milioni 10

If You Won a Hundred Million (Italian: Se vincessi cento milioni) is a 1953 Italian comedy film directed by Carlo Campogalliani and Carlo Moscovini and starring Tino Scotti, Nerio Bernardi and Anna Carena. It is an anthology film split into several different episodes.

View More On Wikipedia.org
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Zaidi ya watoto Milioni 10 kuathirika zaidi na Ukame Afrika

    Zaidi ya watoto milioni 10 ni miongoni mwa wale wanaokabiliwa na ukame mkali katika Pembe ya Afrika.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, Unicef, linakadiria kuwa idadi hii ni milioni tatu zaidi ya ilivyokuwa miezi miwili iliyopita. Mkurugenzi Mtendaji wa Unicef Catherine Russell...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani yaahidi dola milioni 10 kwa atakayetoa taarifa za wadukuzi 6 wa Urusi

    Marekani imesema itatoa kiasi cha hadi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu watu 6 wanaotambulishwa kuwa ni maafisa wa ujasusi wa Jeshi la Urusi, wanaodaiwa kuwa waliendesha mashambulizi ya mtandaoni yaliyoathiri miundombinu muhimu ya Marekani. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania UN: Watu milioni 10 waikimbia Ukraine

    Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi Duniani UNHCR, Filippo Grandi amesema watu milioni 10, ikiwa ni zaidi ya robo ya idadi jumla ya raia wa taifa hilo wamelikimbia kutokana kile alichokiita vita vya maangamizi vya Urusi. Grandi amesema idadi hiyo inajumisha wakimbizi wa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari aliyekataa Rushwa na Milioni 10, ashushwa cheo, ni baada ya kukataa kwenda kozi

    Salaam Wakuu, Askari Meshack Samson aliyekataa Rushwa ya Mil 10, ameshushwa cho baada ya kukataa kwenda Kozi baada ya kupandishwa cheo.
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali imepanga kuchanja watu milioni 10 kufikia mwishoni mwa mwaka huu

    Serikali imepanga kuchanja watu milioni 10 kufikia mwishoni mwa mwaka huu.Takwimu za wizara ya Afya zinaonyesha kuwa jumla ya watu 5,029,901 wamepewa chanjo. Kati yao, 3,545,060 wamepata dozi moja huku 1,484,841 wakiwa wamepata dozi zote mbili. Watu 1,012,457 wamepata dozi ya kwanza ya chanjo...
Back
Top Bottom