mifumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Israel yapeleka mifumo ya ulinzi Cyprus!!!

    Kuna habari za uhakika Israel imepeleka Mifumo ya ulinzi wa anga na kuisimika huko na haijajulikana vizuri nini maana yake!!
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Amiri Jeshi Mkuu anapokiuka Katiba, na inapokosekana Mifumo thabiti ya kumwajibisha, Jeshi linapaswa kuchukua hatua

    Katiba inatambua haki ya msingi ya uhai na kuishi kwa kila mwananchi. Amiri Jeshi Mkuu anapokiuka Katiba kwa kuruhusu operesheni za Wananchi wanaompinga kutekwa, kupotezwa na kuuwawa huku Taasisi zinazopaswa kumwajibisha zikiwa zimekufa mfano Bunge, Mahakama, Tume ya Haki za Binadamu na Ofisi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania CRDB Waliwadanganya Wateja Kuwa Wanaboresha Mifumo, Kumbe Wahuni Walikuwa Wanaharibu Mifumo

    Kabla ya uharibifu wa mifumo ya kibenki, kila kitu kilikuwa kikienda vizuri, lakini bank hiyo ikatoa tamko kuwa ilikuwa inaenda kuboresha mifumo yake, wateja wakaombwa wawe watulivu. Mara walipoanza, huduma za kibenki, kwa siku 4 mfululizo zikawa ama hazipatikani kabisa, au zikipatikana nusunusu...
  4. JamiiForums Tanzania Nini Kinachofanya Mifumo Isipatikane? Sababu za Msingi za Kuangalia

    Aloo wadau wa Jamii Forums! Leo tunavunja mifumo na kuangalia ni kwa nini mifumo ya kompyuta au internet zinapokosa kufanya kazi (system unavailability). Hii kitu inakera sana, iwe ni tovuti inakataa kupakia, app inaganda, ama huduma za mtandaoni ziko down kama kifusi kilichoanguka...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

    Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
  6. B

    JamiiForums Tanzania TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."

    Palikuwa na uzi humu: Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi? Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia. Ikumbukwe anayeweza...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ya CCM tumeyasikia, yamepita. Turudi kwenye habari ya mjini yaani Mifumo kusomana.

    CCM wanajua kucheza karata zao vizuri. Wana magwiji wa Mikakati mizuri na ya hovyo pia. Siyo siri Kombora la mwisho alilotoa Humphrey Polepole kwamba mifumo ya INEC, NIDA na Lumumba inasomana hivyo kupora maamuzi ya watu katika kupiga kura, limewashtua na kukitikisa Chama hicho. Mabadiriko ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania HAYA YA POLEPOLE KUWA MIFUMO YA NIDA, INEC NA CCM INASOMANA. JE NI YA KWELI?.

    Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura. Nawasilisha.
  9. JamiiForums Tanzania INEC yamjibu Polepole, yasisitiza uhuru wa mifumo yake ya uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejitokeza hivi karibuni kukosoa mamlaka. Polepole, katika mazungumzo yake yaliyofanyika usiku wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya. Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
  11. JamiiForums Tanzania Rais samia alipotaka mifumo yote ya Tehama serikalini isomane ili kujua nani ni nani katika nchi hii

    Agosti 10, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alimtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha kuwa mifumo yote ya Tehama serikalini inasomana ili kufahamu vyema raia na wageni wa nchi. Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Utumaji wa matokeo ya Kura kwenda Tallying centre ndio 'Mifumo' INASOMANA?

    Tatizo sio kuhesabu Kura wala mawakala kusaini Bali kwenye utumaji wa matokeo kwenda kwenye tallying centre hapo ndio mifumo INASOMANA?
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA iteni Press Conference, Alikeni Mabalozi na Watanzania ,Muelezee zaidi Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ,na kwanini NRNE!! Msiishie Mitandaoni

    LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI. CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!! Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA. Mh Polepole...
  14. JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  15. JamiiForums Tanzania Mifumo kusomana (NIDA-INEC-NECTA)

    Mifumo hii kusomana ni jambo zuri na la kuigwa. Unaweza kupata taarifa popote, muda wowote. Tupunguze ujuaji
  16. JamiiForums Tanzania Natengeneza website(tovuti), mifumo ya ya kutunza kumbukumbu, hii nilimtengenezea mwanajamiiforum icheki

    Nicheki +255 0756704145 - Hii tovuti nilimtengenezea mwanajamiiforum Meneje wa Kampuni, tovuti kama hii natengeneza kwa 500,000 Tsh bei kitonga kabisa, karibu. Kama unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu upo au programu (software ) ipo bei mfumo wa kumbukumbu kutunza wa seva ni 500,000 Tsh ,na...
  17. JamiiForums Tanzania Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

    MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ? NIDA ijitegemee INEC ijitegemee Banki ijitegemee NECTA ijitegemee RITA ijitegemee TRA ijitegemee TUCTA ijitegemee Utumishi Ijitegemee Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima. Leo unatumia Google play store kusajili Facebook...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!

    Uhaini ni jaribio la kubatilisha matakwa ya wananchi kusimika utawala kwa njia haramu. Kwa kuingilia mifumo ya uchaguzi CCM imekuwa ikibatilisha matakwa ya wananchi na kusimika utawala wake kwa njia zilizo haramu. Tumebebeshwa kesi dhidi ya Lissu tusiyoielewa na tunaopaswa kuwashitaki kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Lissu aliesema "tutakinukisha" na wanaotuhumiwa kuingiilia mifumo ya uchaguzi kwa mujibu wa Polepole, nani anapaswa kushitakiwa kwa uhaini?

    Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta na hili swali hapa chini: Kama Lissu anashitakiwa kwa tuhuma za kusema atakinukisha kuvuruga...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Pole pole alikuwa na nafasi ya kurekebisha Yale yote anayolalamikia Leo lakini alijisahau akaacha Mifumo ya one man show walau amesema Ila amechelewa

    Mpaka majira ya saa nne tarehe 21 8 2025 hutujui kinachoendelea kwenye press ya Pole pole Ipite mbali Mifumo isipite naye Ila Kuna watu wanajisahau Sana wakipewa nafasi Hadi waondolewe Nape naye alijisahau siku aliponyoshewa bastola na Mifumo mibovu akashtuka sijui Kama ameshajifunza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…