Mmoja anakwenda pale kukagua shughuli za usafirishaji wa abiria na mwingine anakwenda kufuatilia mgomo wa madereva. Je, wananchi na wafanyabiashara washike lipi?
Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.
Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.
Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
Madereva si wachache nchi nzima.
Kwamba wameweza kuanzisha mgomo nchi nzima ya Tanzania ni suala limetugutua kidogo.
Tunaona serikali iko katika panic mode- hawakujua hili linakuja.
Hilo ni somo kwa serikali na vyombo vyake.
Tunasikia kila siku kuna intellijensia, sasa hivi wamevuliwa msuli...
The point is;
Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa.
Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri.
Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema hadi sasa hajapokea malalamiko kutoka kwa madereva kuhusu kukatwa point kwenye leseni zao, na kuongeza kuwa endapo kuna dereva amekatwa point, amfikishe mtu aliyemkata ili hatua zichukuliwe.
Pia soma: Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi...
Mgomo huu ndo kielelezo cha kwamba watendaji na Wateule wa Samia hawajalli Shida za Wananchi.
Yaani wanafanya kazi kwa Vitisho na Ubabe mwingi sababu hawajateuliwa.
Serikali inayowajibika kwa Wanancgi lazima ifanye mabadiliko.
Watu wanakaa Ofisini muda mrefu na kufanya kazi kwa Mazoea...
aada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando kuwataka madereva kuyaondoa mabasi yao katika Stendi ya Magufuli kwani muda wa kukaa ndani ya stendi hiyo umeisha, Jeshi la Polisi limeanza kuondoa namba za magari kwa mabasi ambayo madereva wake hawajayaondoa.
Msando ametoa kauli hiyo leo...
Ninasikitishwa na kadhia ya mgomo wa madereva wa mabasi wanaoshinikiza eti wasikatwe pointi kwenye leseni zao wanapofanya makosa.
Pamoja na hayo kuna mmoja nimemsikia akisema eti wanatozwa faini hata mara tatu ya kosa la kuzidisha mwendo na kwa hiyo anaona alistahili kuipa mara moja hata kama...
Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo.
Hali ya mgomo wa madereva na wafanyakazi wa mabasi imeendelea kushuhudiwa...
Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo.
Hapa ni stendi ya Nane Nane, Dodoma, hali ilivyo asubuhi ya leo baada ya mgomo...
Kama ilivyo tangazwa hapo awali,
Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori, Mabasi na IT Nchi Nzima Tanzania.
Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi.
Asante.
Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma?
Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki wa CCM na...
Mbona kama hii issue ipo serious sana aise.
Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu.
Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe mwenyewe.
Vipi kwenu huko?
Mkurugenzi wa Udhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Abdallah Mhagama, amesema kuwa kanuni na sheria zinazosimamia utoaji wa huduma za usafiri ziko wazi, na zinaweka masharti kwa watoa huduma ikiwemo kutofanya migomo. Mhagama amebainisha kuwa mgomo wowote unaofanyika...