mikopo bila riba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ryan Holiday

    Maendeleo ya Mkopo: Ndoto ya Kaburi Linalochimbwa na Viongozi wa Afrika Kwa Kalamu na Sahihi

    Katika historia ya maendeleo ya bara la Afrika, misaada kutoka mataifa ya Magharibi na Ulaya imekuwa ikichukuliwa kama suluhisho la umasikini na njia ya kuinua hali za kiuchumi na kijamii. Hata hivyo, katika kitabu chake kilichozua mijadala mikubwa duniani, "Dead Aid: Why Aid Is Not Working and...
  2. Ojuolegbha

    PreGE2025 Vikundi 8,275 vya wanawake, vijana na walemavu vimepatiwa mikopo

    Vikundi 8,275 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kupitia mpango wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri vimepatiwa mikopo yenye thamani ya Sh. bilioni 82.84 kwa mwaka wa fedha 2024-2025. Kati ya fedha hizo Sh. Bilioni 40.71 zimetolewa kwa vikundi 4,557 vya wanawake...
  3. Nangose 1

    Mikopo kutoka Hazina

    Wakuu naomba kufahamu namna ya kukopa mkopo Hazina kwa watumishi wa Umma.. Nasikia huko hazina hakunaga Riba. Ahsante.
  4. J

    Nimejifunza pakubwa kuhusu elimu ya fedha baada ya jamaa yangu kuchukua mkopo wa Milioni 10 kazini kwake ili anunue gari

    Maisha ya sasa usipokuwa na financial literacy (elimu ya pesa) unaweza kujikuta umeingia kwenye utumwa wa matumizi makubwa, ambayo baadaye yanakupeleka kwenye uraibu wa mikopo usioisha. Mambo haya huwa yanawakumba sana watumishi wa serikali, hasa walimu. Watumishi wa sasa wengi wanatamani...
  5. O

    Ni benki ipi isiyo na riba ni sahihi kukopaTanzania?

    Assalam aleykum Kwa sisi watumishi wa umma ambao ni Waislam na tunahitaji kukopa kwenye hizi bank ili kuendeleza maisha je ni bank ipi Sahihi isiyo na riba kwa hapa Tanzania?
Back
Top Bottom