miaka 10 ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Foxhound

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    Habari wadau, nikiwa nipo mbioni kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa yangu leo hii nimeona nitoe ujumbe mfupi tu kwa wanaume kama mimi maana watoto wa kiume kwao sio rahisi kuiweza ndoa. 1. Ndoa ni sawa na gereza ambalo tofauti iliyopo kwa gereza la kawaida ni kwamba gereza la ndoa mfungwa...
  2. Frumence M Kyauke

    Romy Jones amweleza mke wake akitimiza miaka 10 ya ndoa ataongeza mke mwingine

    Romy Jones amewaacha wanamtandao wakimpongeza kwenye mitandao ya kijamii kwa mara nyingine. Hii ni baada ya kushiriki chapisho hili kuhusu maadhimisho ya ndoa yake ambayo yamesambaa mitandaoni. Huku akimtakia kila lakheri mkewe, Romy alimwambia kewe kwamba wakitimiza miaka 10 katika ndoa...
  3. Mayunga234

    Msaada: Miaka 10 kwenye ndoa hajawahi kufika kileleni na kupelekea kuchukia tendo

    Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi...
  4. ndenjii handsome

    Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

    Haikuwa kazi rahisi kufika hii miaka, Ushauri wangu kwa vijana wenzangu maisha ya ndoa ni mazuri kama mnajitambua kuna vipindi vingi nimepitia. Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae...
Back
Top Bottom