miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote. Mungu akimpa...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kumpeleka mtoto wa miaka minne boarding?

    Kwema wakuu! Nina binti wa miaka minne ambae nimeamua kumpeleka boarding kutokana na kukosa maelewano mazuri na mzazi mwenzangu hali iliyopelekea nitengane nae na kubaki na mwanangu. Niliamua kuchukua uamuzi huo baada kutokana na mda mwingi kuwa bize na kazi na kukosa mda wa kutosha kukaa nae...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

    https://www.youtube.com/watch?v=_PCe60hMfms Mimi unanikumbusha redio ya cassette ya panasonic mida ya menu mchana RTD nikiwa na mama na marehemu babangu. Kweli muda unakimbia sana. Mshana Jr
  4. JamiiForums Tanzania Ukifikisha miaka 35 jitahidi uanze kuwekeza katika biashara ambazo zina risk ndogo.

    Wakuu habari . Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo . Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo. Pia anza kufikiria kuhusu Passive income na kuwekeza katika teknolojia zaidi . Maana at the age...
  5. JamiiForums Tanzania TCB Yaadhimisha Miaka 100 kwa Kuwekeza Katika Uvumbuzi wa Kidijitali

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake kwa kuahidi kuendelea kuwekeza katika uvumbuzi wa kidijitali na kuongeza ubora wa huduma kwa wateja wake na kuwa wanayo dhamira ya kuimarisha nafasi ya TCB katika sekta ya kibenki nchini. Akizungumza kwa niaba ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yachangia shilingi trilioni 3.6 pato la Serikali kwa kipindi cha miaka 4

    Meneja wa Barrick nchini, Dk.Melkiory Ngido akitoa taarifa ya utendaji wa Barrick na Twiga kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Dkt. Mathayo David akifuatilia taarifa katika mkutano huo Kampuni ya Uchimbaji...
  7. JamiiForums Tanzania Israel walikua nje ya Ardhi yao Kwa miaka 1878 , wakarudi mwaka 1948 Kwa azimio la UN, maajabu ni kua hawakupoteza chochote kuwahusu wao !!.

    Watu wengi hawajui Historia ya hili Taifa la Mungu. Israel ndio waliokabidhiwa Nchi ya Kanani , miaka zaidi ya 1800 kabla ya kurudi kwao Kanani mnamo mwaka 1948, walitawanyika katika mataifa mbalimbali kufuatia Uvamizi wa Rumi . Uvamizi huo uliwafanya Waisrael kukimbilia uhamishoni, wapo...
  8. JamiiForums Tanzania Waliowahi hizi fursa miaka ya 2000 hadi 2010 walijetengenezea pesa sana

    1: Kutoa virus kwenye computer 2: Usambazaji wa Vifaa vya solar 3: Internet cafes 4: Uzaaji wa vocha jumla 5: Kusomea na kufahamu lugha nyingin (eng, frnc, chinese,etc)
  9. JamiiForums Tanzania Beki wa Boli, Hamza enzi hizo akiwa kinda wa miaka 12 Mbeya City

    Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT. Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la moto sana. Kama hukufanikiwa kumuona Victor Costa akicheza basi wewe mtazame tu Hamza
  10. JamiiForums Tanzania ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

    Miaka takriban 2500 iliyopita, Mungu alimwambia Nabii Danieli awaambie watu kuwa wakati wa mwisho maarifa yataongezeka. Tunasoma hivyo katika kitabu cha Danieli 12:4: "Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huku na huko, na...
  11. JamiiForums Tanzania Leo nimefurahi sana kumsikia Tundu Lissu akisema yale ambayo nimekuwa nikiyasema kwa miaka mingi!

    I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism. Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa. Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza. Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia masikio. Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 28 anywa sumu baada ya kuambiwa mtoto aliyekuwa akimlea si wake

    JUSTINE AMEFARIKI BAADA KUAMBIWA MTOTO SI WAKE Mwili wa kijana Justine Mbaga mwenye umri wa miaka 28 ambaye amefariki dunia jana Februari 11,2025 ikidaiwa ni kwa kunywa sumu baada ya kupewa taarifa kuwa mtoto aliyekuwa anamhudumia si wake, umezikwa leo katika makaburi ya Magegele yaliyopo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wale mlioishi miji au majiji makubwa kwa miaka mingi, mliwezaje kuzoea maisha ya bush ama miji midogo

    Tupeane uzoefu
  14. A

    JamiiForums Tanzania CAF wekeni interval ya miaka mitatu mitatu Afcon moja kwenda nyingine.

    Hii airisha-airisha imekuwa too much..Na ni aibu pia kwa shirikisho. Ili kurejesha msisimko wa Afcon, CAF kwanini wasipanue vipindi vya miaka 3 kati ya tournament moja kwenda nyingine ili nchi inayo-host ipate muda wa kutosha kuandaa miundombinu. Inaitwa AFCON 2025-Morocco...halafu mashindano...
  15. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yapata hasara ya TSh. Bilioni 580 katika kipindi cha Miaka 9

    Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimeendelea kuonesha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara tangu Serikali ilipoamua kulifufua kwa kununua ndege mpya kadhaa. Air Tanzania na hasara zake miaka 9 mfululizo 2014/2015 - Tsh. Bilioni 94.3...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

    Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

    Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:- Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.k Elewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu...
  18. JamiiForums Tanzania Uliwezaje kufungua mnyororo wa umaskini kwenye miaka yako ya 30?

    Nilipokua mdogo nilisema nikiwa mkubwa nitapata pesa, nitakua nawasaidia masikini, ila mpaka sasa hivi najiona Mimi ndio maskini mwenyewe ninayepaswa kusaidiwa kabisaa, sijafika 30 lakini nina approach 30, naona kama game ni gumu sana, Inabidi nikae chini zaidi nifanye meditation nijue nimekuja...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

    Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
  20. JamiiForums Tanzania Mfuko wa hifadhi ya jamii PSSSF ni mfuko dhalimu! Naulaani milele! Umenidhulumu haki yangu niliyoidai miaka 14!

    H
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…