misemo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Baadhi ya misemo ya makapuku wenzangu

    "aah wapi, hayo mapiza na mabaga wanayokula na mimi ninae kula matembele vyote vitaishia kuwa mavi tumboni" "usione mtu amekuwa tajiri kiasi hicho wewe, watu wanalala na nyoka kitandani, wewe unaweza?" "usione dar hii watu wengi hali ngumu, lile sanamu la askari pale posta ndilo linalonyonya...
  2. MamaSamia2025

    Hizi ni kampeni zisizo rasmi zinazonikera mno mtandaoni

    1. Usile wanga 2. Usioe single mother 3. Unaweza anza biashara bila hata mtaji 4. Usioe asiye bikra 5. Usioe mwanamke mwenye miaka 30+ 6. Usipeleke mtoto A - level.. mpeleke chuo. ONGEZEA ZINGINE
  3. Bawabu wa pili

    Bila kutaja kazi yako, weka maneno unayoyaongea kila wakati ukiwa kazini kwako

    Wakuu naomba tutambuane kwa code maalumu leo! Achana na majina yako na vyeo vyako, em comment maneno unayoongea kila wakati ukiwa kazini kwako ili tukutambue unafanya kazi gani. Nasoma comment chini.
  4. Mjanja M1

    Unahisi ni misemo gani ya wahenga ambayo haina nguvu kwa kizazi hiki kipya?

    Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano -Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu -Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga...
  5. kyagata

    Ni misemo gani ya watu wa kariakoo ukiisikia huwa unacheka sana?

    Mimi binafsi nikipita kariakoo kwenye yale spika zao nikisikia hii misemo minne huwa nacheka sana. 1.Boss kalewa 2.Boss kasahau bei. 3.Boss kavurugwa 4.Boss kapandwa na kichaa
  6. Yoda

    Kuongezea(ku-dilute) sabuni ya maji maji iwe nyingi ni upumbavu na ushamba wa kiwango cha juu.

    Huu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao tu maana tunakuwa duni kuliko hata ngedere, kama ni ubahili wa kubana matumizi basi pia ni ubahili...
  7. Ghayo mlaKenge de kobaz

    Uzi wa kutupia Nicknames maarufu za wana Jf na Misemo maarufu hapa Jf

    Mzuka Wana jamvi, yerereeeeeerreereerreereyere!!!!! Bila kupoteza muda. Baadhi ya Nicknames @Magahayo = The Mongolian Savage, Mgerasi , Semenya aka Mabange GENTAMYCINE = Popoma Mshana Jr = Mlozi Eli Cohen = EliNyahu Cohen , Jasusi wa Mossad Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah = Chawaz Gang...
  8. Holoholo-Baba Kijacho

    Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kikrisito

    Tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe❤️ Ndugu zangu wakristo,huu ni Uzi maalumu kwa kuleta nukuu,kifungu,mstari wa Bible kwa njia ya picture
  9. Equation x

    Hii misemo ya kijamaa imepotelea wapi ndugu zangu?

    Maisha ya zamani ilikuwa raha tupu:- ''Ingia bandani kamata kuku wawili tuchinje'' ''Ingia shambani vunja mahindi tuje tuchome'' ''Chemsha kahawa hapo jikoni ulete tunywe huku ukinihabarisha habari za huko nyumbani'' ''Hadithi hii inatufundisha nini wajukuu zangu?'' Nyakati hizi huwezi...
  10. Mtoa Taarifa

    Hii ndio misemo Bora iliyobamba zaidi kwa mwaka 2024, upi ulitembea nao sana?

    Ubaya Ubwela Gusa achia Twende kwao Sicheki na Wowote Ninge comment ila Mwanasheria wangu yupo likizo We huogopi..! Yanga hii unaifungaje? Mtoto Kautaka Naijua hiyo Kipengele uje nacho wewe tajiri Watoto wa 2000 Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi Kamdomo Mambo kwa ushahidi Na hapa ipo...
  11. S

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyu

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyumba. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Binamu, mwambie mjomba kuwa, misemo yao siyo ya kwetu. Maana nyakati zao ziliishia kwao hazipo...
  12. jangos

    Ushasikia msemo gani kitaa ukakuacha mdomo wazi?

    Natumai mu wazima. Nakumbuka way back nikiwa kwenye harakat zangu... Kuna baharia aliniita na kuniuliza ishu Fulani, nilmjibu kavu akanambia "chora". Nikawa nashangaa tu kumbe maana yake ilkuwa "nisepe"😂😂 Vipi we ushasikia msemo gani kitaa ukakuacha mdomo waz??
  13. Mnyamahodzo

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo. Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni kuwa, wapo matajiri wanataka semi hizo ziandikwe, wakati mwingine ni madereva wenyewe huwa ndiyo...
  14. M

    Maskini aliyeridhika hujibembeleza kwa misemo inayomkandamiza zaidi

    Maskini aliyeridhika hujibembeleza kwa misemo inayomkandamiza zaidi 😔 1. Maisha sio vita 2. Maisha ndio haya haya tu 3. Pesa hainunui furaha. 4. Utajiri ni dhambi. 5. Kila tajiri ana ushirikina. 6. Pesa sio kila kitu. 7. Mapenzi ni upendo pesa ni ziada tu 8. Utajiri unatesa sana bora hata usiwe...
  15. M

    Maskini aliyeridhika hujimbeleleza kwa misemo inayomkandamiza zaidi

    Umaskini haufai, na kama ukiwa maskini ukaishi kwa misemo kama hii, ni ishara kuwa umeamua kuukubali, na kwa hakika utateseka. Hakuna cha kusema “maisha ndiyo haya haya tu” - kuna mazuri zaidi ya hayo. Acha kujifariji kwa misemo kandamizi kama ifuatayo: 1. Maisha si vita. 2. Maisha ndiyo haya...
  16. mr pipa

    Kataa ndoa naona mmeamua kufika mbali h

    KUNa vitu vina tia sana uchungu
  17. Midekoo

    Uzi maalumu wa picha za misemo mbalimbali ya kwenye magari

  18. Supercomputer

    Misemo gani ya kijinga na kipumbavu watu hutumia kufarijiana?

    I) Leo kwangu kesho kwake ii) Aliyempa yeye ndo aliyeninyima mimi iii) Kama ipo ipo tu Ongezea na wewe
  19. MamaSamia2025

    Hii ni misemo ambayo inamrahisishia shetani kazi yake

    Kimsingi shetani yuko smart sana kiasi kwamba kumzidi ni ngumu. Hutumia binadamu wenyewe kufanikisha mambo yake. 1. "Fuata ninachosema usifuate matendo yangu" Hii mara nyingi ni kisingizio kinachotolewa na baadhi ya viongozi wa dini au watu wengine waliojipambanua kama wenye maadili bora. 2...
  20. S

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo Nyakati Zinabadilika

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyumba. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Binamu, mwambie mjomba kuwa, misemo yao siyo ya kwetu. Maana nyakati zao ziliishia kwao hazipo...
Back
Top Bottom