyote? Hii ndiyo sala maalumu kabisa ya kimapokeo inayomsihi na kumuomba Adonai awalinde na kuwapa ushindi Wana Israel wanaokwenda vitani kupambana na magaidi ya Hezbollah huko Lebanon. Adonai uwalinde wanajeshi wanaofanya kazi kutoka mpaka wa Lebanoni mpaka jangwa la Misri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…