Vijana wengi wamekuwa wakipitia msongo mkubwa wa mawazo wanao sababishiwa na hii sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma na haya ni baadhi ya maswali wanayo jiuliza bila majibu
1; Inakuwaje nafasi za kazi zinatangazwa na watu wanajitokeza kufanya usaili lakini zoezi la kuwapangia vituo...
Millenials tulipoingia kwenye uwanja wa ajira tulikuta fursa zipo zipo kidogo. Fursa za serikalini, biashara na hata zikajitokeza za boda boda na bajaji. Leo hii fursa hizo zimejaa na wala hakuna mpya zinazoonekana. Gen Z wanaingia uwanja wa ajira na hawaoni fursa zozote. Biashara kuna frame...
Habari zenu wakuu. Poleni sana kwa yote tuliyopitia na tunayoendelea kupitia ndani ya taifa letu.
Wakuu, ukiwa katika mchakato wa kuoa/kuolewa (engagement, send off& kufunga/kubariki ndoa) jitahidi sana kuwa na utulivu na muaminifu. Hiki ndio kipindi muhimu sana kuelekea kufanikisha safari ya...
Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details.
Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa.
Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
Wadau, hebu changieni kama mnajua kuna nchi yoyote Barani Afrika ambayo hawachukui Kodi ya Mapato kwa washindi wa Sports betting, Casino Gambling, Online Gambling na kadharika. ?
Je wewe unalipa kodi ya Mapato ukishinda kwenye spots betting ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.