miili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna moto kwa watakokuwa na makosa baada ya kufa, hawa wanaochomwa au kufanyiwa cremation, watachomwa nini mbali na wanaozikwa miili kuoza?

    Swali hapo juu lipo wazi Je, uwepo wa moto au kuingia motoni ni kamba hasa ikizingatiwa: Wapo watu wanaochomwa moto wanapokufa, Pia, wapo wanaozikwa na miili kuoza. Kama hli ndiyo hii, huu moto tunaotishwa nao na dini nyemelezi na za kikoloni za kigeni zilizotugeuza mataahira na mazwazwa, huu...
  2. JamiiForums Tanzania ISIS iliua watoto wa mama hawa mateka. Ikapika miili yao na kuwachanganyia na wali kuwapa mama zao. Wamama walipogundua hil wengi walijiua kwa uchungu

    Waliwabaka kila mara, kuwauza mabinti zao kama watumwa wa kingono kwenye iliokuwa chini yao. Ila kuna watu wa JF watakuja kuwakingia kifua sababu tu wana share nao itikadi moja. UTU na UBINADAMU zero, USHETANI 100%
  3. JamiiForums Tanzania BAGAMOYO: Maiti sita zaokotwa mtoni zikiwa ndani ya viroba

    Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya Sandarusi maarufu viroba vya uzito wa Kilogramu 200, huku zikiwa zimeharibika vibaya Diwani wa Kata ya Makurunge, Paul Kabile alisema maiti hizo ambazo ni...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Matukio ya miili kuokotwa yatikisa 2026, LHRC yataka uchunguzi wa Mahakama

    Wakati matukio ya miili kuokotwa yakizidi kuokotwa ndani ya mwaka huu, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka ufanyike uchunguzi wa kimahakama kubaini vyanzo vya baadhi ya vifo hivyo. Miili hiyo imekuwa ikiokotwa kwenye mito, fukwe, barabarani na maeneo ya wazi katika mikoa...
  5. JamiiForums Tanzania TAHARUKI yazuka baada ya miili mingi iliyoharibika kufukiwa Msae, Kibaha

    Baba Askofu Mwamakula! Jana, 22 Februari 2026, tukio la ajabu liltokea Kibaha Mkoani katika Mtaa wa Uhuru. Ilikuwa hivi: Ilipita pikipiki ya miguu mitatu na ilibeba viroba vyeusi vingi kama uchafu vikitoa harufu kali. Kuifuatilia ile Toyo, ikasimama katika eneo la Makaburi ya Msae. Na palikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

    Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ??? TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mkoa unaoongoza kwa watu wenye miili mikubwa upo nyuma sana kwenye maendeleo

    Mkoa ulikuwa na Airport ikafa Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa Ni mkoa ambao hauna hata stendi Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa Lawama hawawezi...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuitisha maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu

    Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu. Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana. Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima...
  9. JamiiForums Tanzania Padri ahoji Je hii ndio Kazi na Utu? Alihesabu miili 13 ya waliouawa MO29 mbele ya Kanisa

    Kwa nini ionekane ni kosa kwa Kanisa kukemea mauaji? Kwani nini
  10. JamiiForums Tanzania Unaombaje maridhiano na watu ambao miili ya ndugu zao uliowapoteza hutaki kuwapa waliowapiga risasi na kuwateka unawalinda?

    Hivi maridhiano yanayobembelezwa ni yapi? Labda mtupatie miili ya kina soka mdude nk pamoja na ile miili ya 2910 na waliomshambulia LISSU wafikishwe mahakamani otherwise Bora muanguke wote nyie watesi tuanze upya. Tunaridhiana nini wakati mdude na polepole hamsemi wako wapi pamoja na kelele...
  11. JamiiForums Tanzania Tunasherekeaje skukuu wakati ndugu zetu wametwa na kuuwawa na miili hatujapewa tukazike hili suala samia na genge lake lazima watalipa.

    Tunasherekeaje skukuu wakati ndugu zetu wametekwa na kuuwawa na miili hatujapewa tukazike hili suala samia na genge lake lazima watalipa.
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa

    Watanzania wote tutarudi barabarani 25D kuna familia hazijapewa miili ya ndugu zao hadi sasa kwa maandamano wata toa
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kinachoendelea Serikalini Muda huu. Tukisema tukafukue kusema hakuna miili wananchi watauliza mmewaweka wapi ndugu zetu?

    Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili. Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa. Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maeneo ilipozikwa miili ya watanganyika wenzetu yaanza kufichuliwa

    Hivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa? Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele. Binafsi hii ni taarifa ya pili kuiona juu ya hili sakata, nina...
  16. JamiiForums Tanzania Ndugu waanza kuona miili ya wapendwa wao ambao hawakuonekana, wakiwa kwenye video ya mlundikano wa maiti iliyovuja ndani ya mochwari ya Mwananyamala

    Hatusemi mengi. Huyu mwamba ni dereva na aliuawa huko Salasala. Hakukuwa na ushirikiano kwa ndugu kupewa maiti ya mtu wao mbali na ukweli kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi. Ndugu walikuwa wameshakata tamaa walaamua kusahau Leo ameonekana ndani ya ile video ya Mwananyamala. Serikali bado inasema...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ulinganisho wa picha za hivi karibuni ukionyesha ukweli wa miili yenye majeraha iliyorundikwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala kama magunia

    Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake! Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuawa miili kutupwa baharini

    Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuwawa miili kutupwa baharini na kabla yeye kujiteuwa kuwa rais. Hakuna cha maridhiano wala bibi yake na maridhiano
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 AFP: Siri yafichuka, Kondo na Mabwepande ndiko yaliko makaburi ya halaiki ilikozikwa maelfu ya miili waliouawa wakati wa MO29

    https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6 Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri; Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…