mikopo

  1. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Juni 28, 2024) imezindua Kampeni Maalumu inayolenga kuwashirikisha wananchi kwa kutumia simu na mitandao ya kijamii, kuwafichua wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu. Kampeni hiyo, inayofahamika kama Fichua imezinduliwa jijini...
  2. JamiiForums Tanzania MIKOPO YA KAMILISHA

    Naomba niende Moja Kwa Moja kama kichwa Cha habar kinavyojieleza,Kuna MIKOPO hii ya kwenye mtandao,hasa unapotuma Hela pale unapo pungukiwa basi waanakuboost,ni jambo jema shida inakuja hasa pale unapotaka kukopa kwenye hio MIKOPO,ni MIKOPO ambayo inariba kubwa mno,,mfano unakop sh1000,inatakiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Napendekeza mikopo yote inayokopwa na serikali itumike kulipa madeni, na makusanyo yote ya Kodi yatumike kwenye bajeti

    Namna pekee itayoweza kutuamsha kama nchi toka usingizini ni kujiuliza maswali kadhaa… 1.) Tanganyika inakopa jumla ya Trillion ngapi kwa mwaka? 2.) Tanganyika inalipa madeni Trillion ngapi kwa mwaka? 3.) Tanganyika inakusanya mapato ya ndani Trillion ngapi kwa mwaka? Majibu 1.) Tangu 2021...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wanamilikisha Kodi za wananchi na mikopo ya nchi Kwa Rais,

    Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi Kila siku na kuilipa Kodi serikali zitakuwa ni Rais. Haiingii akilini ,kitu pesa yangu nalipia Kodi...
  5. JamiiForums Tanzania Mfumo wa demokrasia unafanya nchi ziwe na mikopo mikubwa isiyolipika.

    Kila siku demokrasia inazidi kujithibitisha kama mfumo wa hovyo sana na haufai kutumika kama mfumo wa utawala. Zamani nchi zilipoongozwa na wafalme nchi ilikuwa ni mali ya mfalme na vizazi vyake. Nchi ilikuwa kama mali yao binafsi na waliitunza kama mali binafsi. Wafalme wengi walikuwa makini...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Kupambana na Changamoto za Vijana Kupata Mikopo

    Kupambana na Changamoto za Vijana Kupata Mikopo. Ningependa kuanza na swali inawezekanaje kijana alietoka kukopeshwa na serikali miezi michache iliyopita milion za pesa awe "hakopesheki" ilhali alikopeshwa bila ya kua na uhakika wa kupato cha kurudisha mkopo huo? Sasa kwanini kusiwe kuna bodi...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) inaangamiza watumishi wa umma

    Salaam! Ni jumanne iliyo njema sana. Moja Kwa moja kwenye mada. Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu bila kuzingatia kanuni ya 1/3 (Moja ya Tatu) ya mshahara. Nimeshuhudia na/kuona watumishi wakipokea...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike kuongeza mapato ya ndani bila kutegemea mikopo katika shughuli za kiuchumi

    UTANGULIZI Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali hii husababisha serikali kukopa fedha kwajili ya miradi ya maendeleo ikisubiri kutumia makusanyo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  10. JamiiForums Tanzania Kujitokeza kwa malalamiko mengi ya watanzania kudhalilishwa na apps za mikopo, ni ishara tosha watanzania 98% sio waaminifu kwenye kukopeshwa

    Mnaendeleeja ndugu zangu watanzania, Rejea kichwa cha uzi hapo juu, kwa masikitiko napenda kuwaambia huu ukweli , watanzania wengi sio waaminfu linapokuja suala la kukopeshwa . Hizo apps zisingekuwa zinawadhalilisha kama mngekuwa mnalipa, kwanza mda wa marejesho mnakubali wenyewe ila baadae...
  11. JamiiForums Tanzania Mikopo gani yenye riba nafuu zaidi Tanzania inaweza kukutoa

    Wakuu swali hili nimeuliza mara kibao na Hamniambiii……Na ilihali mnajua Semeni bas NB:KUFICHA TAARIFA MUHIMU SI UTU
  12. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kublock matangazo ya mikopo yasinifikie

    Habari zenu wadau Nimekuja hapa kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba msaada wakublock haya matangazo ya mikopo yasinifikie Mwezi iliyopita nilifiwa na tangazo la mikopo kuwa wanakopesha Hadi millioni moja nika click link kupakua App baada ya kujisajiri nakutana mkopo unaanzia...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya fedha inayotekeleza miradi katika nchi hii ni fedha za mikopo?

