migambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kimbesa11

    Ukisoma Historia ya Tanzania toka mwaka 1961 mpaka sasa, Tanzania si nchi ya kutishwa na Gen Z, hawa wanadhibitiwa na migambo tu na Dunia ione

    Duniani hakuna adui mkubwa Wala mdogo lipokuja swala la amani ya Taifa, Leo tunaona wageni wanafanya vurugu nchini huu uhuru wanautoa wapi? Tuionyeshe kuwa Tanzania si nchi ya kuichezea kiusalama, waone umoja wa waTZ tukipigania masilahi ya Taifa letu. Ni muda Sasa wa kuionyesha Dunia kuwa...
  2. M

    Omba usikutane na kichapo kutoka kwa migambo, hata wajeda hawaoni ndani

    Wazee kuna hawa watu wanaitwa migambo (kesho la akina). Naomba niulize hivi anayemfundisha mgambo si ni mjeda? Inakuwaje hawa migambo wanakuwa na uwezo wa kutembea kichapo naweza kusema hata kuwazidi wajeda? Mwaka 2023 nilipoenda home kutembea nilikuta kuna changamoto moja ya wizi uliokithiri...
  3. Masalu Jacob

    Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

    Habari TRA ! Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini? "MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX" Karibu.
  4. matunduizi

    Imekuwaje Iran Dhaifu KUWA na Vikundi karibu na Israel wakati Israel/US hawana hata migambo wa kukodi ili kuisumbua Iran?

    Kiuwezo US/Israel wako juu mara mia KWA Iran. Wanawashirika karibu Kila nchi ya kiarabu. Inasemekana hata kiongozi wa ISIS Albagdad alikiwa ni Mossad. Osama alikuwa CIA. Najiuliza nchi kama Israel/US wameweje kuruhusu Iran ikatengeneza Hesbullah karibu na Israel, Ikawapa nguvu Hamas karibu na...
  5. Kipenzi Changu

    Kwenye vita huwa tunatanguliza migambo

    Vita ipo kwenye rasha rasha. Hiki ni kipindi cha kutanguliza migambo. Kuna migambo wanakufa kuna migambo wanajaribu kusogea. Jeshi kamili lipo armory linajikoki
  6. masai dada

    TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo

    Msiwasikilize wanasiasa, TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo. Natamani ku attach video ya cctv ila nahisi watanirudia waniite muhujumu uchumi. Jamaniii sijawahi shuhudia hiyo nguvu hata kama umekutwa unaiba kambi ya jeshi. Aiseeee jitahidi hawa jamaa wakija uwe una leseni, ni...
  7. Chizi Maarifa

    Sisi Migambo pia tuheshimiwe. Naona kama tunatengwa sana

    Serikali ituangalie kwa nini sisi hatupewi heshima tunayostahili? Na sisi Migambo ni jeshi. Nimeona mara nyingi watu hawatuoni kama sisi ni chombo cha dora. Sijaelewa kwa nini. Nimekwazika sana leo kondakta kanikomalia nitoe nauli na amemwacha askari asilipe. Mimi kanikomalia kinyama mpka kuna...
  8. EMMANUEL JASIRI

    Vituko vya migambo wa jiji la Arusha

    Siku moja Kaka mmoja wa kimasai ,katika harakati zake za kutembeza mikanda ili kuiuza, Alikutana na mteja, akawa akimwonyesha hiyo mikanda bila kuweka chini bidhaa zake, Akaja mgambo akamkamata, Kijana akahoji kosa lake ni nini? Mgambo aka endelea kung'ang'ania zile bidhaa bila maelezo...
  9. Mpinzire

    Mikocheni Dar: Machinga wapigana na mgambo

    Mapigano yameibuka Mikocheni eneo la Viwandani Barabara ya Siwa Jijini Dar es Salaam baina ya raia wawili na Mgambo ambao walikuwa wakitekeleza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara ambao wamesalia katika maeneo yasiyo rasmi ambapo chanzo cha mapigano hayo kinadaiwa kuwa raia hao wawili walikuwa...
Back
Top Bottom