miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lamu, Mombasa na Tanga toka miaka na miaka hii ni moja ya sifa zao

    Toka miaka ya 90 moja ya utani kwa mtu anayependa vitu vya bure aende Mombasa. Kuwa kwa Mombasa unaweza enda kula sehemu ukataka kulipa wakakuambia ushalipiwa wewe..... Ukaoneshwa mtu ambaye unaambiwa amekulipia unamwona anakuna ndevu zake akitabasamu. Hii hali na huu utani upo miaka nenda...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ukatenganishwa na Uchaguzi Mkuu?

    Mazoezi makubwa matatu yanayogharimu pesa nyingi za wananchi ni vita, sensa, na uchaguzi. Uchaguzi, kwa upekee wake, mara nyingi husababisha kuyumba kwa amani na utulivu wa nchi kama tunavyoshuhudia katika chaguzi mbalimbali. Baada ya mchakato huo, viongozi na vyombo vya dola hujiona wamemaliza...
  3. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 13 awafungulia kesi Wazazi wake kwa kumtelekeza Shule ya Bweni Afrika

    Mtoto wa miaka 13 amefungua kesi dhidi ya wazazi wake akiwatuhumu kwa ukatili baada ya kumpeleka nje ya nchi, kisha kumsajili katika shule ya bweni, na kumtelekeza huko. Kwa mujibu wa taarifa, mtoto huyo, ambaye hakutajwa kwa sababu za kisheria, aliwasiliana na Ubalozi Mdogo wa Uingereza na...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Nawekeza milioni 100 baada ya miaka 10 nipewe milioni 300 Yani 200 faida, je hii ni sahihi kama ntaiweka kwenye Biashara faida inakuwaje after 10 yrs

    Ndio wadau wawekezaji nimeona hii fursa je ni positive au negative ? Wataalamu wa biashara na masoko ya hisa njooni
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya miaka 25 ya jumuiya ya afrika mashariki (EAC)

    Nguvu ya Watu Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa ina mataifa 7 na idadi ya watu zaidi ya milioni 312, ikiwa ni zaidi ya 20% ya watu wa Afrika. Umoja huu ni chachu ya maendeleo yetu. #EACat25, #EACBorderless #OnePeopleOneDestiny #SamiaSuluhuHassan
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

    Habarini Wakuu Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo. Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii...
  7. JamiiForums Tanzania Umri wa kuishi aliosema Mungu mwenyewe kwa kinywa chake ni miaka 120. Kwanini mnakomaa na miaka ya tabu ya 70-80?

    Mimi huwa nashangaa watumishi kuchukulia maneno ya Musa (Zaburi ya 90:10) na kuacha neno la Mungu mwenyewe la (Mwanzo 6:3) "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini." (Yaani miaka 120) Sasa watu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Museveni awashawishi Marais wa Afrika Mashariki kwa hoja ya historia ya miaka 1000 ya Muungano wa Kibiashara Afrika Mashariki Arusha Tanzania

    29 November 2024 Makao makuu ya EAC Arusha, Tanzania Rais Yoweri Kaguta Museveni asema mbali ya kuadhimisha miaka 25 ya kufufuliwa EAC hapo mwaka 1999 https://m.youtube.com/watch?v=V3Uim1f150s Tunapoadhimisha miaka 25 ya EAC iliyofufuliwa, nilipendekeza katika hotuba yangu leo kwamba pia...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Aliyetembea na wanawake na watoto zaidi ya 1,000 Ahukumiwa kifungo cha miaka 8658

    Mwamba huyu hapa. Huko Uturuki.
  10. JamiiForums Tanzania Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

    Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa Kariakoo aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee Yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Israel walivyomuua Hassan Nasrallah, simba aliyeisuka Hezbollah kwa miaka 30

    Ijumaa ya tarehe 27 September 2024, katikati ya makao makuu ya Hezbollah yaliyopo kwenye mtaa uitwao Danieh kwenye viunga vya jiji la Beirut nchini Lebanon: Kikao cha kimkakati kilikuwa kikiendelea katika chumba kilicho ardhini kwenye handaki mahali hapo. Chumba hiki kilikuwa chini umbali wa...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka ya zamani niliambiwa haya maneno kuntu kuhusu kuishi na mwanamke

    "Hakuna kitu wewe kama mwanaume unachoweza fanya ili kumfanya mwanamke aishi na wewe kwa uaminifu, sio pesa, sio mwonekano, sio power, sio chochote kile. Bali mwanamke mwenyewe tu akiamua kuishi na wewe kiuaminifu ataishi na ww hivo, lkn asipotaka hata uwe na pesa kiasi gani, handsome kiasi gani...
  13. JamiiForums Tanzania Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbabe wa kivita Liberia, Prince Johnson afariki dunia akiwa na miaka 72

    Aliyekuwa mbabe wa kivita wa Liberia Prince Johnson, ambaye alisimamia mauaji ya kikatili ya aliyekuwa Rais Samuel Doe wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyotikisa nchi hiyo, kabla ya kuwa Seneta na Mfalme wa kisiasa, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72. Msemaji wa familia Wilfred...
  15. JamiiForums Tanzania Namibia: Wananchi wapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge, SWAPO hatari ya kupoteza baada ya Miaka 33

    Wananchi nchini Namibia wanapiga kura kuchagua Rais mpya na wabunge katika uchaguzi unaotajwa kuwa mgumu kwa taifa hilo. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo Novemba 27 ambapo maeneo mengi yameshuhudia msururu mrefu wa wapiga kura. Chama tawala cha SWAPO kinapewa nafasi ndogo ya...
  16. JamiiForums Tanzania Twenzetu Kileleni miaka 63 ya Uhuru kuwafikia watu 200

    Dsemba 5 mwaka huu kundi la watanzania 200 wakiongozwa na maofisa wa jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ)litapanda mlima Kilimanjaro ilikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika. Hili ni tukio la kipekee ambalo limekuwa kivutio kikubwa kwa watanzani wengi ambalo lilianzishwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye Nyumba kaeni kitaalamu: Kama mpangaji wako atakutwa na dawa za kulevya nyumba yako itataifishwa!

    Wakuu, Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao. Alieleza kuwa baadhi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka ni namba tu, je ukweli wa kauli hii uko wapi?

    Ndoa ni moja ya agizo la Mungu kwetu wanadamu,lakini agizo hili limekuwa na changamoto kutimizwa nasi hasa Katika karne hii ya 21,kwani vijana wengi tumekuwa na kaulimbiu Ambayo inachochea kukataa agizo hili"Kataa ndoa,tengeneza Maisha" Hata hivyo kuna minong'ono kuwa"Umri wa wanandoa huchangia...
  19. JamiiForums Tanzania Itachukua miaka 11 kwa Deni la Serikali kuisha ikiwa hakutakuwa na Mkopo mwingine wowote kwa muda huo huku ikilipa Tsh. Trilioni 8.8 kila mwaka

    Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni hilo limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 64.2. Ili Tanzania iondokane na Deni hilo, itachukua miaka 11...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Unajua kuna vijana walilala Miaka 309 bila kuamka?

    Qur'an inataja kisa cha vijana waliolala pangoni kwa muda mrefu kama mojawapo ya ishara za nguvu na hekima ya Allah. Hiki ni kisa cha "Watu wa Pangoni" (Ashabul Kahf), kilichoelezwa katika Surah Al-Kahf (18:9-26). Maelezo ya Kisa: 1. Kukimbilia Pangoni: Vijana hawa walikimbilia pangoni ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…