    Kama nchi tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika nchi hii. Karibu zaidi ya asilimia 90 ya miradi yote inayotekelezwa katika nchi yetu ni fedha za mikopo huku tukitamba kuwa Mama analeta fedha za miradi kumbe ni fedha nyingi ni za mikopo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hujuma kwa wateja, Makampuni ya Simu yanatoa namba za simu kwa wanaotoa mikopo haramu mtandaoni

    Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Swali la msingi ni kuwa hawa wanaokopesha wanapata wapi namba za ndugu zako, jamaa, na marafiki ambazo wanazitumia ujumbe kuwataarifu kuwa unadaiwa, umeshindwa kulipa mkopo,na maneno mengine yasiyo na staha. Fikiria mkopeshaji ambaye si tu hajawahi hata...
  15. JamiiForums Tanzania Nani anatuwakilisha mkutano wa G7

    Kama mnavyojua mkutano wa mataifa tajiri duniani (G7) umeanza huko Italy. Mataifa hayo ni Italy (Mwenyeji) Germany, France, USA, UK, Japan na Canada wanakutana kujadili mustakabali wa dunia. Je, nasi tunawakilishwa na nani huko? Ilikuwa fursa muhimu kupeleka agenda/ombi maalum huko, tupate...
  16. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Vyeti vya Elimu ya Juu kupata mikopo

    Kwa wahitimu wa Elimu ya juu mtakubaliana na mimi kuwa changamoto ya ajira imekuwa tatizo kubwa sana, Serikali, taasisi binafsi wamekuwa wakitafuta njia za kuondosha tatizo ili la ajira.Watu wengi wamehitimu masomo ngazi tofauti lakini baada ya kumaliza ajira zimekuwa ngumu.Taasisi za mkopo...
  17. JamiiForums Tanzania Bank ABC yauzwa kwa acces bank na kuzua taharuki kwa walioomba mikopo

    ABC wamerusha taulo, Na kuuzwa kwa access bank, Lakini kuna wateja ambao walikuwa wameomba mikopo kipindi kabla ya June 1, Hata hivyo mpaka sasa nikizungumkuti, Kwani hakuna malipo yoyote yamefanyika toka tarehe moja, Na hata nilipo jaribu kufika ofisini kwao Nilijibiwa kwamba wapo kwenye...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi ya Finance tujuzeni Unafuu wa Mkopo (soft loans) uko kwenye Riba au Dhamana?

    Ni vema nyakati hizi tukawa tunaelezana mambo kwa usahihi kabisa tukiongozwa na nguli wa industry husika Kwa sasa story ya mjini ni mikopo Niwaombe Nguli wa Finance watujuze Mikopo Nafuu kwa level za kimataifa tunaipimaje Kwa rate ya interest? Au kwa Collateral inayohusika na mkopo? Ama...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia anasema anakopa kwa riba ndogo, je ana uhakika sio mikopo kausha damu?

    Rais Samia kwenye hotuba yake kupokea gawio za mashirika ya umma na yale yenye hisa za serikali kuna mambo amesema yanatia mashaka. Kwanza kufuatana na msajili wa mashirika hazina ni asilimia ndogo tu ya mashirika yametoa gawio kwa hivyo hapo bado hali ni mbaya vigogo wengi bado wanakula...
  20. JamiiForums Tanzania Dawa ya deni ni nini kwani

    Kwanini Bongo ukimkopesha mtu siku ya kumdai inabidi utafute sababu na matumizi na maelekezo ya kwanini unaitaka pesa yako Je hii ni halali kweli yani pesa ni yangu na bado nilazimike kutunga uongo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…