Kumekuwepo na picha kadhaa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikionyesha hali ya viwanja vya michezo vilivyotumika katika mashindano ya AFCON nchini Gabon mwaka 2017 vikiwa katika hali mbaya ya uharibifu na kutelekezwa. Katika baadhi ya picha zinazoonekana kwenye picha...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) linaripotiwa kufikiria kuahirisha michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 hadi 2028 kutokana na wasiwasi wa utayari wa miundombinu na marekebisho yanayoendelea ya kalenda ya soka ya bara hili.
Uvumi huo unakuja kabla ya kikao cha Kamati ya Utendaji...
Tanzania
Benjamin Mkapa Stadium (Dar es Salaam)
Ujazo: 60,000
Gharama: $90M (Initial Construction), $12M (Renovations)
Maendeleo: Renovations finalizing
Vyanzo: IPP Media (https://www.ippmedia.com/the-guardian/business/read/special-report-2024-05-23-185807), Wakala wa Majengo Tanzania – Paul...
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema:
Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha ajenda kwa maksudi kabisa daah 😭😭😭
Hii timu sio ya Ccm wa Chadema ni ya kwetu Watanzania acheni hizo...
Ule mijadala wa haki vs amani umefungwa rasmi.
Ccm na Masheikh walikuwa upande wa amani
TEC, Watanzania na baadhi ya Masheikh wema hasa kina Ponda (shura ) walikuwa upande wa haki
Sasa Leo AFCON imeifundisha CCM Masheikh ni kipi ni muhimu zaidi.
Asante AFCON 2026.
Watanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza.
Baada ya mechi kwisha na Tanzania kutolewa kwa (1 - 0) na Morocco, wachezaji na benchi lote la ufundi walisimama wakimlalamikia refa kuwa hakutenda Haki, vile vile kuna Watanzania wanasema refa hakutenda haki kawanyima...
Hakuna raha kama kuwashuhudia Mazezeta ya Taifa stars yaking'olewa kibabe na timu ya Taifa ya Morocco. Maana Walikua wamejiandaa kumuimbia mapambio yule mtu fudenge alie mafichoni.
Tena kufurmushwa kwao kutaokoa mamilioni ya pesa ya umma yaliyokua mbioni kutokomea kwa kisingizio cha kununua...
Leo ni siku ya mchezo wa mwisho wa kundi la AFCON, mjadala mkubwa haupo tena uwanjani bali pia kwenye vyombo vya habari. Leo asubuhi baadhi ya waandishi wa Clouds FM wamejikuta wakilaumiwa kwa kile kinachoonekana kama kulazimisha matumaini yasiyo na msingi kwa Watanzania.
Asubuhi ya leo kwenye...
Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo.
Ntonda alikuwa ameambatana na...
Tukiwa tunaelekea kwenye mchezo wa mwisho na Guinea 🇬🇳 na ndio utakao toa maamuzi tutakwenda Morocco AFCON au laa nimesikitishwa na jambo moja.
Tamaa zenu za kisiasa hakika leo zinaweza kutokosesha ushindi. Kumtumia Samia kama icon ya jitihada za kwenda Morocco wakati sio kweli.
Wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.