milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

    Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini. Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

    Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka? Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu. ====== Michango wa mdau
  3. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Watu milioni 27 wanakabiliana na njaa DRC

    Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yamesema theluthi ya wakazi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na njaa kali na wametoa wito wa kuongezewa fedha za dharura ili kukabiliana na janga hili. Shirika la chakula duniani (WFP) na shirika la chakula na kilimo yamesema , hali...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Mamalaka ya Huduma za Meli (TASAC) kujilipa posho kwenye vikao vya bodi zaidi ya Tsh milioni 600!

    Nawasalimu kwa jina la Muungano. Wakuu kama Rais wetu mpendwa alivyosema leo mamlaka hii imefanya vikao 27 vya bodi ya mamlaka hiyo kwa mwaka jana pekee na wametumia kiasi cha shilingi bilioni moja kama posho za vikao tu. Haya yote yamefanyika chini ya Rais wetu hayati John J P Magufuli...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuchoma tena vifaranga kutoka Kenya?

    Vifaranga kutoka nchini Kenya vyenye thamani ya Milioni 40 vimekamatwa na mamlaka ya serekali Tanzania bila ya kuwa na vibali halali. Kwa kujibu wa taarifa toka mamlaka husika Tanzania wamesema wataviteketezwa kwa mujibu wa sheria inavyotaka. Japo vifaranga hivyo havijathibitika kuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Nina milioni 22, nahitaji wazo zuri la biashara kwa mkoa wa Arusha

    Habari wanajukwaa. Ee Bwana ee, nimekuja kwenu wana jukwaa, kuomba tusaidiane mawazo kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Baada ya kumaliza chuo 2019, Mungu alinifungulia mlango nikapata kazi ya miaka miwili na NGO x hapa Nchini, kutokana na msoto uliopo kitaa niliona ni vyema nijibane niweze...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 35 nataka kufanya biashara Kariakoo

    Wakuu nimebangaiza nimefanikiwa kuweka Milioni 35 nataka kuingia katika biashara Kariakoo, nifanye biashara gani? Michango ya wadau Zaidi soma>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
  8. JamiiForums Tanzania Biashara: Milioni 10 inatosha kuanzisha biashara gani kwa Dar?

    Habari wakuu. Nimeona nilete hapa hili swala ili kupata mawazo tofauti tofauti juu ya business Ideas ambazo zinaweza kuwekezwa kiasi cha Tshs 10M. Kuna jamaa yangu ana kiasi hicho cha fedha, anaishi Jijini Dar es Salaam, anataka kuiingiza katika mzunguko wa biashara lakini hajui ni biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…