Raia wa Ghana Frederick Kumi maarufu mtandoni ‘Abu Trica’ amekamatwa kwa tuhuma za utapeli wa kimapenzi na kuwaibia wazee na watu wazima ambao ni Wazungu nchini Marekani kiasi cha fedha Dola milioni 8 za Marekani.
Waendesha mashtaka wa Marekani wanasema kijana huyo mwenye miaka 31, alitumia...
Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera,
Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio.
Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu wagombea ni masingo maza na masingo Dady?
Sijaona mume au mke aliyembatana na mwenza hapo hata kwa...
Habarini,
Naona humu kwenye social media wanaume wengi wanapaisha swala la kudeti na mishangazi ingawa mimi binafsi nipo 3rd floor, mdada hata awe mzuri vipi nikishajua ana miaka 30 kama mimi au 28, hamu ya kumtongoza inakata kabisa.
Ila mdada akiwa ndo ana miaka 19-22, ukute amefeli form 4...
Mabinti, Madada na Mishangazi... Sikilizeni Kidogo
Siku hizi mtu akikutambulisha kwa washikaji wake, usijidanganye kwamba kila mmoja atakushangilia. Hasa ukikosa kisura cha kuvutia, macho yao ni kama CCTV — wanakuchunguza juu hadi chini, kisha maneno yao nyuma ya pazia ni ya kashfa tupu.
Juzi...
MISHANGAZI
(1). Si watu wa kupenda mawasiliano ya mara kwa mara kwa wapenzi wao. Wanahitaji mawasiliano yenye umuhimu.
(2). Wakihitaji hela wanajua matumizi sahihi ya hela anayokuomba. (Mfano: Kama anahitaji bidhaa ya Tshs elfu hamsini atakuomba elfu hamsini, na atakwambia kwa ajili gani. Pia...
Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
Wakati mataifa mbalimbaki dunia yakiadhimisha siku ya wanawake Machi 8, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Bw. Hamad Mbega, ameitumia siku hiyo kuwataka wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama “mashangazi” kuacha kutumia vipato vyao zikiwemo fedha za mikopo, kuwarubuni vijana wenye umri mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.